Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Historia ya Nigeria ni tofauti sana na sisi. Huko uasi ulikuwa juu sana ukisababishwa na udini, ukabila na uwepo wa rasilimali. Kila mtu akivutia kwake. Ili kuepusha vurugu ndio ikaamuliwa basi wapewe madaraka flani ili roho zao.

Well, kwa hiyo unakubali kwamba dawa ya huo mtafaruku ni majimboism na ndio maana hadi leo hii hawana tena hiyo migogoro. Very good.
 
Unafikiri hayo mapato yakienda serikali kuj yanaenda kufanya Nini? Hebu tuanzie hapo
Watu mnatakiwa mpewe darasa ndio mjue namna mfumo wa serikali za majimbo unavyofanya kazi na kwa nini nchi zilizoendelea zinaupenda huu mfumo.

It may take time for the people to be conversant with it, and it won't be an overnight event.
 
If you are being paid something to write on if, please justify the payment by writing something that has been researched and noble. Do not write crap and you expect as to be baloney.
If you look at those countries that are using federal type of governance, kindly note that RSA,Zambia, Kenya, Nigeria, Angola, Germany, Australia, USA, Brazil, Argentina, Canada to mention just afew have seen governance ro be entrenched at the grassroots level to the gubernatorial positions where all through are elective positions where their loyalties are on the people that they represent. Not political apoointments which play in but rather elective and that is what we need.
I wrote but can summarize to you. As a country, Tanzania doesn't need a federal government since that is not the source of her economic and social challenges.

In comparison with vast countries such as Canada and the US, Tanzania is not that big to need federalism as an administrative solution. Unitary government is still the best administrative solution to our country. We just need to embed (if possible) more patritiosim, unity and solidarity to our people.

The grounds on which US, Canada, Nigeria etc decided to embark on federalism are quite different from ours. There was no way u could unite all the 50 states without applying federalism. Spanish, red Indians and all sorts of people with different backgrounds needed to be accommodated.

Canada the same. The country is too big with people speaking different languages and did not want to let go of them. Quebec is frencht speaking area while in Ottawa people are speaking English. They both needed to be accommodated hence, federalism.

Both Canada and the states are occupied by majority christians with no tribalism. The governments are able to provide all necessary services to the people. On the other hand, Tanzania bishop still an striving to achieve excellence in service provision. Her people are dominantly christians and Muslims with pride in their tribes and culture. Employing federalism would lead to descrimination and separation

There are some areas which are not endowed with enough resources, these will be left behind. Besides, the internal and external enemies can use the power of states autonomy to instigate chaos.

For your information, federalism is not an agenda for most Tanzanians even CHADEMA members but rather a dream by it's founder, Mzee Edwin Mtei.

Thanks,

Amani
 
Historia ya Nigeria ni tofauti sana na sisi. Huko uasi ulikuwa juu sana ukisababishwa na udini, ukabila na uwepo wa rasilimali. Kila mtu akivutia kwake. Ili kuepusha vurugu ndio ikaamuliwa basi wapewe madaraka flani ili roho zao.

Well, kwa hiyo unakubali kwamba dawa ya huo mtafaruku ni majimboism na ndio maana hadi leo hii hawana tena hiyo migogoro. Very good.
Wewe wasema
 
Nchi haiendeshwi kwa ndoto ya mzee Mtei ambayo CHADEMA wote wanalazimika kuihubiri na kuitetea. Haifai kwani itatuletea shida kubwa Kama taifa. Tutawakataa na hata sasa tumewakataa

Please revisit your unfortunate comments - what do they tell you? You are overly determine to scare Tanzanians with Mickey Mouse stories - je, umewahi walao kuishi kwenye Mataifa yanayo jiendesha kimajimbo ukajilidhisha kwamba mfumo huo haufahi au?

Wenzangu humu wenye uzoefu/experience ya masuala haya wamejitahidi sana kukupa somo lakini inaelekea hutaki kusikia - we we umekazania eti hilo litaondoa umoja kwa Kitaifa, utachochea ukabila, mara wanafunzi wa Mkoa wa Kagera wataogopa kwenda kusoma Mtwara na wafanya kazi pia - uzushi mtupu! Nani kawambieni mfumo wa majimbo unaondoa umoja wa Kitaifa MTU haruhusiwi kusoma/Fanya kazi kwenye jimbo lolote apendalo, msitake kupotosha watu na horror stories za kutunga tu.

Tukitaka maendeleo ya haraka na uwajibikaji mkubwa wa Viongozi Mikoani basi watawala/viongozi hao wateuliwe na wakazi wa Mkoa husika na waajibishwe na wanachi pindi wanapo Fanya mambo ya ndio sivyo - kuweka Viongozi ambao si wakazi au wazaliwa wa Mkoa husika kumedumaza sana na kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya Mikoa - hili ni tatizo kubwa kweli kweli - Rais a appoint mawaziri, manaibu, CEOs wa mashirika ya UMMA lakini suala la Utawala wa Mikoani awachie wakazi ndio wachangue viogozi wa kutoka mikoani mwao ambao ni rahisi kuwajihibishwa halafu wanakuwa na uchungu wakweli wa Mkoa husika, si rahisi kuufanyia hujuma mkoa anakotoka/zaliwa atapenda sana upige hatuwa ya kimaendeleo - ukweli ndio huo. Hiyo ndio maana halisi ya utawala wa kimajimbo, tulio bahatika tuliona utawala wa kimajimbo unavyo fanya kazi flawlessly, mbinu hizo zikiwa replicated hapa Taifa litafahidika sana na kuondoa dhana ya watawala wa Mikoa kuhodhi mamlaka/madaraka unnecessarily.
 
Please revisit your unfortunate comments - what do they tell you? You are overly determine to scare Tanzanians with Mickey Mouse stories - je, umewahi walao kuishi kwenye Mataifa yanayo jiendesha kimajimbo ukajilidhisha kwamba mfumo huo haufahi au?

Wenzangu humu wenye uzoefu/experience ya masuala haya wamejitahidi sana kukupa somo lakini inaelekea hutaki kusikia - we we umekazania eti hilo litaondoa umoja kwa Kitaifa, utachochea ukabila, mara wanafunzi wa Mkoa wa Kagera wataogopa kwenda kusoma Mtwara na wafanya kazi pia - uzushi mtupu! Nani kawambieni mfumo wa majimbo unaondoa umoja wa Kitaifa MTU haruhusiwi kusoma/Fanya kazi kwenye jimbo lolote apendalo, msitake kupotosha watu na horror stories za kutunga tu.

Tukitaka maendeleo ya haraka na uwajibikaji mkubwa wa Viongozi Mikoani basi watawala/viongozi hao wateuliwe na wakazi wa Mkoa husika na waajibishwe na wanachi pindi wanapo Fanya mambo ya ndio sivyo - kuweka Viongozi ambao si wakazi au wazaliwa wa Mkoa husika kumedumaza sana na kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya Mikoa - hili ni tatizo kubwa kweli kweli - Rais a appoint mawaziri, manaibu, CEOs wa mashirika ya UMMA lakini suala la Utawala wa Mikoani awachie wakazi ndio wachangue viogozi wa kutoka mikoani mwao ambao ni rahisi kuwahibishwa halafu wanakuwa na uchungu wakweli wa Mkoa husuka si rahisi kuufanyia hujuma - ukweli ndio huo. Hiyo ndio maana halisi ya utawala wa kimajimbo, tulio bahatika tuliona yanavyo Fanya kazi flaw lessly.
Wabunge huchaguliwa ila kuna wabunge wangapi wanaboronga?

Sisi tatizo letu sio majimbo, tunahitaji kufanya kazi kwa bidii zaidi, uzalendo na ubunifu. Ova yani
 
Wabunge huchaguliwa ila kuna wabunge wangapi wanaboronga?

Sisi tatizo letu sio majimbo, tunahitaji kufanya kazi kwa bidii zaidi, uzalendo na ubunifu. Ova yani
Hawa jamaa wanasumbuliwa na choyo na ubinafsi.

Misingi yetu ni ya kusaidiana pasipo kutupana wakati wa shida na raha.
 
Wabunge huchaguliwa ila kuna wabunge wangapi wanaboronga?

Sisi tatizo letu sio majimbo, tunahitaji kufanya kazi kwa bidii zaidi, uzalendo na ubunifu. Ova yani

How many times must I repeat myself? Nimesema hivi: Linapo kuja suala la utawala wa kimajimbo Viongozi/tawala wa jimbo wanachaguliwa na wakazi wa jimbo, Rais wala Serikali kuu haihusiki katika teuzi hizo - nimesema vile vile kwamba wateule wa jimbo wanawajibika moja kwa moja kwa wakazi wa Mkoa hivyo wanaweza kuondolewa madarakani muda wowote wakifanya mambo ya ndio sivyo, tofauti na Mbunge ambaye hawezi kuondolewa mpaka miaka mitano ipite - hiyo ndio tofauti kubwa katika uwajibishwaji wa Watawala wa majimbo na Wabunge.
 
How many times must I repeat myself? Nimesema hivi: Linapo kuja suala la utawaka wa kimajimbo
And how many times do I need to emphasize that the root cause of our problems sio kwasababu hatuna serikali za majimbo? Kuna nchi ngapi zimeendelea Sana na hazina mfumo was majimbo?

Honestly, unadhani hatuwezi kuendelea Kama nchi mpaka tuanzishe mfumo wa majimbo?
 
Kwa hiyo sa
Asante kwa kuonesha kwa mifano dhahiri jinsi federalism itakavyoleta tofauti nchini mwetu kwa kuleta mfumo wa survival for the fittest

Tuukatae, tunahitaji kwenda pamoja
Kwa hiyo sasa hivi kwa mfumo uliokuwepo Dar es salaam iko sawa na Kigoma? Au Kilimanjaro iko sawa na Mtwara? Natamani nikuite IDIOT
 
Kwa hiyo sa

Kwa hiyo sasa hivi kwa mfumo uliokuwepo Dar es salaam iko sawa na Kigoma? Au Kilimanjaro iko sawa na Mtwara? Natamani nikuite IDIOT
Haiko sawa na mapato ya sehemu moja yanatumika kusaidia sehemu nyingine
 
Unafikiri hayo mapato yakienda serikali kuj yanaenda kufanya Nini? Hebu tuanzie hapo
Yanaweza kuchukuliwa kwenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake Rais aliyekuwa madarakani bila kupitishwa na bunge na tenda kupewa mume mwenza.

Au kupeleka maendeleo kwa wale waliochagua wabunge wa chama chetu, rejea "kama msingemchagua Kapuya nisingejenga barabara hii"
 
Haiko sawa na mapato ya sehemu moja yanatumika kusaidia sehemu nyingine
Kwa hiyo miundombinu, elimu na huduma kwa reasoning yako Mtwara licha kuwa na rasilimali nyingi kuliko Kilimanjaro imekuwa chini kwa sababu gani?
 
Huu mfumo wa sasa utaonekana mbaya kisa aliyeko madarakani ni ccm,tuna safari ndefu sana maana si hawa chama tawala wala upinzani.
 
Kwa hiyo miundombinu, elimu na huduma kwa reasoning yako Mtwara licha kuwa na rasilimali nyingi kuliko Kilimanjaro imekuwa chini kwa sababu gani?
Unaongea vitu viwili tofauti ndugu yangu. Wewe unaongelea suala la ufaulu. Hilo ni jambo la kitaaluma na ukitaka siku nyingine tutaongea vizuri kwani hilo ndilo eneo langu la kujidai nalo.

Hapa tunaobgelea pesa zinazopatikana kutokana na utalii kwenye mlima Kilimanjaro na pesa za korosho. Fungu hili linapoenda serikali kuu ndio hunebga shule, barabara, mishahara ya walimu na kupeleka ruzuku shuleni.

Serikali ya Majimbo inaweza kuamua kuwa kutokana na kuwa na kipato cha kutosha hapa Mtwara basi wslimu wetu watanzania na mshahara wa shilingi milioni moja. Hiyo itakuwa nzuri kwa Mtwara ila italeta tofauti kwa mwalimu wa Kilimanjaro.
 
Lissu na Wong wanatofautiana padogo sana. Kwa 'tabia' zake, anadhihirisha haitakii mema Tanzania. Sasa ukiongeza na hili la majimbo...ndiyo kabisaaa!!!
====
Wong has maintained close personal ties with a number of U.S senators such as Marco Rubio, Joshua Hawley, and also met with US House leader Nancy Pelosi. He has lobbied for sanctions on Chinese officials, even handing over a list of people who should be targeted to the US Congress.. How would Americans react if Black Lives Matter leaders, for example, met and worked in such a way with Xi Jinping or Vladimir Putin?

Wong is Wrong - why Beijing is right to take action against the poster boy of the Hong Kong protest movement
 
Wafumbue macho kaka
 
Unaongea vitu viwili tofauti ndugu yangu. Wewe unaongelea suala la ufaulu. Hilo ni jambo la kitaaluma na ukitaka siku nyingine tutaongea vizuri kwani hilo ndilo eneo langu la kujidai nalo.

Hapa tunaobgelea pesa zinazopatikana kutokana na utalii kwenye mlima Kilimanjaro na pesa za korosho. Fungu hili linapoenda serikali kuu ndio hunebga shule, barabara, mishahara ya walimu na kupeleka ruzuku shuleni.

Serikali ya Majimbo inaweza kuamua kuwa kutokana na kuwa na kipato cha kutosha hapa Mtwara basi wslimu wetu watanzania na mshahara wa shilingi milioni moja. Hiyo itakuwa nzuri kwa Mtwara ila italeta tofauti kwa mwalimu wa Kilimanjaro.
Bado inadhihirisha kwa mfumo huu wa central planned economy umesababisha eneo kama Mtwara viongozi wa kuteuliwa na Rais hawana uchungu wala ubunifu wa kuinua mapato na kuna explore jinsi ya kuongeza mapato zaidi ya siasa tu, hapo ndipo tunahitaji viongozi watakaochaguliwa na wananchi wenyewe siyo presidential appointees.

Kubwa watadhibiti matumizi ya hovyo ya rasilimali ya sehemu husika kama Rais kutumia mabilioni ya shilingi ya walipa kodi kwenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake bila kupitishwa na bunge
 
Mtwara Kuna airport ambayo inafanya kazi vizuri
Mtwara Kuna ofisi za BoT
Mtwara Kuna Veta
Mtwara Kuna barabara nyingi za lami
Kuna hospitali
Shule n.k

Unadhani ni pesa ya korosho peke yake?
 
Sasa Kama ni hivyo mnataka nini Sasa?
Mimi na NANI mkuu? Shida yenu moja kubwa watu wengi ni hi, mnadhani kila anae tetea jambo fulani basi ni mwana chama au mfuasi wa chama fulani, hakuna watu HURU nchi hi kama tusiomiliki kadi za chama chaochote, tunao uhuru wa kuunga mkono na kukosoa yoyote; labda ningekuuliza swali, kwanini mnapinga sera ya majimbo wakati tayari IPO na inafanya kazi Tanzania?
 
Back
Top Bottom