Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
[emoji15]Anaitwa Omar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15]Anaitwa Omar
Mkuu pole sana kwa BANAngekuwa na UROZI au SUMU asingesita kuitumia ili kuimaliza chadema.
Njaa haina baunsaMara kwanza nilifikili huyu jamaa atachukua nafasi za wakina Jenerali wakati wana zeeka kumbe ni jini wakijani tuu...huyu puuzi na pumbavu kabisa
Thanks, if it makes you happy, be happy!.Pumbavu we kitimoto
Niko salama sana.Nakusalimu tu bwana Paskal salama?
Maisha yanakwenda kasi sana.
Soma ushauri huu, uangalie umetolewa lini na nani!.wakina Pascal ndo walikuwa wanamdanganya Magufuli. Akaona kampen zitakuwa nyepesi, kwaiyoo hakujiandaa vizuri.
Jamaa aliamini yeye ni Alfa naomega BK hahahaa imekula kwakeUzi huu Pascal aliuanzisha tarehe 14 May 2020 ukajadiliwa na ukafa lakini kwa vile vitu vya JF huwa haviozi basi watu wakachimba kaburi na kufufua hoja hii tarehe 18 Sept 2020 na kuendelea kujadili mpaka leo hii ni siku 33 lakini Pascal hajatia neno wala ku click deslike,
Nakushauri Pasco acha kulisha watu matango pori na hasa hiyo hoja yako mfu ya chama kufa eti kwa sababu Lwakatare kafukuzwa, alifufutwa uanachama Dr Slaa na chama ndio kwanza kinazidi kukomaa kuliko kipindi chake, leo Bashisru au Polepole akifukuzwa CCM nani kakuambia uwe na fikra kwamba CCM itakufa?
Panda jukwaani uje hapa kujibu hoja zako kwa Lwakatare na wana Bukoba ambao binafsi nafikiri wamekujibu kupitia kwa Chief Kalumuna na kama sio Tume hii tuliyonayo sina wasiwasi tayari huyo bwana ni Mbuge wa Bukoba mjini
Mayala kwangu namchukulia kama mchambuzi mahiri sana, lkn kuna wakati anazidisha mahaba hapo ndo anachemka. cdm na ccm sio rahisi kufa kwa sababu ya mtu mmoja kahama, hivi vyama viwili tayari vina mizizi iliyochimbia chini. Havielei kama vyama vingine. mifano ipo mingiUzi huu Pascal aliuanzisha tarehe 14 May 2020 ukajadiliwa na ukafa lakini kwa vile vitu vya JF huwa haviozi basi watu wakachimba kaburi na kufufua hoja hii tarehe 18 Sept 2020 na kuendelea kujadili mpaka leo hii ni siku 33 lakini Pascal hajatia neno wala ku click deslike,
Nakushauri Pasco acha kulisha watu matango pori na hasa hiyo hoja yako mfu ya chama kufa eti kwa sababu Lwakatare kafukuzwa, alifufutwa uanachama Dr Slaa na chama ndio kwanza kinazidi kukomaa kuliko kipindi chake, leo Bashisru au Polepole akifukuzwa CCM nani kakuambia uwe na fikra kwamba CCM itakufa?
Panda jukwaani uje hapa kujibu hoja zako kwa Lwakatare na wana Bukoba ambao binafsi nafikiri wamekujibu kupitia kwa Chief Kalumuna na kama sio Tume hii tuliyonayo sina wasiwasi tayari huyo bwana ni Mbuge wa Bukoba mjini
Lwakatare kaondoka vipi chadema imekwisha?Niko free na wala sijajiona mpuuzi
P
Atakuwa anajiita DullaTunaomba mlioko Dar mtusaidie kujua jina la Kiislamu la Pasco.
Ustaadh Omar.Atakuwa anajiita Dulla