Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kama wewe.Kuna watu bado washamba sana.
Hata kama kweli mimi ni mshamba.Kama wewe.
mimi nathibitisha Mungu yupo tena physically achana na maneno tupu hata wewe unaweza kumwona tatizo kuamini kwako tu .OOO POWERMpaka sasa.
1. Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.
2. Hakuna aliyeweza kupangua contradictions zilizopo katika maelezo ya kuwapo kwa Mungu.
3. Hakuna aliyeweza kumuelezea Mungu nje ya framework ya imani, ambayo tunajua haihitaji uthabiti na unaruhusiwa kuamini hata uongo.
Kwa maneno mengine maelezo yote ya Mungu hayajawekwa nje ya framework inayoweza kutumika kuelezea uongo wowote ule.
Kwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.mimi nathibitisha Mungu yupo tena physically achana na maneno tupu hata wewe unaweza kumwona tatizo kuamini kwako tu .OOO POWER
Namuita mtu dogo kulingana na hoja zake kumzidi uwezo wake alionao na anajifanya anajua kumbe hajui huyo ni dogo.Mpaka sasa.
1. Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.
2. Hakuna aliyeweza kupangua contradictions zilizopo katika maelezo ya kuwapo kwa Mungu.
3. Hakuna aliyeweza kumuelezea Mungu nje ya framework ya imani, ambayo tunajua haihitaji uthabiti na unaruhusiwa kuamini hata uongo.
Kwa maneno mengine maelezo yote ya Mungu hayajawekwa nje ya framework inayoweza kutumika kuelezea uongo wowote ule.
Huwezi kuona kitu ambacho sio matter mbumbumbu weweKwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.
Kuona si kuthibitisha kitu kipo.
Kuna nyota unaziona lakini hazipo.
Na kuna nyingine huzioni lakini zipo.
Najua hujui hili. Jifunze.
IQ yako ni ndogo sana.Hata kama kweli mimi ni mshamba.
Hilo nalo litakuwa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Maana, Mungu huyo angekuwapo, kimantiki, kusingekuwa na mtu yeyote mshamba.
Umenisaidia kuongezea nguvu point yangu.
Although I am unsure if you posses the requisite wattage to comprehend it.
Kitu kinaweza kuwepo bila kushikika wala kuonekana ili mradi tu kuna hadhari zake.Kwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.
Kuona si kuthibitisha kitu kipo.
Kuna nyota unaziona lakini hazipo.
Na kuna nyingine huzioni lakini zipo.
Najua hujui hili. Jifunze.
Namuita dogo, kwasababu naweza kumfundisha yeye bado ni mwanafunzi mdogo sanaIQ yako ni ndogo sana.
Mtu unayemzidi hoja si dogo, sema hoja zake ndogo. Na hizo hoja ndogo hujaonesha ni ndogo kivipi.Namuita mtu dogo kulingana na hoja zake kumzidi uwezo wake alionao na anajifanya anajua kumbe hajui huyo ni dogo.
Nimekuambia kuna kitu kinaitwa dark energy kwenye science unakijua ? wanasayansi wanadai pia kipo ila hakionekani live tunaona tu hadhari zake kama gravity n.k mfano huu sasa tuulete kwenye imani kama mfano. maana naona unajifanya unajua science alafu unapoambiwa habari za dark energy hujui kuwa pia ipo lakini haina uthibitisho wa moja kwa moja ipo kwenye data za kisayansi.
Tukija kwenye imani kuna nguvu zinaitwa darkness hizi ni nguvu kama dark energy zipo mimi nishawai kuziona kwenye uchawi na mazingaombwe hizi nguvu zipo ila sio za moja kwa moja kama unavyotaka wewe ziwe labda hujizime data na kujifunga akili.
Kama kwenye mambo ya kiimani kuna darkness lazima kuwe na mwanga pia, huu mwanga naweza kusema ni mungu, kumekuwa na nguvu hizi mbili kwenye dunia lakini hazioneoani moja kwa moja za darkness na nguvu za mwanga takatifu.
Huu ni uthibitisho kuwa mungu yupo ila yeye sio matter kama sisi, matter kisayansi nji kitu kinacho shikika, kina pimaka kina bebeka, mfano watu, gari, nyota, dunia, au hiyo uliyoweka kwenye profile yako ya jamiiforums.
Kwakuwa mungu sio matter hatuwezi kumthibitisha moja kwa moja kama unavyotaka wewe, au kuthibitisha dark energy kwenye space au darkness kwenye dunia labda tuvibadilishe viwe matter kama sisi kwasababu tunaona tu nguvu zake lakini havishikiki.
Kisayansi na kidini kama kitu kinaonekana nguvu zake hata kama hakishikiki hicho kitu kipo.
MFANO
Uchawi, upo haushikiki haupimiki hatuuoni ufanyaji kazi wake upo vipi ila tunahisi tu hadhali zake.
Habari nzima ya IQ ni ushamba mwingine. Wasomi wa hayo mambo hawatumii hilo neno IQ siku hizi. Mnatumia nyie tu ngumbaru.IQ yako ni ndogo sana.
Naomba nikijibu kwa swali hivi unaweza kuona kitu moja kwa moja ambacho sio matter?Mtu unayemzidi hoja si dogo, sema hoja zake ndogo. Na hizo hoja ndogo hujaonesha ni ndogo kivipi.
You belittled me hastily and lack the intellectual honesty to accept that.
I do not see any point continuing an exchange with soneone who cannot be intellectually honest and accept that a hasty assumption was made.
There is np point at all continuing this exchange with you. You are a goal shifting imbecile.
Umeshindwa kutenganisha hoja na mtu.
You have a problem with abstraction.
I am bored to death and can see that you are simply not worth my time. yo
I am placing you in my ignore list and will no longer see your posts.
kabla ya kumjua Mungu lazima ujijue wewe mwenyewe know thy self ...... bila kujijua wewe mwenyewe huwezi kumjua MunguKwanza kabisa hata hujui kuthibitisha ni nini.
Kuona si kuthibitisha kitu kipo.
Kuna nyota unaziona lakini hazipo.
Na kuna nyingine huzioni lakini zipo.
Najua hujui hili. Jifunze.
Huyu niligundua anatatizo kubwa nikampotezea tuKwanza kabisa kabla ya mengi nacjujua neno la kwanza tu.
Thibitisha kuwa mimi ni "Dogo" kwako na hiyo si dhana ya kufikirika tu iliyokufanya ujivike ukubwa bila ukweli.
Dogo umekuja kuniita mimi mshambaHabari nzima ya IQ ni ushamba mwingine. Wasomi wa hayo mambo hawatumii hilo neno IQ siku hizi. Mnatumia nyie tu ngumbaru.
Kasome the Pulitzer winning "Guns, Germs, and Steel: The Fates of Human Societies". Jared Diamond kaongelea vizuri ujinga wa habari nzima ya IQ.
Nimesoma hicho kitabu mwaka 2000. You are at least 25 years behind.
Hivi nyie watu mnasoma kweli? Mnasoma nini?
Ila hujajua hayo.
Kwa sababu wewe ni mshamba.
wewe unatia haibu sana unakataa mungu ukiulizwa hatima yako ni nini hujui sasa wewe mzima kweli ?Huyu niligundua anatatizo kubwa nikampotezea tu
Unasema kwamba ulisikia kuna watu walikuwa wakisema wakibatizwa wanaenda mbinguni?Tutakua tumechelewa Sana, mpaka Kuja kuelewa kuwa ukristo ndio ugonjwa ambao umekua ukitusumbua Kwa vizazi Sasa,
Kondoo hawezi kutamba kwenye kundi la mbwa mwitu hata siku Moja,
Ukristo ni ugonjwa ambao usipotibika, unazaa kizazi dhaifu ambacho kinaelekea kupotea,
Nikukumbushe kidogo mjomba, Leo wachaga wanasema wanaenda mbinguni Kwa mungu, lakini Kabla ya kubatizwa walikuwa wanaenda Kwa wamiku, na wamekuwa wagonjwa kweli, walichobaki kujivunia ni kivuli Cha mangi
Siwezi kuzidiwa akili na mtu anaeamini huko juu ya mawingu Kuna mzungu moja alikufaga miaka 2000 ilopita anasikiliza chochote utakachomuomba anamwambia baba ake akupe. Halafu anayekuambia hizo stori anasema ukimpa hela yeye inayoitwa sadaka, huyo mzungu huko juu atafurahi na atakubariki. Ni upuuzi kiwango cha lami.Dogo kuwa na heshima basi, sio kila mtu unalingana nae, kwa hizi akili sijui mke wako na wazazi wako na jamii kwa ujumla watakuwa wanaishi vipi na wewe kiufupi huna akili.
Wewe ni wa kukutia ignore tu 🚮Dogo umekuja kuniita mimi mshamba
wewe unatia haibu sana unakataa mungu ukiulizwa hatima yako ni nini hujui sasa wewe mzima kweli ?
cha kushangaza unaniona mimi ndio nimekosea subiri watu wenye uwezo mdogo kama wako waje kuanzisha nyuzi uchangie naona unapojichanganya na wa watu wenye uelevu unatia aibu sijui mke wako akipita hapa atakuonaje.