Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

Jamaa aliamini yeye ni Alfa naomega BK hahahaa imekula kwake
 
Mayala kwangu namchukulia kama mchambuzi mahiri sana, lkn kuna wakati anazidisha mahaba hapo ndo anachemka. cdm na ccm sio rahisi kufa kwa sababu ya mtu mmoja kahama, hivi vyama viwili tayari vina mizizi iliyochimbia chini. Havielei kama vyama vingine. mifano ipo mingi
 
Mada ya kikuda kabisa hii. Hujui hii ni taasisi? Imawezaje kuwa hai kwa sababu ya uwepo wa mtu mmoja. Unajisikiaje sasaivi baada ya kutimuliwa na chadema inaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…