Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Kwa kawaida maisha yetu hutegemea mzunguko wa saa 24, kati ya hizo saa 12 ni usiku, leo nakuletea sehemu sita ambazo jua huwa halizamii kabisa usiku na mchana, twende pamoja.
Kinegembasi pale kwa wauza kuku ah msikitini mzeeWrite your reply...hata huku kinegembasi chini
Si mchezo, acha kabisa.Ni kubabuka mwa mwii
Dah! Nilisahau kumbe kunawatu hapa Bongo kwenu jua halizami...Kinegembasi pale kwa wauza kuku ah msikitini mzee
Bwana wee maeneo ya hii barabara ya Iringa Tunduma yana namna zakeDah! Nilisahau kumbe kunawatu hapa Bongo kwenu jua halizami...
hahaha ndio njia ya kwenda ipwani wilaya ya mbaraliKinegembasi pale kwa wauza kuku ah msikitini mzee
Aiseehahaha ndio njia ya kwenda ipwani wilaya ya mbarali
Unanikumbusha mbali kipindi flani nipo mtoto, basi mzee anakwambia uende ukachunge mifugo polini, ukicheki mazingira upo ww na miti pamoja na mikia yako unayo ichunga, ukicheki jua sasa walahi limeganda palepale hasira za hapo sasa.Bwana wee maeneo ya hii barabara ya Iringa Tunduma yana namna zake
ulikua huna rafiki mtiifu mbwa aka bobi au jeki hahaha majina maarufu sana ya mbwa enzi hizo tunachungaUnanikumbusha mbali kipindi flani nipo mtoto, basi mzee anakwambia uende ukachunge mifugo polini, ukicheki mazingira upo ww na miti pamoja na mikia yako unayo ichunga, ukicheki jua sasa walahi limeganda palepale hasira za hapo sasa.
Hii ilikuwa tu ni akili ya uvivu😂Unanikumbusha mbali kipindi flani nipo mtoto, basi mzee anakwambia uende ukachunge mifugo polini, ukicheki mazingira upo ww na miti pamoja na mikia yako unayo ichunga, ukicheki jua sasa walahi limeganda palepale hasira za hapo sasa.