Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #61
Weka yako ya kikubwa tujadiliMada ya kitoto kabisa hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka yako ya kikubwa tujadiliMada ya kitoto kabisa hii.
Sababu kubwa ikiwa ni ipi?Hao Watendaji na Wakuu wa Wilaya wasiteuliwe na serikali, wachaguliwe na wananchi kama Madiwani. Mkurugenzi awe mwajiriwa wa Wilaya husika na siyo mteule wa Rais toka Dodoma!!
Sasa Kama hayo yote hayatafanyika sasa Kuna haja gani ya kuwa na majimbo?Kwani kipi kilianza;majimbo au maendeleo? N unaposema issue ya Ukabila inakujaje? Kwani tukisema Mwanza,Geita,Shinyanga liwe jimbo moja ndio itachochea ukabila? Kwani watu wa makabila mengine hawatoruhusiwa kufanya kazi?Kazi zitatolewa kwa kigezo cha ukabila? Shule zitafundishwa kwa kisukuma? Askari watakao toka depo watagawanywa kwa ukabila? maswali mengi tu
Umeona sasa ubaguzi wenyewe unavyoanza? Kama ingekuwa n serikali ya majimbo salamu mnazotuma ni kuwa Chato qmbayo Ni Jimbo la nchi ya Marekani wangesubiri sana kupata airport kutoka wahisani wa nchi ya TanzaniaIlitakiwa iwe hivyo lakini siyo hivyo. Bajeti inatayarishwa, pesa zinakusanywa kuanzia huku chini ... lakini matumizi yanaamuliwa Dodoma. Mfano, Chato Airport iko kwenye bajeti ya mwaka gani ...!?
Sasa unajipinga mwenyewe? Nimesema nchi mbili za Ujerumani magharibi na Mashariki hapo kabla ya kuungana. Wewe vipi?
Uliona juzi Kati Ireland alitaka kujitenga? Uasi uasi uasiMbona jamaa alijieleza vizuri sana, nimepitia maoni yako wewe ndiye unaonekana umepania kupotosha watu na kuleta taharuki zisizo na msingi wowote - tuulizeni sisi tulio wahi kuishi kwenye Mataifa ambayo yana practice utawala wa majibo - mambo mengi yanayo zungunzwa kuhusu ubaya wa uendeshaji Taifa kimajimbo hayana ukweli wowote on the contrary unafanya majimbo yafanye kazi kwa bidii na kuwajibika kijamikifu jimboni, viongozi na watendaji wakauu ni wakazi/ wazaliwa wa jimbo husika hivyo uwajibikaji ni wa hali ya juu sana - majimbo yanayo lega lega yanakwenda kujifunza kutoka kwa majimbo ambayo yako mbele kimaendeleo, yanachangiwa fedha kutoka majimboni yenye uwezo mkubwa pamoja na Federal Govt - haya mambo yakutia taharuki watu eti majimbo yatachochea ukabila, yatavunja umoja yana ukweli gani? Mbona hawaelezi kiundani mafanikio ya utawala was kimajimbo huko Merikani, Kanada, Ujerumani, Uingereza, nafikiri na Urusi hata Wakoloni waliongoza Tanganyika kwa mtindo wa kimajimbo kwani kuliharibika nini?
Halafu mtu aseme kaibiwa. Kura zinatafutwa.Mbona jamaa alijieleza vizuri sana, nimepitia maoni yako wewe ndiye unaonekana umepania kupotosha watu na kuleta taharuki zisizo na msingi wowote - tuulizeni sisi tulio wahi kuishi kwenye Mataifa ambayo yana practice utawala wa majibo - mambo mengi yanayo zungunzwa kuhusu ubaya wa uendeshaji Taifa kimajimbo hayana ukweli wowote on the contrary unafanya majimbo yafanye kazi kwa bidii na kuwajibika kijamikifu jimboni, viongozi na watendaji wakauu ni wakazi/ wazaliwa wa jimbo husika hivyo uwajibikaji ni wa hali ya juu sana - majimbo yanayo lega lega yanakwenda kujifunza kutoka kwa majimbo ambayo yako mbele kimaendeleo, yanachangiwa fedha kutoka majimboni yenye uwezo mkubwa pamoja na Federal Govt - haya mambo yakutia taharuki watu eti majimbo yatachochea ukabila, yatavunja umoja yana ukweli gani? Mbona hawaelezi kiundani mafanikio ya utawala was kimajimbo huko Merikani, Kanada, Ujerumani, Uingereza, nafikiri na Urusi hata Wakoloni waliongoza Tanganyika kwa mtindo wa kimajimbo kwani kuliharibika nini?
Hatuhitaji majimbo, hicho sio kipaumbele. Kama mnataka kujitenga nendeni Sudan..kama mikoa haijatutenga, basi majimbo nayo hayawezi kututenga.
..hata wakati Tanganyika ilipokuwa na majimbo wananchi hawakuwa wametengana.
..mfumo wa majimbo utarahisisha shughuli za utawala, na kupeleka maendeleo kwa wananchi kwa haraka zaidi.
Kuna nchi kibao zimeendelea na hazina ishu ya majimboLakini huo mfumo wa majimbo angalia Marekani na hio Canada ilipo kimaendeleo sisi miaka 58 Ujamaa umetufilisi mpaka akili zetu.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kuna nchi kibao zimeendelea na hazina ishu ya majimboLakini huo mfumo wa majimbo angalia Marekani na hio Canada ilipo kimaendeleo sisi miaka 58 Ujamaa umetufilisi mpaka akili zetu.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Wewe binafsi umekosa Uhuru gani?Naona umeleta ushahidi hapa kuwa majimbo hayana uhusiano wowote na kuondoa umoja wa kitaifa kwa mifano uliyoitoa!
Ninachoshangaa ni kwamba kama mnaupenda sana umoja wa kitaifa kwaninj hamzungumzii uhuru na haki za raia wenu?Haya meneno mawaili mnayaona kama ukakasi midomoni kwenu!
Msingi wa umoja wa kitaifa na haki na uhuru!
Waungwana,
Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha.
Marekani walikuwa mataifa huru 50. Kuwaunganisha ni lazima uwaachie baadhi ya madaraka yao, hivyo mfumo wa Serikali ya Majimbo ni sahihi kwao.
Canada wanashida ya lugha. Kuna majimbo hawajui au hawaongei kabisa kiingereza, wenyewe wanaongea kifaransa. Hawa ni muhimu kuwa na majimbo ili wawe huru kutumia lugha waipendayo.
Ujerumani walitawanyika na kuwa nchi mbili tofauti na ukuta ukajengwa Kati ya Ujerumani ya Mashariki na ile ya magharibi. Hawa ili kuwaunganisha mfumo wa Serikali ya Majimbo ulikuwa lazima ila maeneo hayo yabaki na sehemu ya utawala wake wa awali.
Nigeria imepitia mengi sana sana Kati ya waislamu wa kaskazini na wakristo wa kusini. Waafrika kusini vilevile wamepitia mengi Kuhusu ukoloni na ukaburu. Wazungu wengi walibaki Afrika Kusini baada ya Uhuru kamili mwaka 1994. Kwa misingi hiyo, unaweza kabisa kuona Nigeria na Afrika kusini walihitaji utawala wa majimbo.
Sisi Tanzania tunahitaji utawala wa majimbo ili iweje? Je, changamoto za kiuchumi, utamaduni na kisiasa zinatokana na mazingira hayo niliyoyataja hapo juu?
Wazungu hawana makabila na karibu wote wana dini au imani sawa. Kuwawekea utawala wa majimbo sio mbaya. Hapa kwetu tunajadili sio to dini Bali hata dhehebu. Kuna baadhi ya watu walisema katika uchaguzi wa 2015, Sasa ni zamu ya M-KKKT kuwa wa -RC wametawala Sana. Sasa kwenye nchi Kama hii uanze umajimbo, tunategemea nini kitokee?
Majimbo yatatutenga zaidi badala ya kutuleta pamoja. Mfumo wa Serikali za mitaa kwa Tanzania ni mzuri na toshelevu. Kama Kuna changamoto basi ni Kuboresha tuu.
Ninawashangaa Sana wapinzani, sijui wamekunywa wanzuki ya wapi. Tasilimali za kila eneo husaidia eneo hilo na maeneo mengine. Hii ni kwasababu watu wanaingiliana na wanaweza kuishi popote. Mtoto wa Kagera anapangiwa kazi Tanga na maisha yanaenda. Mtu wa Mtwara anahamia Mbeya anakuwa mnyaki maisha yanaenda.
Watanzania tuukumbatie umoja, amani na mshikamano wetu kwa kuchagua mafiga matatu hapo 28 Oktoba, 2020. Tuwaadhibu wapinzani wanaotaka kutugawa kwa kuwanyima kura.
Amani Msumari
Tanga (kwasasa Kigamboni kumtafutia Rais Magufuli kura za bonus).
Hii selikali ya majimbo kamwe hataipata.Hayo mtaenda kufungua mashitaka baada ya Tundu Lisu kuapishwa kuwa Raisi 2020,ila kwa sasa tena msirukie huko na kutaka kupotosha. lengo ni kuiondoa CCM hatusikii hatuoni liwalo na liwe lakini CCM kwanza ikae pembeni.
Hata kura ya maoni inaweza kutaarishwa kwa hilo linalowakwaza.Ila sasa kwanza CCM wakae chonjo wapumzishwe.
Kushiriki kikamilifu katika shughuli za kisiasa!Nikiangalia wanayopitia wapinzani mfano Lissu,Ben Saanane,Mawazo na akina Nusrat Henje napata hofu kuingia kwenye siasa!Wewe binafsi umekosa Uhuru gani?
Eti rais anakariri kilomita za barabaraNdiyo maana tunasema serikali kuu isijihusishe na miradi midogo midogo. Rais hawezi kufika Kila kona ya nchi. Mambo ya Choo cha stand yaangaliwe na local governments. Ndiyo maana utakuta Rais anakariri miradi ili kuwa impress wananchi which is not necessary.
Nchi haindeshwi kwa maelekezo ya Jiwe pia!Nchi haiendeshwi kwa ndoto ya mzee Mtei ambayo CHADEMA wote wanalazimika kuihubiri na kuitetea. Haifai kwani itatuletea shida kubwa Kama taifa. Tutawakataa na hata sasa tumewakataa