Watu mnatakiwa mpewe darasa ndio mjue namna mfumo wa serikali za majimbo unavyofanya kazi na kwa nini nchi zilizoendelea zinaupenda huu mfumo.Unafikiri hayo mapato yakienda serikali kuj yanaenda kufanya Nini? Hebu tuanzie hapo
I wrote but can summarize to you. As a country, Tanzania doesn't need a federal government since that is not the source of her economic and social challenges.If you are being paid something to write on if, please justify the payment by writing something that has been researched and noble. Do not write crap and you expect as to be baloney.
If you look at those countries that are using federal type of governance, kindly note that RSA,Zambia, Kenya, Nigeria, Angola, Germany, Australia, USA, Brazil, Argentina, Canada to mention just afew have seen governance ro be entrenched at the grassroots level to the gubernatorial positions where all through are elective positions where their loyalties are on the people that they represent. Not political apoointments which play in but rather elective and that is what we need.
Wewe wasemaHistoria ya Nigeria ni tofauti sana na sisi. Huko uasi ulikuwa juu sana ukisababishwa na udini, ukabila na uwepo wa rasilimali. Kila mtu akivutia kwake. Ili kuepusha vurugu ndio ikaamuliwa basi wapewe madaraka flani ili roho zao.
Well, kwa hiyo unakubali kwamba dawa ya huo mtafaruku ni majimboism na ndio maana hadi leo hii hawana tena hiyo migogoro. Very good.
Nchi haiendeshwi kwa ndoto ya mzee Mtei ambayo CHADEMA wote wanalazimika kuihubiri na kuitetea. Haifai kwani itatuletea shida kubwa Kama taifa. Tutawakataa na hata sasa tumewakataa
Wabunge huchaguliwa ila kuna wabunge wangapi wanaboronga?Please revisit your unfortunate comments - what do they tell you? You are overly determine to scare Tanzanians with Mickey Mouse stories - je, umewahi walao kuishi kwenye Mataifa yanayo jiendesha kimajimbo ukajilidhisha kwamba mfumo huo haufahi au?
Wenzangu humu wenye uzoefu/experience ya masuala haya wamejitahidi sana kukupa somo lakini inaelekea hutaki kusikia - we we umekazania eti hilo litaondoa umoja kwa Kitaifa, utachochea ukabila, mara wanafunzi wa Mkoa wa Kagera wataogopa kwenda kusoma Mtwara na wafanya kazi pia - uzushi mtupu! Nani kawambieni mfumo wa majimbo unaondoa umoja wa Kitaifa MTU haruhusiwi kusoma/Fanya kazi kwenye jimbo lolote apendalo, msitake kupotosha watu na horror stories za kutunga tu.
Tukitaka maendeleo ya haraka na uwajibikaji mkubwa wa Viongozi Mikoani basi watawala/viongozi hao wateuliwe na wakazi wa Mkoa husika na waajibishwe na wanachi pindi wanapo Fanya mambo ya ndio sivyo - kuweka Viongozi ambao si wakazi au wazaliwa wa Mkoa husika kumedumaza sana na kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya Mikoa - hili ni tatizo kubwa kweli kweli - Rais a appoint mawaziri, manaibu, CEOs wa mashirika ya UMMA lakini suala la Utawala wa Mikoani awachie wakazi ndio wachangue viogozi wa kutoka mikoani mwao ambao ni rahisi kuwahibishwa halafu wanakuwa na uchungu wakweli wa Mkoa husuka si rahisi kuufanyia hujuma - ukweli ndio huo. Hiyo ndio maana halisi ya utawala wa kimajimbo, tulio bahatika tuliona yanavyo Fanya kazi flaw lessly.
Hawa jamaa wanasumbuliwa na choyo na ubinafsi.Wabunge huchaguliwa ila kuna wabunge wangapi wanaboronga?
Sisi tatizo letu sio majimbo, tunahitaji kufanya kazi kwa bidii zaidi, uzalendo na ubunifu. Ova yani
Wabunge huchaguliwa ila kuna wabunge wangapi wanaboronga?
Sisi tatizo letu sio majimbo, tunahitaji kufanya kazi kwa bidii zaidi, uzalendo na ubunifu. Ova yani
And how many times do I need to emphasize that the root cause of our problems sio kwasababu hatuna serikali za majimbo? Kuna nchi ngapi zimeendelea Sana na hazina mfumo was majimbo?How many times must I repeat myself? Nimesema hivi: Linapo kuja suala la utawaka wa kimajimbo
Kwa hiyo sasa hivi kwa mfumo uliokuwepo Dar es salaam iko sawa na Kigoma? Au Kilimanjaro iko sawa na Mtwara? Natamani nikuite IDIOTAsante kwa kuonesha kwa mifano dhahiri jinsi federalism itakavyoleta tofauti nchini mwetu kwa kuleta mfumo wa survival for the fittest
Tuukatae, tunahitaji kwenda pamoja
Haiko sawa na mapato ya sehemu moja yanatumika kusaidia sehemu nyingineKwa hiyo sa
Kwa hiyo sasa hivi kwa mfumo uliokuwepo Dar es salaam iko sawa na Kigoma? Au Kilimanjaro iko sawa na Mtwara? Natamani nikuite IDIOT
Yanaweza kuchukuliwa kwenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake Rais aliyekuwa madarakani bila kupitishwa na bunge na tenda kupewa mume mwenza.Unafikiri hayo mapato yakienda serikali kuj yanaenda kufanya Nini? Hebu tuanzie hapo
Kwa hiyo miundombinu, elimu na huduma kwa reasoning yako Mtwara licha kuwa na rasilimali nyingi kuliko Kilimanjaro imekuwa chini kwa sababu gani?Haiko sawa na mapato ya sehemu moja yanatumika kusaidia sehemu nyingine
Unaongea vitu viwili tofauti ndugu yangu. Wewe unaongelea suala la ufaulu. Hilo ni jambo la kitaaluma na ukitaka siku nyingine tutaongea vizuri kwani hilo ndilo eneo langu la kujidai nalo.Kwa hiyo miundombinu, elimu na huduma kwa reasoning yako Mtwara licha kuwa na rasilimali nyingi kuliko Kilimanjaro imekuwa chini kwa sababu gani?
Wafumbue macho kakaLissu na Wong wanatofautiana padogo sana. Kwa 'tabia' zake, anadhihirisha haitakii mema Tanzania. Sasa ukiongeza na hili la majimbo...ndiyo kabisaaa!!!
====
Wong has maintained close personal ties with a number of U.S senators such as Marco Rubio, Joshua Hawley, and also met with US House leader Nancy Pelosi. He has lobbied for sanctions on Chinese officials, even handing over a list of people who should be targeted to the US Congress.. How would Americans react if Black Lives Matter leaders, for example, met and worked in such a way with Xi Jinping or Vladimir Putin?
Wong is Wrong - why Beijing is right to take action against the poster boy of the Hong Kong protest movement
Bado inadhihirisha kwa mfumo huu wa central planned economy umesababisha eneo kama Mtwara viongozi wa kuteuliwa na Rais hawana uchungu wala ubunifu wa kuinua mapato na kuna explore jinsi ya kuongeza mapato zaidi ya siasa tu, hapo ndipo tunahitaji viongozi watakaochaguliwa na wananchi wenyewe siyo presidential appointees.Unaongea vitu viwili tofauti ndugu yangu. Wewe unaongelea suala la ufaulu. Hilo ni jambo la kitaaluma na ukitaka siku nyingine tutaongea vizuri kwani hilo ndilo eneo langu la kujidai nalo.
Hapa tunaobgelea pesa zinazopatikana kutokana na utalii kwenye mlima Kilimanjaro na pesa za korosho. Fungu hili linapoenda serikali kuu ndio hunebga shule, barabara, mishahara ya walimu na kupeleka ruzuku shuleni.
Serikali ya Majimbo inaweza kuamua kuwa kutokana na kuwa na kipato cha kutosha hapa Mtwara basi wslimu wetu watanzania na mshahara wa shilingi milioni moja. Hiyo itakuwa nzuri kwa Mtwara ila italeta tofauti kwa mwalimu wa Kilimanjaro.
Mtwara Kuna airport ambayo inafanya kazi vizuriBado inadhihirisha kwa mfumo huu wa central planned economy umesababisha eneo kama Mtwara viongozi wa kuteuliwa na Rais hawana uchungu wala ubunifu wa kuinua mapato na kuna explore jinsi ya kuongeza mapato zaidi ya siasa tu, hapo ndipo tunahitaji viongozi watakaochaguliwa na wananchi wenyewe siyo presidential appointees.
Kubwa watadhibiti matumizi ya hovyo ya rasilimali ya sehemu husika kama Rais kutumia mabilioni ya shilingi ya walipa kodi kwenda kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake bila kupitishwa na bunge
Mimi na NANI mkuu? Shida yenu moja kubwa watu wengi ni hi, mnadhani kila anae tetea jambo fulani basi ni mwana chama au mfuasi wa chama fulani, hakuna watu HURU nchi hi kama tusiomiliki kadi za chama chaochote, tunao uhuru wa kuunga mkono na kukosoa yoyote; labda ningekuuliza swali, kwanini mnapinga sera ya majimbo wakati tayari IPO na inafanya kazi Tanzania?Sasa Kama ni hivyo mnataka nini Sasa?