Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Mtwara Kuna airport ambayo inafanya kazi vizuri
Mtwara Kuna ofisi za BoT
Mtwara Kuna Veta
Mtwara Kuna barabara nyingi za lami
Kuna hospitali
Shule n.k

Unadhani ni pesa ya korosho peke yake?
Kwa hiyo maendeleo ya Mtwara yanashahibiana na rasilimali zao? Mtwara kuna gesi ila unaogopa kuizungumzia sababu hailingani na hali halisi, au ofisi ya Bot na veta kwako ni kipimo cha maendeleo?
 
Nimetoa mifano michache. Gesi bado haijaanza kuvunwa
 
Sasa ikivunwa na gesi ya mnazimmoja ambayo wewe unaona haijaanza kuvunwa, rasilimali hii ikiwa kwenye mfumo wa majimbo kwa uongozi uliochaguliwa na wananchi wenyewe, Rais aliyekuwa madarakani anaweza kuchota kwenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake?
 
Unafikiri hayo mapato yakienda serikali kuj yanaenda kufanya Nini? Hebu tuanzie hapo

Hupelekwa serikali kuu ambapo hutawanywa na kupelekwa sehemu ambazo huenda zikawa less productive na kufanya viongozi/watu wa maeneo hayo kuwa wavivu zaidi.
 
Waungwana,

Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha.

Marekani walikuwa mataifa huru 50. Kuwaunganisha ni lazima uwaachie baadhi ya madaraka yao, hivyo mfumo wa Serikali ya Majimbo ni sahihi kwao.

Canada wanashida ya lugha. Kuna majimbo hawajui au hawaongei kabisa kiingereza, wenyewe wanaongea kifaransa. Hawa ni muhimu kuwa na majimbo ili wawe huru kutumia lugha waipendayo.

Ujerumani walitawanyika na kuwa nchi mbili tofauti na ukuta ukajengwa Kati ya Ujerumani ya Mashariki na ile ya magharibi. Hawa ili kuwaunganisha mfumo wa Serikali ya Majimbo ulikuwa lazima ila maeneo hayo yabaki na sehemu ya utawala wake wa awali.

Nigeria imepitia mengi sana sana Kati ya waislamu wa kaskazini na wakristo wa kusini. Waafrika kusini vilevile wamepitia mengi Kuhusu ukoloni na ukaburu. Wazungu wengi walibaki Afrika Kusini baada ya Uhuru kamili mwaka 1994. Kwa misingi hiyo, unaweza kabisa kuona Nigeria na Afrika kusini walihitaji utawala wa majimbo.

Sisi Tanzania tunahitaji utawala wa majimbo ili iweje? Je, changamoto za kiuchumi, utamaduni na kisiasa zinatokana na mazingira hayo niliyoyataja hapo juu?

Wazungu hawana makabila na karibu wote wana dini au imani sawa. Kuwawekea utawala wa majimbo sio mbaya. Hapa kwetu tunajadili sio to dini Bali hata dhehebu. Kuna baadhi ya watu walisema katika uchaguzi wa 2015, Sasa ni zamu ya M-KKKT kuwa wa -RC wametawala Sana. Sasa kwenye nchi Kama hii uanze umajimbo, tunategemea nini kitokee?

Majimbo yatatutenga zaidi badala ya kutuleta pamoja. Mfumo wa Serikali za mitaa kwa Tanzania ni mzuri na toshelevu. Kama Kuna changamoto basi ni Kuboresha tuu.

Ninawashangaa Sana wapinzani, sijui wamekunywa wanzuki ya wapi. Tasilimali za kila eneo husaidia eneo hilo na maeneo mengine. Hii ni kwasababu watu wanaingiliana na wanaweza kuishi popote. Mtoto wa Kagera anapangiwa kazi Tanga na maisha yanaenda. Mtu wa Mtwara anahamia Mbeya anakuwa mnyaki maisha yanaenda.

Watanzania tuukumbatie umoja, amani na mshikamano wetu kwa kuchagua mafiga matatu hapo 28 Oktoba, 2020. Tuwaadhibu wapinzani wanaotaka kutugawa kwa kuwanyima kura.

Amani Msumari

Tanga (kwasasa Kigamboni kumtafutia Rais Magufuli kura za bonus).
Nakubal wakenya hawana umoja kwa sabab ya majimbo aka maeneo bunge, the kill each everyday. Lissu SIJUI kwann anataka KUTUGAWa na tumezoea kuwa wamoja. Daah mm simcjagui aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha.
Acha uwongo . Marekani kuna udini ? Marekani kuna ukabila ? Mfumo wa majimbo ni sahihi kwa kusukuma maendeleo kwa kasi zaidi. Kajifunze India uone majimbo yao ya Gujarat, Uttar Pradesh na mengineyo. Kuna ukabIla India ? Shenzi wewe
 
Ondokana na mawazo ya kijima ya kufikiria kazi lazima itoke serikalini,maendeleo yakiwepo ya kutosha hata huko kusubiri kupangiwa kazi kutokana na ajira za serikali kutaondoka.

Marekani watu wengi zaidi wanatoka jimbo moja kwenda lingine kufanya biashara kuliko kusubiri kupangiwa kazi za serikali kuu kwa sababu mfumo wao umewezesha watu binafsi kuzifikia fursa binafsi za biashara na kazi zaidi kuliko ajira za serikali.
Kweli kabisa. Ni lazima tuondokane na mawazo ya kijima eti majimbo ni ukanda, Pumbavu kabisa. Majimbo ni njia ya kuapata maendeleo kwa haraka zaidi. Majimbo ni suluhu ya watu kuwa wabunifu na wawajibikaji zaidi.

Siku moja nilikuwa Pecan street pale Texas nikifuatilia mradi wa Keystone pipeline kutoka jimbo la Illinois kwenda Texas. Nilijionea local innovations za maana na nilipenda sana system ya majimbo maana magavana walikuwa makini sana kulinda maslahi ya nchi na majimbo yao kwa pamoja huku wananchi wakifaidika.

Eti majimbo ni ukanda ? Ushenzi tu na propaganda za kipuuzi. Kutembea kuna faida na ndio maana ccm wanatudanganya kwa sababu wanajua watanzania wengi hatuna exposure.
We must be innovative if we truly need development
 
Kweli kabisa. Ni lazima tuondokane na mawazo ya kijima eti majimbo ni ukanda, Pumbavu kabisa. Majimbo ni njia ya kuapata maendeleo kwa haraka zaidi. Majimbo ni suluhu ya watu kuwa wabunifu na wawajibikaji zaidi. Siku moja nilikuwa Pecan street pale Texas nikifuatilia mradi wa Keystone pipeline kutoka jimbo la Illinois kwenda Texas. Nilijionea local innovations za maana na nilipenda sana system ya majimbo maana magavana walikuwa makini sana kulinda maslahi ya nchi na majimbo yao kwa pamoja huku wananchi wakifaidika. Eti majimbo ni ukanda ? Ushenzi tu na propaganda za kipuuzi. We must be innovative

..hata mimi naunga mkono majimbo.

..mfumo huu wa wilaya na mikoa ndio umekaa kikabila.

..majimbo yataunganisha jamii nyingi kuliko ambavyo mikoa inaunganisha.

..pia ktk mfumo wa majimbo kutakuwa na kodi za serikali kuu, na kodi za majimbo.

..kwa hiyo serikali kuu itakuwa na fedha za miradi ya kitaifa ktk maeneo mbalimbali nchini

..Na majimbo yatakuwa na fedha za miradi na sekta zinazosimamiwa na majimbo.

..utaratibu wa sasa hivi wa kukusanya mapato yote na kupeleka kwa bwana mkubwa, halafu wabunge wanapewa milioni 65 kila mwaka kwa ajili ya mfuko wa maendeleo umefeli.

..wananchi wamekuwa ombaomba mbele ya bwana mkubwa, wakati wao ndio walipakodi.

NB:

..wanaopinga majimbo ni wakuu wa wilaya wanaofaidika na nafasi za uteuzi.

..wakuu wa wilaya wamekuwa sawa na " KUPE " ktk wilaya zetu, kwani hawana kazi za kufanya.

..majukumu ya mkuu wa wilaya yanaweza kufanywa na mbunge ambaye amechaguliwa na wananchi.
 
*BABA ASKOFU BAGONZA (Baba Mutalemwa) HAKI INGEANZA NA WEWE.*

[emoji117]Juzi nimekusikia na kukuona ulipoamua kujifichua hadharani kwa kuonesha mapenzi yako kwa chama cha CHADEMA wakati mgombea urais wa chama hicho Ndg. Tundu Lissu alipokuwa Karagwe, Mkoani Kagera.

[emoji117]Tuliokuwa tunakujua haikuwa ajabu kwa sababu unafahamika kwa miaka yote jinsi unavyoipinga Serikali ya Tanzania na usivyokipenda chama cha CCM na viongozi wa CCM kutokana na kutumiwa kwako na watu wasioitakia mema Tanzania.

[emoji117]Kama kawaida yako umeendelea kupotosha Watanzania kuwa Tanzania haina amani wala haki. Kwamba Watanzania wanaishi kwa matumaini.

[emoji117]Nataka nikwambie kuwa Tanzania ina amani tele na Watanzania wanapata haki kila uchao.

[emoji117]Ila haina ubishi kwamba mdhulumu haki na mvunja amani ni wewe Askofu Bagonza. Nataka nikwambie kuwa kama ni suala la haki lingeanza na wewe ambaye ulikatisha haki ya Sister Editha Sylivester kwa kumtia mimba na akapoteza wito wake wa kuwa Sister wa Dini.

[emoji117]Sister huyu amefariki dunia lakini mtoto wako aliyemzaa anayeitwa Prince Bagonza ama jina la utani Mutalemwa (yaani asiyefichika) nae umemnyima haki ya kujulikana wazi wazi. Anaishi kwa kujificha na kwa miaka mingi alikuwa anafichwa na mke wako baada ya jambo hilo kujulikana.

[emoji117]Mpe haki Mutalemwa ya kujulikana kuwa wewe ni Baba yake uliyemzaa kwa kukatisha haki ya Sister Editha uliyekuwa unazini nae licha ya kuwa kiongozi wa Dini.

[emoji117]Mke wako Frida Bagonza (Mungu amweke mahali pema) nae amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha sana, wape haki ndugu zake ambao wamejawa na hofu kuwa wewe umehusika kwenye kifo chake. Umemnyima haki ya uhai.

[emoji117]Wape haki ndugu wa Sister Editha ambao walimuandaa mtoto wao kuwa mtumishi wa Mungu lakini wewe ukakatisha wito wake kwa tabia yako ya ufuska kwa kumtia mimba Dada wa watu.

[emoji117]Wape haki wanao Vision na mwenzake ya kumtambua Kaka yao waziwazi sio kwa kujifichaficha. Vitendo kama hivi hufanywa na watu wasio waungwana na wewe ni kiongozi wa Dini, uwe muungwana.

[emoji117]Wape haki waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe kwa kuwaambia ukweli, kutubu na kujisahihisha kwa michezo michafu unayofanya kama kiongozi wa kiroho na njama zako za kuihujumu Tanzania.

[emoji117]Mwisho nataka nikueleze kuwa waumini wako hawana amani na wewe, wanaishi na wewe kwa matumaini ipo siku watahitaji amani katika Kanisa lao na Watakung’oa.

[emoji117]Kwa matendo ya hovyo unayoyafanya una bahati Serikali ya Tanzania inayolinda sana tunu ya amani inakuvumilia, naamini inaishi kwa matumaini na wewe ipo siku matumaini yakitoweka utakiona cha mtemakuni kwa sababu sitaki kuamini kuwa wanakuogopa kwa jinsi unavyotumia Kanisa kutaka kuvuruga amani na utulivu.

[emoji117]Nataka nikuhakikishie kuwa Mgombea wako Tundu Lissu atashindwa Urais, Mgombea wako wa ubunge wa CHADEMA huko Karagwe atashindwa na Mungu atasimama na Taifa hili kuwaweka viongozi wa kweli waliopo kwa ajili ya Watanzania na sio kwa ajili ya mabeberu.

[emoji117]Tanzania itaendelea kuwa nchi ya amani, upendo na mshikamano.

Jumapili njema.

Hizi ni salamu kutoka Kayanga, Karagwe Mkoani Kagera.
27Septemba, 2020.

Duh hatari sana
 
  • Thanks
Reactions: 120
Duh hatari sana
*AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA*
on April 20, 2015

[emoji117]Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha kwa majadala mawili, AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

[emoji117]Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

[emoji117]Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini hapa katikati ya wiki iliyopita, Peace alidai Askofu Bagonza ni mzazi mwenzake kwa kuzaa naye watoto wawili, Piana Bagonza (6) na Bariki Bagonza (3) lakini akadai amemtelekeza hivyo kuwa na maisha magumu katika kuwalea watoto hao.

[emoji117]AANIKA HISTORIA NDEFU
Peace alisema alianza kufahamiana na askofu huyo mwaka 2006 mjini Karagwe, Kagera akiwa ni muumini wa kanisa hilo akimtumikia Mungu kwa kuimba kwaya ya kanisa.
Alisema katika kuonana mara kwa mara na askofu huyo ndipo uhusiano ukaanza lakini kwa makubaliano ya kutunza siri.

[emoji117]“Askofu aliniambia ana mke lakini ananipenda na anataka kuwa na uhusiano na mimi. Aliniahidi kunisaidia masuala mbalimbali iwapo nitamkubalia.“Baada ya muda niliamua kumkubalia, tukawa na uhusiano na tulikuwa tunakutana mara kwa mara. Ilipofika mwaka 2008 nikapata ujauzito wa mtoto wa kwanza,” alisema Peace.

[emoji117]AHAMIA ILEMELA, MWANZA
Mwanamke huyo aliendelea kudai kuwa, baada ya kupata ujauzito, askofu huyo aliamua kumhamishia Ilemela mkoani Mwanza na kumpangishia chumba ambapo mwaka 2009 alijifungua mtoto wa kike, Piana.

[emoji117]AHAMIA ARUSHA
Peace aliendelea kudai: “Mtoto wangu alipofikisha umri wa miaka miwili, yaani mwaka 2010, askofu alinihamishia hapa Arusha na kunipangia chumba eneo la Kijenge Juu na kunitafutia kazi kwenye Hoteli ya Safari (New Safari Hotel). Hii hoteli inamilikiwa na KKKT.” Alisema: “Askofu alikuwa akija hapa Kijenge kumsalimia mtoto na kumwachia matumizi mbalimbali huku akisisitiza kutunza siri zaidi.”

[emoji117]Peace anayedai kutelekezwa pamoja na watoto na Askofu Benson Bagonza.

[emoji117]ANASA MIMBA YA PILI
“Ilipofika mwaka 2011 nilipata ujauzito mwingine wa askofu ila cha kushangaza nilipomfahamisha aliniambia hataki kusikia taarifa hizo.“Niliweka msimamo wa kutotoa ujauzito na yeye akasitisha huduma mbalimbali ikiwemo fedha za malipo ya chumba alichonipangia.

[emoji117]“Alianza kunipigia simu na kunitisha kuniachisha kazi aliyonitafutia hotelini bila kupewa malipo yoyote. Alikuwa akinitumia watu mbalimbali kunitishia maisha. “Kutoka na hali hiyo nililazimika kumtafuta kiongozi mmoja wa ngazi ya juu kanisani na kumwambia jinsi askofu alivyonitelekeza kwa zaidi ya miaka minne bila kunihudumia nikiwa na watoto wake wawili.

[emoji117]“Hata hivyo, kiongozi huyo aliniambia atalishughulikia suala langu, lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea na nikimkumbusha amekuwa akinijibu kwa ukali na kunikatia simu.”

[emoji117]WATOTO HAWAENDI SHULE
Peace alisema: “Kwa sasa naishi kwa shida na watoto. Hawaendi shule baada ya kukosa ada.”

[emoji117]Watoto anayedai kutelekezwa nao.

[emoji117]ASKOFU NA IJUMAA WIKIENDA
Akizungumza kwa simu na gazeti hili huku akihifadhiwa sauti, Askofu Bagonza alikiri kumtambua Peace kama mzazi mwenzake ila alisema si kweli kama hamtumii matumizi.“Mbona fedha huwa namtumia labda ameamua kunichafua tu. Hata juzi nimemtumia shilingi 250,000 iweje asema simhudumii?” alisema askofu huyo na kukata simu.

[emoji117]Kwa upande wake, Peace alipoulizwa kuhusu kutumiwa kiasi hicho cha fedha, alisema: “Fedha hizo nilizipokea kutoka kwa wakala wa M-Pesa baada ya jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya dola (polisi).”Taarifa zilizolifikia gazeti hili wakati linakwenda mitamboni zilieleza kuwa mwanamke huyo ameitwa Karagwe kwenda kuongelea suala hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu TUNDU LISSU ana lengo la kuleta machafuko NCHINI. Fact hiyoo
IMG-20200929-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Wanachama Kindakindaki wa CHADEMA; Je Mnaijua Hii Siri??*

Tundu Lissu hamuamini mtu yeyote katika Chama chao. Anawatuhumu viongozi wa CHADEMA kuwa wamekula pesa zake za kampeni, (rejeeni sakata la zile milioni hamsini zilizochangwa na wanachama alizokula Mbowe).

Tundu Lissu anasema kwamba viongozi wote wa CHADEMA ni mafisadi. Lakini anachokifanya ni kibaya zaidi.

Baada ya viongozi wa CHADEMA kujiengua katika kampeni za Lissu. Kampeni zake sasahivi zinasimamiwa na rafiki zake wa karibu pamoja na familia yake.

Michango ya kampeni inakusanywa na mtoto wa dada yake Lissu (jina lipo kapuni) ambaye huwa ndani ya gari la mgombea.

Hakuna anayefahamu ni kiasi gani hukusanywa kwa siku husika zaidi ya Lissu na mpwa wake.

Hii inaonesha kuwa mgombea huyo ni fisadi mwenye kupendelea ndugu na marafiki.

Nepotism and Corruption have no place in Tanzania.

*_Jackline Pius_*
*_Arusha Mjini_*
Screenshot_20200919-203818_1600537131094.jpg

*_Arusha Mjini_*View attachment 1587422

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie Jack
 
*AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA*
on April 20, 2015

[emoji117]Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha kwa majadala mawili, AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

[emoji117]Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

[emoji117]Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini hapa katikati ya wiki iliyopita, Peace alidai Askofu Bagonza ni mzazi mwenzake kwa kuzaa naye watoto wawili, Piana Bagonza (6) na Bariki Bagonza (3) lakini akadai amemtelekeza hivyo kuwa na maisha magumu katika kuwalea watoto hao.

[emoji117]AANIKA HISTORIA NDEFU
Peace alisema alianza kufahamiana na askofu huyo mwaka 2006 mjini Karagwe, Kagera akiwa ni muumini wa kanisa hilo akimtumikia Mungu kwa kuimba kwaya ya kanisa.
Alisema katika kuonana mara kwa mara na askofu huyo ndipo uhusiano ukaanza lakini kwa makubaliano ya kutunza siri.

[emoji117]“Askofu aliniambia ana mke lakini ananipenda na anataka kuwa na uhusiano na mimi. Aliniahidi kunisaidia masuala mbalimbali iwapo nitamkubalia.“Baada ya muda niliamua kumkubalia, tukawa na uhusiano na tulikuwa tunakutana mara kwa mara. Ilipofika mwaka 2008 nikapata ujauzito wa mtoto wa kwanza,” alisema Peace.

[emoji117]AHAMIA ILEMELA, MWANZA
Mwanamke huyo aliendelea kudai kuwa, baada ya kupata ujauzito, askofu huyo aliamua kumhamishia Ilemela mkoani Mwanza na kumpangishia chumba ambapo mwaka 2009 alijifungua mtoto wa kike, Piana.

[emoji117]AHAMIA ARUSHA
Peace aliendelea kudai: “Mtoto wangu alipofikisha umri wa miaka miwili, yaani mwaka 2010, askofu alinihamishia hapa Arusha na kunipangia chumba eneo la Kijenge Juu na kunitafutia kazi kwenye Hoteli ya Safari (New Safari Hotel). Hii hoteli inamilikiwa na KKKT.” Alisema: “Askofu alikuwa akija hapa Kijenge kumsalimia mtoto na kumwachia matumizi mbalimbali huku akisisitiza kutunza siri zaidi.”

[emoji117]Peace anayedai kutelekezwa pamoja na watoto na Askofu Benson Bagonza.

[emoji117]ANASA MIMBA YA PILI
“Ilipofika mwaka 2011 nilipata ujauzito mwingine wa askofu ila cha kushangaza nilipomfahamisha aliniambia hataki kusikia taarifa hizo.“Niliweka msimamo wa kutotoa ujauzito na yeye akasitisha huduma mbalimbali ikiwemo fedha za malipo ya chumba alichonipangia.

[emoji117]“Alianza kunipigia simu na kunitisha kuniachisha kazi aliyonitafutia hotelini bila kupewa malipo yoyote. Alikuwa akinitumia watu mbalimbali kunitishia maisha. “Kutoka na hali hiyo nililazimika kumtafuta kiongozi mmoja wa ngazi ya juu kanisani na kumwambia jinsi askofu alivyonitelekeza kwa zaidi ya miaka minne bila kunihudumia nikiwa na watoto wake wawili.

[emoji117]“Hata hivyo, kiongozi huyo aliniambia atalishughulikia suala langu, lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea na nikimkumbusha amekuwa akinijibu kwa ukali na kunikatia simu.”

[emoji117]WATOTO HAWAENDI SHULE
Peace alisema: “Kwa sasa naishi kwa shida na watoto. Hawaendi shule baada ya kukosa ada.”

[emoji117]Watoto anayedai kutelekezwa nao.

[emoji117]ASKOFU NA IJUMAA WIKIENDA
Akizungumza kwa simu na gazeti hili huku akihifadhiwa sauti, Askofu Bagonza alikiri kumtambua Peace kama mzazi mwenzake ila alisema si kweli kama hamtumii matumizi.“Mbona fedha huwa namtumia labda ameamua kunichafua tu. Hata juzi nimemtumia shilingi 250,000 iweje asema simhudumii?” alisema askofu huyo na kukata simu.

[emoji117]Kwa upande wake, Peace alipoulizwa kuhusu kutumiwa kiasi hicho cha fedha, alisema: “Fedha hizo nilizipokea kutoka kwa wakala wa M-Pesa baada ya jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya dola (polisi).”Taarifa zilizolifikia gazeti hili wakati linakwenda mitamboni zilieleza kuwa mwanamke huyo ameitwa Karagwe kwenda kuongelea suala hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapoenda kupiga kura, tukisahau dhamira ya CHADEMA ya kutaka kutugawa, tuwakatae. Chagua CCM, chagua Magufuli
 
Back
Top Bottom