Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Ufunuo 16:9, 11, 21 – Watu waliteswa na mapigo makali, lakini hawakutubu wala kumpa Mungu utukufu. Badala yake, walimtukana Mungu wa mbinguni kwa sababu ya maumivu yao.
Ufunuo 9:20-21 – Wale waliobaki hawaikutubu kazi za mikono yao, wala ibada ya mashetani, sanamu, mauaji, uchawi, uasherati, au wizi.
wewe msimamo wako wa hatima yako ni nini nje ya masuala ya kiimani mkuu ?Vitisho vya kiimani tu
Wewe unadhani kwa hawa watu walivyo hawatomtukana hata atakapo kuja ? mimi nafikiri upo uwezekano mkubwa wa watu kumtukana na kuendeleza ibada zao na miungu yao bandia
Dogo kuwa na heshima basi, sio kila mtu unalingana nae, kwa hizi akili sijui mke wako na wazazi wako na jamii kwa ujumla watakuwa wanaishi vipi na wewe kiufupi huna akili.Sawa....basi we mpelekee sadaka gwajima akatombee
Kuwa makini mkuu, mtu yoyote anayeanza kupata maarifa yupo open kwanza kujifunza vitu vipya hii ni hatua muhimu sana kufika hatua nyengineAu ndio wewe? Acha nianze kuwa makini sasa
Kuna watu bado washamba sana.
Inashangaza sana, wewe ambaye hujui vitu vingi kwa kujiifunga kwamba ni ushamba kuvijua hivyo, ndio unamuita mtu aliyejifunza vitu hivyo mshamba?Kuna watu bado washamba sana.
Kama huwezi kuelezea uwepo wa Mungu kwa logically consistent, contradiction free narrative, unaendekeza habari za imani, mapokeo na personal experience fallacy, wewe bado ni mshamba tu.Inashangaza sana, wewe ambaye hujui vitu vingi kwa kujiifunga kwamba ni ushamba kuvijua hivyo, ndio unamuita mtu aliyejifunza vitu hivyo mshamba?
ushamba ni nini ? ushamba ni ile hali ya kutojua kitu flani, kwahiyo tukisema mimi na wewe nani mshamba wewe ndio utavaa huo ushamba hamna kitu ulicho nacho kichwani ni mweupe.
Dogo umeongea vitu vingi sana sizani kama unavijua hivyo vitu ila umeviweka tu ili kupamba hoja yako, sita jikita zaidi kwenye hivyo vitu.Kama huwezi kuelezea uwepo wa Mungu kwa logically consistent, contradiction free narrative, unaendekeza habari za imani, mapokeo na personal experience fallacy, wewe bado ni mshamba tu.
Na mpaka sasa hujaweza kuelezea hivyo.
Kwa hiyo ukija hapa na habari za Mungu nakuona mshamba tu.
Hujui logical consistency ni nini, hujui contradiction ni nini, hujui epistemology ni nini, hujui ukweli unapimwa vipi, hujui imani ni nini, hujui personal experience ni nini.
Unachanganya mambo kwa ungumbaru tu.
You are a country bumpkin.
Mshamba tu.
Inasikitisha sanaNdiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha Ufunuo. Kwa mfano:
Hii inatufundisha kwamba mioyo ya baadhi ya watu itakuwa migumu hata katikati ya hukumu za Mungu. Hata kuona matukio makubwa ya unabii hayataleta toba ya kweli kama hawana nia ya kubadilika.
Kwanza kabisa kabla ya mengi nacjujua neno la kwanza tu.Dogo umeongea vitu vingi sana sizani kama unavijua hivyo vitu ila umeviweka tu ili kupamba hoja yako, sita jikita zaidi kwenye hivyo vitu.
Kwanini naamini katika mungu ? ni vipi naweza kuthibitisha uwepo wake.
Kwenye science kuna kitu kinaitwa dark energy sijui umewahi kukisikia, hii dark energy wanakili ipo wanasayansi wengi wanasema hii dark energy ipo lakini haionekani haishikiki, haipimiki lakini wanaona tu hadhari zake na action inazofanya bila kuonekana live.
Kwanini kuna uwepo wa mungu?
Msingi wangu wa imani yangu umejengwa na imani za uwepo wa dark energy na matter kama tutakapo gusia science.
msingi wa imani ya uwepo wa mungu itageukia kwenye uwepo wa vitendo vya ukweli na uongo kwenye maisha ya kawaida tutakapo gusia maisha ya kawaaida kutafuta uwepo wa mungu.
pia imani yangu itajengwa kwenye nguvu za giza uchawi na nguvu za kimungu tutakapo gusia masuala ya kidini kama kuthibitisha mungu yupo.
Mpaka sasa.Kiranga Mzee wa Uthibitisho