Je, wajua kuna watu wengi watamtukana Mungu hata wakati wa ujio wake siku za mwisho

Kama wewe.
Hata kama kweli mimi ni mshamba.

Hilo nalo litakuwa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Maana, Mungu huyo angekuwapo, kimantiki, kusingekuwa na mtu yeyote mshamba.

Umenisaidia kuongezea nguvu point yangu.

Although I am unsure if you posses the requisite wattage to comprehend it.
 
Mpaka sasa.

1. Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.

2. Hakuna aliyeweza kupangua contradictions zilizopo katika maelezo ya kuwapo kwa Mungu.

3. Hakuna aliyeweza kumuelezea Mungu nje ya framework ya imani, ambayo tunajua haihitaji uthabiti na unaruhusiwa kuamini hata uongo.

Kwa maneno mengine maelezo yote ya Mungu hayajawekwa nje ya framework inayoweza kutumika kuelezea uongo wowote ule.
mimi nathibitisha Mungu yupo tena physically achana na maneno tupu hata wewe unaweza kumwona tatizo kuamini kwako tu .OOO POWER
 
Kwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.

Kuona si kuthibitisha kitu kipo.

Kuna nyota unaziona lakini hazipo.

Na kuna nyingine huzioni lakini zipo.

Najua hujui hili. Jifunze.
 
Mpaka sasa.

1. Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.

2. Hakuna aliyeweza kupangua contradictions zilizopo katika maelezo ya kuwapo kwa Mungu.

3. Hakuna aliyeweza kumuelezea Mungu nje ya framework ya imani, ambayo tunajua haihitaji uthabiti na unaruhusiwa kuamini hata uongo.

Kwa maneno mengine maelezo yote ya Mungu hayajawekwa nje ya framework inayoweza kutumika kuelezea uongo wowote ule.
Namuita mtu dogo kulingana na hoja zake kumzidi uwezo wake alionao na anajifanya anajua kumbe hajui huyo ni dogo.

Nimekuambia kuna kitu kinaitwa dark energy kwenye science unakijua ? wanasayansi wanadai pia kipo ila hakionekani live tunaona tu hadhari zake kama gravity n.k mfano huu sasa tuulete kwenye imani kama mfano. maana naona unajifanya unajua science alafu unapoambiwa habari za dark energy hujui kuwa pia ipo lakini haina uthibitisho wa moja kwa moja ipo kwenye data za kisayansi.

Tukija kwenye imani kuna nguvu zinaitwa darkness hizi ni nguvu kama dark energy zipo mimi nishawai kuziona kwenye uchawi na mazingaombwe hizi nguvu zipo ila sio za moja kwa moja kama unavyotaka wewe ziwe labda hujizime data na kujifunga akili.

Kama kwenye mambo ya kiimani kuna darkness lazima kuwe na mwanga pia, huu mwanga naweza kusema ni mungu, kumekuwa na nguvu hizi mbili kwenye dunia lakini hazioneoani moja kwa moja za darkness na nguvu za mwanga takatifu.

Huu ni uthibitisho kuwa mungu yupo ila yeye sio matter kama sisi, matter kisayansi nji kitu kinacho shikika, kina pimaka kina bebeka, mfano watu, gari, nyota, dunia, au hiyo uliyoweka kwenye profile yako ya jamiiforums.

Kwakuwa mungu sio matter hatuwezi kumthibitisha moja kwa moja kama unavyotaka wewe, au kuthibitisha dark energy kwenye space au darkness kwenye dunia labda tuvibadilishe viwe matter kama sisi kwasababu tunaona tu nguvu zake lakini havishikiki.

Kisayansi na kidini kama kitu kinaonekana nguvu zake hata kama hakishikiki hicho kitu kipo.

MFANO

Uchawi, upo haushikiki haupimiki hatuuoni ufanyaji kazi wake upo vipi ila tunahisi tu hadhali zake.
 
Kwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.

Kuona si kuthibitisha kitu kipo.

Kuna nyota unaziona lakini hazipo.

Na kuna nyingine huzioni lakini zipo.

Najua hujui hili. Jifunze.
Huwezi kuona kitu ambacho sio matter mbumbumbu wewe
 
Hata kama kweli mimi ni mshamba.

Hilo nalo litakuwa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Maana, Mungu huyo angekuwapo, kimantiki, kusingekuwa na mtu yeyote mshamba.

Umenisaidia kuongezea nguvu point yangu.

Although I am unsure if you posses the requisite wattage to comprehend it.
IQ yako ni ndogo sana.
 
Kwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.

Kuona si kuthibitisha kitu kipo.

Kuna nyota unaziona lakini hazipo.

Na kuna nyingine huzioni lakini zipo.

Najua hujui hili. Jifunze.
Kitu kinaweza kuwepo bila kushikika wala kuonekana ili mradi tu kuna hadhari zake.
 
Namuita mtu dogo kulingana na hoja zake kumzidi uwezo wake alionao na anajifanya anajua kumbe hajui huyo ni dogo.

Nimekuambia kuna kitu kinaitwa dark energy kwenye science unakijua ? wanasayansi wanadai pia kipo ila hakionekani live tunaona tu hadhari zake kama gravity n.k mfano huu sasa tuulete kwenye imani kama mfano. maana naona unajifanya unajua science alafu unapoambiwa habari za dark energy hujui kuwa pia ipo lakini haina uthibitisho wa moja kwa moja ipo kwenye data za kisayansi.

Tukija kwenye imani kuna nguvu zinaitwa darkness hizi ni nguvu kama dark energy zipo mimi nishawai kuziona kwenye uchawi na mazingaombwe hizi nguvu zipo ila sio za moja kwa moja kama unavyotaka wewe ziwe labda hujizime data na kujifunga akili.

Kama kwenye mambo ya kiimani kuna darkness lazima kuwe na mwanga pia, huu mwanga naweza kusema ni mungu, kumekuwa na nguvu hizi mbili kwenye dunia lakini hazioneoani moja kwa moja za darkness na nguvu za mwanga takatifu.

Huu ni uthibitisho kuwa mungu yupo ila yeye sio matter kama sisi, matter kisayansi nji kitu kinacho shikika, kina pimaka kina bebeka, mfano watu, gari, nyota, dunia, au hiyo uliyoweka kwenye profile yako ya jamiiforums.

Kwakuwa mungu sio matter hatuwezi kumthibitisha moja kwa moja kama unavyotaka wewe, au kuthibitisha dark energy kwenye space au darkness kwenye dunia labda tuvibadilishe viwe matter kama sisi kwasababu tunaona tu nguvu zake lakini havishikiki.

Kisayansi na kidini kama kitu kinaonekana nguvu zake hata kama hakishikiki hicho kitu kipo.

MFANO

Uchawi, upo haushikiki haupimiki hatuuoni ufanyaji kazi wake upo vipi ila tunahisi tu hadhali zake.
Mtu unayemzidi hoja si dogo, sema hoja zake ndogo. Na hizo hoja ndogo hujaonesha ni ndogo kivipi.

You belittled me hastily and lack the intellectual honesty to accept that.

I do not see any point continuing an exchange with soneone who cannot be intellectually honest and accept that a hasty assumption was made.

There is np point at all continuing this exchange with you. You are a goal shifting imbecile.

Umeshindwa kutenganisha hoja na mtu.

You have a problem with abstraction.

I am bored to death and can see that you are simply not worth my time.

I am placing you in my ignore list and will no longer see your posts.
 
IQ yako ni ndogo sana.
Habari nzima ya IQ ni ushamba mwingine. Wasomi wa hayo mambo hawatumii hilo neno IQ siku hizi. Mnatumia nyie tu ngumbaru.

Kasome the Pulitzer winning "Guns, Germs, and Steel: The Fates of Human Societies". Jared Diamond kaongelea vizuri ujinga wa habari nzima ya IQ.

Nimesoma hicho kitabu mwaka 2000. You are at least 25 years behind.

Hivi nyie watu mnasoma kweli? Mnasoma nini?

Ila hujajua hayo.

Kwa sababu wewe ni mshamba.
 
Mtu unayemzidi hoja si dogo, sema hoja zake ndogo. Na hizo hoja ndogo hujaonesha ni ndogo kivipi.

You belittled me hastily and lack the intellectual honesty to accept that.

I do not see any point continuing an exchange with soneone who cannot be intellectually honest and accept that a hasty assumption was made.

There is np point at all continuing this exchange with you. You are a goal shifting imbecile.

Umeshindwa kutenganisha hoja na mtu.

You have a problem with abstraction.

I am bored to death and can see that you are simply not worth my time. yo

I am placing you in my ignore list and will no longer see your posts.
Naomba nikijibu kwa swali hivi unaweza kuona kitu moja kwa moja ambacho sio matter?

ni jibu nione kama kweli wewe umeenda shule kama hujaenda shule wewe ni dogo usiwe unajichoresha kwa watu waliokuzidi uwezo kama utaki kuitwa dogo. alafu wewe ndio unakuja kuita watu washamba
 
Kwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.

Kuona si kuthibitisha kitu kipo.

Kuna nyota unaziona lakini hazipo.

Na kuna nyingine huzioni lakini zipo.

Najua hujui hili. Jifunze.
kabla ya kumjua Mungu lazima ujijue wewe mwenyewe know thy self ...... bila kujijua wewe mwenyewe huwezi kumjua Mungu
 
Kwanza kabisa kabla ya mengi nacjujua neno la kwanza tu.

Thibitisha kuwa mimi ni "Dogo" kwako na hiyo si dhana ya kufikirika tu iliyokufanya ujivike ukubwa bila ukweli.
Huyu niligundua anatatizo kubwa nikampotezea tu
 
Tutakua tumechelewa Sana, mpaka Kuja kuelewa kuwa ukristo ndio ugonjwa ambao umekua ukitusumbua Kwa vizazi Sasa,

Kondoo hawezi kutamba kwenye kundi la mbwa mwitu hata siku Moja,

Ukristo ni ugonjwa ambao usipotibika, unazaa kizazi dhaifu ambacho kinaelekea kupotea,

Nikukumbushe kidogo mjomba, Leo wachaga wanasema wanaenda mbinguni Kwa mungu, lakini Kabla ya kubatizwa walikuwa wanaenda Kwa wamiku, na wamekuwa wagonjwa kweli, walichobaki kujivunia ni kivuli Cha mangi
 
Habari nzima ya IQ ni ushamba mwingine. Wasomi wa hayo mambo hawatumii hilo neno IQ siku hizi. Mnatumia nyie tu ngumbaru.

Kasome the Pulitzer winning "Guns, Germs, and Steel: The Fates of Human Societies". Jared Diamond kaongelea vizuri ujinga wa habari nzima ya IQ.

Nimesoma hicho kitabu mwaka 2000. You are at least 25 years behind.

Hivi nyie watu mnasoma kweli? Mnasoma nini?

Ila hujajua hayo.

Kwa sababu wewe ni mshamba.
Dogo umekuja kuniita mimi mshamba
Huyu niligundua anatatizo kubwa nikampotezea tu
wewe unatia haibu sana unakataa mungu ukiulizwa hatima yako ni nini hujui sasa wewe mzima kweli ?

cha kushangaza unaniona mimi ndio nimekosea subiri watu wenye uwezo mdogo kama wako waje kuanzisha nyuzi uchangie naona unapojichanganya na wa watu wenye uelevu unatia aibu sijui mke wako akipita hapa atakuonaje.
 
Tutakua tumechelewa Sana, mpaka Kuja kuelewa kuwa ukristo ndio ugonjwa ambao umekua ukitusumbua Kwa vizazi Sasa,

Kondoo hawezi kutamba kwenye kundi la mbwa mwitu hata siku Moja,

Ukristo ni ugonjwa ambao usipotibika, unazaa kizazi dhaifu ambacho kinaelekea kupotea,

Nikukumbushe kidogo mjomba, Leo wachaga wanasema wanaenda mbinguni Kwa mungu, lakini Kabla ya kubatizwa walikuwa wanaenda Kwa wamiku, na wamekuwa wagonjwa kweli, walichobaki kujivunia ni kivuli Cha mangi
Unasema kwamba ulisikia kuna watu walikuwa wakisema wakibatizwa wanaenda mbinguni?

Ukadhani wote hao ni ukristo mzima wenye imani kama hiyo basi uka solve wote ni ugonjwa kwasababu ulisikia wachaga wanaenda mbinguni.

Sina cha kukulaumu upo sahihi kama unauelewa mdogo.
 
Dogo kuwa na heshima basi, sio kila mtu unalingana nae, kwa hizi akili sijui mke wako na wazazi wako na jamii kwa ujumla watakuwa wanaishi vipi na wewe kiufupi huna akili.
Siwezi kuzidiwa akili na mtu anaeamini huko juu ya mawingu Kuna mzungu moja alikufaga miaka 2000 ilopita anasikiliza chochote utakachomuomba anamwambia baba ake akupe. Halafu anayekuambia hizo stori anasema ukimpa hela yeye inayoitwa sadaka, huyo mzungu huko juu atafurahi na atakubariki. Ni upuuzi kiwango cha lami.

Lakini watu wanatoa magari na nyumba kuwapa wachungaji
 
Dogo umekuja kuniita mimi mshamba

wewe unatia haibu sana unakataa mungu ukiulizwa hatima yako ni nini hujui sasa wewe mzima kweli ?

cha kushangaza unaniona mimi ndio nimekosea subiri watu wenye uwezo mdogo kama wako waje kuanzisha nyuzi uchangie naona unapojichanganya na wa watu wenye uelevu unatia aibu sijui mke wako akipita hapa atakuonaje.
Wewe ni wa kukutia ignore tu 🚮
 
Paka sasa wengi tuna mtukana Mungu, kwa matendo yeti na Imani zetu
 
Back
Top Bottom