Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #41
Yani unaenda kwenye group la ccm alafu unasema haya tupige kura, alafu unashangaa mgombea wa ccm akishinda?
Alafu kwa taarifa yako tu ni kwamba hao hao wa mitandaoni ndio waliohamasishana wasiende kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura.
Kwa hiyo walioenda ni wazee na kina mama wa chama cha mapinduzi ndio watakaopiga kura.
.
Wapinzani wanashindwa kwa vingi na always wao huwa marais walioshinda kupitia mitandao.
Polls hazionyeshi majina, na hakuna namna muanzisha poll anaweza kujua aliyepiga kura ni nani na nani