Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #41
Yani unaenda kwenye group la ccm alafu unasema haya tupige kura, alafu unashangaa mgombea wa ccm akishinda?
Alafu kwa taarifa yako tu ni kwamba hao hao wa mitandaoni ndio waliohamasishana wasiende kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura.
Kwa hiyo walioenda ni wazee na kina mama wa chama cha mapinduzi ndio watakaopiga kura.
.
Wapinzani wanashindwa kwa vingi na always wao huwa marais walioshinda kupitia mitandao.
Mkuu hivi unaanzisha poll kwenye group la Maria Sarungi au Fatuma Karume unategemea matokeo yatakuwaje wakati wafuasi wa hao wadada wanajulikana?Polls hazionyeshi majina, na hakuna namna muanzisha poll anaweza kujua aliyepiga kura ni nani na nani
Kinachomsaidia JPM ni kusombwa watu kutoka vijijini na kupelekwa kwenye mkutano na zawadi ya tshirt juu,kufungwa kwa shule na watoto kupelekwa mkutanoni,kulazimisha watumishi kuhudhuria kampeni na wasanii lukuki ili kuwavuta makundi ya watu waliobakia!Teh teh teh, chukua mkutano wowote aliofanya Magufuli sehemu yoyote, then, angalia aina ya watu wanaohudhuria halafu utapata majibu kama wanna access na mitandao au hawana.
Hizo polls zinazofanywa na watu obviously matokeo yake yatategemea muelekeo wake. Unajua Nini kitatokea kwenye Poll iliyoanzishwa na Fatuma Katume au Maria Sarungi kwa sababu 90% ya wafuasi wake ni wale wanaopendezwa na misimamo yake.
Matokeo yatakuwa hivo hivo kwenye page ya Gerson Msigwa, Antony Mavunde au Hamis Kigwangala.
So acheni kujipa matumaini bure, angalieni Population anayopata Magu tena barabarani na kwenye vimiji vidogo, angalia aina ya watu wanaokwenda kwenye mikutano ya Magu na wale wanaokwenda kwenye mikutano ya Loketo utaona tofauti.
Mmoja ana wapiga kura, mwingine ana wafuasi.
Mkuu hivi unaanzisha poll kwenye group la Maria Sarungi au Fatuma Karume unategemea matokeo yatakuwaje wakati wafuasi wa hao wadada wanajulikana?
Wale wadada wanataka wafuasi mnaoendana kimawazo yani muwe kama nyuki kwamba kama tunaelekea mashariki wote tunaenda huko.Kwani Maria Sarungi na Fatuma Karume waliweka masharti ya kuzingatia kabla hujawafollow?
Wananchi wa itikadi zote wanawafollow
Wafuasi hawapigi kura? Nilikaribia kukuelewa lkn nilipofika kwenye pointi hii nikajuta kupoteza muda wangu kuyasoma maandishi yako.Mmoja ana wapiga kura, mwingine ana wafuasi.
Mkuu naomba nikusahihishe kidogo unaposema internet users wanakalibiana na wapiga kura hivyo kujipa moyo kuwa kelele za bwana yule mwenye risasi kumi sita kiunoni atashinda uchaguzi ni kujidanganya sana kitu ambacho hujui ni kuwa hao wanao hesabu watumiaji wa internet wanaangalia laini , hivyo kwa mtu kama mimi ninayetumia laini tatu kwa internet watajua kuwa ni watumiaji watatu kitu ambacho siyo.
Kitu kingine hata kama wataangalia simu kumbuka simu nyingi kwa sasa zina laini mbili,kila sehemu(LAINI) unakuwa na mfumo wake wa kutambulika(IMEI) katika mtandao,yaani ikiwa utatumia laini ya voda kupata huduma ya internet kwenye simu yako ya laini mbili utahesabika kama mtumiaji mmoja,ukitumia tena laini ya pili kupitia simu hiyo hiyo utahesabika mtumiaji wa pili kwa hiyo data hizo hazina accuracy.
Acheni kujidanganya kuwa watu wanao lisapoti dubwana lenu huko mitandaoni kuwa lazima liupate urais hakika mnajidanganya sana,
Tanzania is for CCM and CCM is for Tanzania, all people say amen.
Pole sana eti magufuli anakubalika kwa kipi hasa kwa mfanoKwani kwani Kuna Chama hakifanyi hivo. Kila chama kabla mgombea wake hajapita linafanya Mipango na maandizi ya kuhakikisha watu wapo wa kutosha, tofauti tu ni nani ana Mipango mizuri na anakubalika na watu!
Soma kwa umakini nilichoandikaIdadi ya laini zote nchini ni zaidi ya milion 42
Wangekuwa wanaangalia laini wasingesema watumiaji wa mitandao ni milion 23, wangesema ni milioni 42
Kwangu mm dubwana ni lile linaloteka watu, lknaloua watu, linalopora wafanyabiashara fedha zao, linalopayuka maneno ya kingono hadharani. Hilo ndiyo dubwana .dubwana lenu huko mitandaoni kuwa lazima liupate urais
Lile lenye mashavu kama paka shume? Sijui limekula nini ?Kwangu mm dubwana ni lile linaloteka watu, lknaloua watu, linalopora wafanyabiashara fedha zao, linalopayuka maneno ya kingono hadharani. Hilo ndiyo dubwana .
Kwahiyo mkuu kwa akili yako ccm wenyewe hawana watu ambao hawaendi mikutano ila wataipigia kura?Na pia kuna watu ambao hatuhudhurii mikutano wala hatuko active sana kucomment kwenye page mbalimbali ila tulishafanya maamuzi tangu Lissu atangazwe kugombea kuwa tutamchagua..Magu hana jipya la kuongea na kama sera zake tumeshazisikia kwa miaka 5...nothing is new kwake wala hiyo manifesto yao...
Wasimpime Lissu kwa idadi ya watu wanaohudhuria mikutano yake tu kuna sie back benchers wenye kichinjio na hatuna mpango wa kwenda kwenye mikutano ya hadhara kutokana na sababu mbalimbali...mfano ujauzito...ubusy wa majukumu nk....
Huwezi kuelewa maana hilo ni neno lisilokufurahisha.Wafuasi hawapigi kura? Nilikaribia kukuelewa lkn nilipofika kwenye pointi hii nikajuta kupoteza muda wangu kuyasoma maandishi yako.
Siyo kweli. Asubuhi hii muulize jirani yako kwamba: "Jirani utamchagua nani?"Tanzania is for CCM and CCM is for Tanzania, all people say amen.
Mnajua kujipa moyo,lissu ni sawa na gunia la mavi,habebeki kichwani wala begàni,Siyo kweli. Asubuhi hii muulize jirani yako kwamba: "Jirani utamchagua nani?"
Akikupa jibu Rudi hapa tuendelee kujenga hoja.
Magufuli mwaka huu atanyimwa kura mpk na mawaziri wake.
Sasa wewe kutokumkubali kwako hakufanyi awe hakubalili!Pole sana eti magufuli anakubalika kwa kipi hasa kwa mfano
Asiyebebeka ni yule aliyekataliwa Kagera halafu hasira akamalizia kwa kumfukuza mwenyekiti wa ccm mkoa wa KageraMnajua kujipa moyo,lissu ni sawa na gunia la mavi,habebeki kichwani wala begàni,