Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

Mfumo wa majimbo ulipaswa kuanza wakati tunapata uhuru sio sasa na nashangaa kwanini ukawa mjadala sasa.
Umejisahaulisha kwamba kabla ya uhuru tulikuwa na majimbo na inafaa ujikumbushe ni lini tulianza kitu kinaitwa "madaraka mikoani!" Baada ya hapo waweza katika utakavyo ila SUALA LA MAJIMBO SI SUALA JIPYA TANGANYIKA. YALIKUWEPO NA UBAGUZI HAUKUWEPO.
 
Kwanini yaliondolewa?
 
U
Kulikiwa na sababu gani ya mgombea wako kudanganya?
Kwanini mnasumbuka sana enyi mliolemewa na mizigo... njooni kwetu kabla makoo hayajawakauka...
Hivi wakulima mmeshawaboreshea bei za mazao yao? Mishahara na madaraja ya wafanyakazi vipi? Vipi noah zetu za makinikia?
 
Jibu tuhuma za mgombea kudanganya hadaharani
 
Hiyo ni s
Waungwana,

Chunguzeni leo hii nchi zote ambazo ni kinara wa mfumo wa Serikali za majimbo (federal government) duniani ni nchi ambazo zilikuwa zinakabiliwa Sana na tatizo la kukosa umoja wa Kitaifa kutokana na Vita, udini au Kukosa lugha ya kuwaunganisha.

Marekani walikuwa mataifa huru 50. Kuwaunganisha ni lazima uwaachie baadhi ya madaraka yao, hivyo mfumo wa Serikali ya Majimbo ni sahihi kwao.

Canada wanashida ya lugha. Kuna majimbo hawajui au hawaongei kabisa kiingereza, wenyewe wanaongea kifaransa. Hawa ni muhimu kuwa na majimbo ili wawe huru kutumia lugha waipendayo.

Ujerumani walitawanyika na kuwa nchi mbili tofauti na ukuta ukajengwa Kati ya Ujerumani ya Mashariki na ile ya magharibi. Hawa ili kuwaunganisha mfumo wa Serikali ya Majimbo ulikuwa lazima ila maeneo hayo yabaki na sehemu ya utawala wake wa awali.

Nigeria imepitia mengi sana sana Kati ya waislamu wa kaskazini na wakristo wa kusini. Waafrika kusini vilevile wamepitia mengi Kuhusu ukoloni na ukaburu. Wazungu wengi walibaki Afrika Kusini baada ya Uhuru kamili mwaka 1994. Kwa misingi hiyo, unaweza kabisa kuona Nigeria na Afrika kusini walihitaji utawala wa majimbo.

Sisi Tanzania tunahitaji utawala wa majimbo ili iweje? Je, changamoto za kiuchumi, utamaduni na kisiasa zinatokana na mazingira hayo niliyoyataja hapo juu?

Wazungu hawana makabila na karibu wote wana dini au imani sawa. Kuwawekea utawala wa majimbo sio mbaya. Hapa kwetu tunajadili sio to dini Bali hata dhehebu. Kuna baadhi ya watu walisema katika uchaguzi wa 2015, Sasa ni zamu ya M-KKKT kuwa wa -RC wametawala Sana. Sasa kwenye nchi Kama hii uanze umajimbo, tunategemea nini kitokee?

Majimbo yatatutenga zaidi badala ya kutuleta pamoja. Mfumo wa Serikali za mitaa kwa Tanzania ni mzuri na toshelevu. Kama Kuna changamoto basi ni Kuboresha tuu.

Ninawashangaa Sana wapinzani, sijui wamekunywa wanzuki ya wapi. Tasilimali za kila eneo husaidia eneo hilo na maeneo mengine. Hii ni kwasababu watu wanaingiliana na wanaweza kuishi popote. Mtoto wa Kagera anapangiwa kazi Tanga na maisha yanaenda. Mtu wa Mtwara anahamia Mbeya anakuwa mnyaki maisha yanaenda.

Watanzania tuukumbatie umoja, amani na mshikamano wetu kwa kuchagua mafiga matatu hapo 28 Oktoba, 2020. Tuwaadhibu wapinzani wanaotaka kutugawa kwa kuwanyima kura.

Amani Msumari

Tanga (kwasasa Kigamboni kumtafutia Rais Magufuli kura za bonus).
Hiyo ni sera aliyotumwa Lissu na akina Amsterdam, Mmarekani mchonganishi, aishiye Kanada chini ya ufadhili wa CIA na FBI za Marekani, ili aivuruge nchi kwa nia na lengo la kuleta mpasuko nchini mwetu. Hilo hatulikubali na haliwezekani. Kwa mwenye akili timamu, maelezo hayo hapo juu ni ufunguo tosha wa kuwaelimisha wale wasiojua CHANZO NA NIA YA SERIKALI YA MAJIMBO. Kwani hamuoni kinachoendelea nchi jirani kutokana na "kujaribu kuwa na serikali za MAJIMBO? HAMUONI?
 
Kwahiyo ata Serikali za mitaa zitafutwa?
Maana Federal System ndiyo imezaa Decentralization by Devolution.
D by D
D by D siyo SERIKALI ZA MAJIMBO. Zaidi ni kuwa Serikali za Mitaa ni venue ya kupeleka serikali kwenye ngazi ya chini na mwanzo kabisa kwa nia na lengo la KUWASHIRIKISHA WANANCHI katika uendeshaji wa serikali yao kwa njia ya kuwa na wawakilishi viongozi at that level.
 
Hiyo ni s

Hiyo ni sera aliyotumwa Lissu na akina Amsterdam, Mmarekani mchonganishi, aishiye Kanada chini ya ufadhili wa CIA na FBI za Marekani, ili aivuruge nchi kwa nia na lengo la kuleta mpasuko nchini mwetu. Hilo hatulikubali na haliwezekani. Kwa mwenye akili timamu, maelezo hayo hapo juu ni ufunguo tosha wa kuwaelimisha wale wasiojua CHANZO NA NIA YA SERIKALI YA MAJIMBO. Kwani hamuoni kinachoendelea nchi jirani kutokana na "kujaribu kuwa na serikali za MAJIMBO? HAMUONI?
Dah ndugu tufumbue mamcho tuepuke balaa hili
 
D by D siyo SERIKALI ZA MAJIMBO. Zaidi ni kuwa Serikali za Mitaa ni venue ya kupeleka serikali kwenye ngazi ya chini na mwanzo kabisa kwa nia na lengo la KUWASHIRIKISHA WANANCHI katika uendeshaji wa serikali yao kwa njia ya kuwa na wawakilishi viongozi at that level.
Tema madini ndugu ili wagonjwa wapone
 
Shida yetu kichwa kimoja kidogo kutuamulia Watanzania Milioni 60 tunataka Nini. Halmashauri, Ofisi za Wilaya na Mikoa zimekuwa sehemu ya kututawala tu badala ya kutuongoza
 
sababu nyuma ya pazia kuhusu hoja ya majimbo;
#raisi anapunguziwa madaraka wanapewa wananchi kuchagua viongozi wa majimbo yao
#Bunge linapunguziwa nguvu ya kupitisha sheria kwa kupendelea chama tawala kwa sababu kunakuwa na mabunge mawili(two chambers.. upper and lower) ambapo sheria mpk ifike kwa rais lazima ipitishwe kwenye kila bunge na mara nyingi chama kimoja hakiwez kutawala mabunge yote ko ni ngumu kupitisha sheria mbovu mbovu...
#Mapato na matumiz ya kila jimbo yanasimamiwa na jimbo husika na kias kinaenda serikali kuu kama senate akizngua anapigwa chini kwa hapo ila kauli ya chagua ccm upate maendeleo haipo kabisaa
hizi ndo sababu CCM hawataki kukubali sera ya majimbo wanakimbilia kusema yatatugawa na yanaleta ubaguzi ikumbukwe kabla ya uhuru tulikuwa na huu mfumo na kenya ambao Katika ujasusi wa kiuchumi wametupita mbali wanatumia mfumo wa majimbo
 
Sijui Lissu kawafundishaje kuhusu utendaji kazi wa serikali za majimbo? Ila ukweli ndio huo kuwa mtimdo huo unatokana na kila "sehemu" au "mkoa" kutaka madaraka yake yenyewe na ukichukulia mfano wa Kanada au USA, ilitokana na kila "nchi au jimbo (ukipenda)" kuwa na mamlaka na madaraka yake kamili kabla ya kuungana na kuunda serikali za majimbo. Gavana wa jimbo lolote USA au Kanada anayo madaraka na mamlaka kamili na anaweza kukataa amri yoyote kutoka Washington (kwa maana ya kutoka Federal Govt) au Vancouver; au hujawahi kusikia hilo? Hivyo basi muulizeni Lissu awaeleze vizuri juu ya mfumo huu, siyo kudaka tu kila kitu asemacho na kukiweka humu JF.
 
Mkuu nenda ludi mfumo wa majimbo ndo mfumo bora...
 
Hayo ndiyo yaliyofanyika nchi jirani! Je unajua sasa hivi kuna mvutano kati ya hizo County Governments na Serikali Kuu!? Je unajua kuwa hata mgawanyo wa rasilimali ni "mwiba" huko kwa sasa hivi? Kuna Counties hazina pesa za kujiendesha kwani kila "county" inang'ang'ania the so called rasilimali zake! Au hamuoni kifo kutokana na hii sera ya Amsterdam anayo I- propagate Lissu? Kama hamuoni "kifo" basi "chungulieni kaburi".
 
Ndoto ya Mzee Mtei a.k.a baba mukwe
 
unataka kusema na ishu ya kenya kungangania mlima kilimanjaro umetokan na sera majimbo...
Mkuu huo ni ujasusi wa kiuchumi...
 
Sijui Lissu kawafundishaje kuhusu utendaji kazi wa serikali za majimbo? Ila ukweli ndio huo kuwa mtimdo huo unatokana na kila "sehemu" au "mkoa" kutaka madaraka yake yenyewe na ukichukulia mfano wa Kanada au USA, ilitokana na kila "nchi au jimbo (ukipenda)" kuwa na mamlaka na madaraka yake kamili kabla ya kuungana na kuunda serikali za majimbo. Gavana wa jimbo lolote USA au Kanada anayo madaraka na mamlaka kamili na anaweza kukataa amri yoyote kutoka Washington (kwa maana ya kutoka Federal Govt) au Vancouver; au hujawahi kusikia hilo? Hivyo basi muulizeni Lissu awaeleze vizuri juu ya mfumo huu, siyo kudaka tu kila kitu asemacho na kukiweka humu JF.
Tusiende huko Mbali, tuangalia County Government hapa Kenya zinavyofanya vizuri. Au hata tuwe na mfumo kama wa South Africa.

Mambo ya USA utatuambia litakapokuja swala la East Africa Federation sio leo.

Leo kwanini unatuletea mkuu wa Mkoa kama picha hana dira ya maendeleo hana uwezo wa kuamua chochote cha maendeleo, DC anawaza chama kishinde kwisha.

Sisi tunataka tujiamulie Vipaumbele vyetu wenyewe, mfano Kilimanjaro shule, umeme, Barabara, Hospital sio kipaumbele tena wao wanataka kwenda next leval wakati sisi Shinyanga Mabwawa ya maji ni kipaumbele chetu kwa ajili ya Mifugo na umwagiliaji
 
Back
Top Bottom