Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Hao Watendaji na Wakuu wa Wilaya wasiteuliwe na serikali, wachaguliwe na wananchi kama Madiwani. Mkurugenzi awe mwajiriwa wa Wilaya husika na siyo mteule wa Rais toka Dodoma!!
Sababu kubwa ikiwa ni ipi?
 
Sasa Kama hayo yote hayatafanyika sasa Kuna haja gani ya kuwa na majimbo?

Mnatetea kqasat Lissu kasema au?

Kijana asie na ajira atapata ajira kwasababu ya serikali za majimbo? Sanasana ubaguzi utatokea, utasikia tunataka tuajiri vijana waliopo kwenye Jimbo letu.
 
Mtu anasema kama ni mkuu wa mkoa Basi achaguliwe na wananchi
Kama ni mkuu wa wilaya Basi achaguliwe na wananchi

Hivi kwa mtindo huo unadhani Kanda ya kaskazini kitakuwa na kiongozi asie mchaga, mmeru, mmasai, mbarbeig n.k wanaotokea huko? Never.

Halafu baadae wataanza kuulizana, mbona kila siku mkuu wa mkoa ni kabila Fulani? Ukavila na udini utaanzia hapo
 
Ilitakiwa iwe hivyo lakini siyo hivyo. Bajeti inatayarishwa, pesa zinakusanywa kuanzia huku chini ... lakini matumizi yanaamuliwa Dodoma. Mfano, Chato Airport iko kwenye bajeti ya mwaka gani ...!?
Umeona sasa ubaguzi wenyewe unavyoanza? Kama ingekuwa n serikali ya majimbo salamu mnazotuma ni kuwa Chato qmbayo Ni Jimbo la nchi ya Marekani wangesubiri sana kupata airport kutoka wahisani wa nchi ya Tanzania
 
Uasi kwenye nchi huanza kwa kuwa na serikali za majimbo. Wakishajiona wanakula na wanauwezo wa kwenda chooni vizuri utasikia chokochoko, ooh Jimbo la kitopeni linataka kujitenga
 
Sasa unajipinga mwenyewe? Nimesema nchi mbili za Ujerumani magharibi na Mashariki hapo kabla ya kuungana. Wewe vipi?

Mbona jamaa alijieleza vizuri sana, nimepitia maoni yako wewe ndiye unaonekana umepania kupotosha watu na kuleta taharuki zisizo na msingi wowote - tuulizeni sisi tulio wahi kuishi kwenye Mataifa ambayo yana practice utawala wa majibo - mambo mengi yanayo zungunzwa kuhusu ubaya wa uendeshaji Taifa kimajimbo hayana ukweli wowote on the contrary unafanya majimbo yafanye kazi kwa bidii na kuwajibika kijamikifu jimboni, viongozi na watendaji wakauu ni wakazi/ wazaliwa wa jimbo husika hivyo uwajibikaji ni wa hali ya juu sana - majimbo yanayo lega lega yanakwenda kujifunza kutoka kwa majimbo ambayo yako mbele kimaendeleo, yanachangiwa fedha kutoka majimboni yenye uwezo mkubwa pamoja na Federal Govt - haya mambo yakutia taharuki watu eti majimbo yatachochea ukabila, yatavunja umoja yana ukweli gani? Mbona hawaelezi kiundani mafanikio ya utawala was kimajimbo huko Merikani, Kanada, Ujerumani, Uingereza, nafikiri na Urusi hata Wakoloni waliongoza Tanganyika kwa mtindo wa kimajimbo kwani kuliharibika nini?
 
Uliona juzi Kati Ireland alitaka kujitenga? Uasi uasi uasi
 
Halafu mtu aseme kaibiwa. Kura zinatafutwa.

Wapinzani watetereke Sana

Your browser is not able to display this video.
 
..kama mikoa haijatutenga, basi majimbo nayo hayawezi kututenga.

..hata wakati Tanganyika ilipokuwa na majimbo wananchi hawakuwa wametengana.

..mfumo wa majimbo utarahisisha shughuli za utawala, na kupeleka maendeleo kwa wananchi kwa haraka zaidi.
Hatuhitaji majimbo, hicho sio kipaumbele. Kama mnataka kujitenga nendeni Sudan
 
Lakini huo mfumo wa majimbo angalia Marekani na hio Canada ilipo kimaendeleo sisi miaka 58 Ujamaa umetufilisi mpaka akili zetu.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Kuna nchi kibao zimeendelea na hazina ishu ya majimbo
 
Lakini huo mfumo wa majimbo angalia Marekani na hio Canada ilipo kimaendeleo sisi miaka 58 Ujamaa umetufilisi mpaka akili zetu.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Kuna nchi kibao zimeendelea na hazina ishu ya majimbo
 
Upon sahihi kabisa si unaona muunga o was Tanganyika na Zanzibar umekuwa donda sugu kila siku ni mshikieli ipo siku hao wazanzibar watachoka hivyo itakuwa mauaji ya halaiki.

Kwa sasa huu utawala wa majimbo utaleta umoja mzuri,bado wazazibar hawajiiti kuwa ni watanzania wanajitambulisha kuwa wao ni wazaznzibari.hii majimbo itaondoa hii
 
Wewe binafsi umekosa Uhuru gani?
 
Tugawane tuu nchi , liwalo na liwe..


Iringa watatumia kihehe kufundishia na kagera watapiga kihaya...

Tatizo lipo wapi.. hakuna nchi ndogo Duniani maskini... Kadri eneo la utawala linavo kuwa dogo ndio uchumi unakua imara.
 
Hii selikali ya majimbo kamwe hataipata.
Kila siku nawauliza, ataunda serikali ipi ilihali wabunge wengi watakuwa wa CCM . Inamaana hatapata spika, Waziri mkuu pia hatapata.
Lazima arudi bungeni kuwaomba au, wampigie kura ya kutokuwa na imani na rais.
 
Unaonekana kupinga serikali za majimbo ila ulichokiandika hapa kinaonesha nguvu za serikali za majimbo.

Ni sawa na kusema mkimchagua cuf siwaletei maendeleo af hapo hapo unasema maendeleo hayana chama
 
Eti rais anakariri kilomita za barabara
 
Nchi haiendeshwi kwa ndoto ya mzee Mtei ambayo CHADEMA wote wanalazimika kuihubiri na kuitetea. Haifai kwani itatuletea shida kubwa Kama taifa. Tutawakataa na hata sasa tumewakataa
Nchi haindeshwi kwa maelekezo ya Jiwe pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…