Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Utotoni mida kazi jua huwa halisogei kabisa, linahakikisha unetepeta vilivyo ndo linasogea.Unanikumbusha mbali kipindi flani nipo mtoto, basi mzee anakwambia uende ukachunge mifugo polini, ukicheki mazingira upo ww na miti pamoja na mikia yako unayo ichunga, ukicheki jua sasa walahi limeganda palepale hasira za hapo sasa.
Kwakweli wazazi walikua hawatupimii ukubwa wa kazi enzi za udogo wetu.