Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ndiyo, licha ya kwamba Palestina ilitawaliwa na auingereza tangia mwaka 1920 baada ya kukabidhiwa na shirikisho la umoja wa mataifa (League of Nations) baada ya vita ya kwanza ya Dunia ila bado Palestina haijapata uhuru mpaka leo.
League of Nations ilipitisha Azimio la kuiweka Palestina toka utawala wa Otoman na kuikabidhi Uingereza ila ajabu ni licha ya Uingereza kuitawala Palestina ila Uingereza ilikuja kuipa uhuru Israel ndani ya ardhi ya Palestina kupitia azimio No. 181 la mwaka 1947 lililopitishwa na Umoja wa Mataifa, hatimae Israel ilipata uhuru wake tarehe 14 Mei 1948. Siku hiyo, David Ben-Gurion alitangaza kuanzishwa kwa Taifa la Israel, na hivyo kumaliza utawala wa Uingereza huko Palestina!
Mpaka leo unasoma uzi huu ndugu mwana jf Palestina haijapata uhuru wake kamili isipokuwa kuna baadhi ya mataifa tu yanaitambua Palestina kama Taifa huru!
Sababu gani hasa zinafanya Palestina isipate uhuru wake mpaka leo hii?
Ndugu msomaji unaweza ukaona mkanganyiko uliopo baada ya Uingereza kuitawala Palestina ila Uhuru akaja kupewa Taifa jingine ndani ya Taifa la Palestina!
1. Ilikuwaje kizazi kinachosemekana kilitoka enzi za utumwani Misri hakikusambalitika licha ya kuishi utumwani Misri zaidi ya Miaka 400?
2. Ikiwa Misri haikuchukua waisrael wote kwenda utumwani Misri, ilikuwaje kizazi ambacho hakikwenda utumwani kilipotea?
2. Ikiwa kizazi kilichobaki hakikupotea, ilikuwaje machafuko ndani ya Palestina yaliinza baada ya wanaojiita diaspora wa kiisrael walioshi maeneo mbalimbali ulimwenguni kuanza kulejea huko Palestina karne 19-20?
Naendelea kutafuta majibu ya maswali haya, na kama kuna mtu ana majibu anaweza kuyaleta.
Hapa chini kuna raman ya eneo la Palestina toka mwaka 1917 mpaka kuanza kwa Israel 1948 na kuendelea kutanuka mpaka mwaka 2020.

Mchango wa Mataifa ya Nje: Masuala ya kimataifa na ushiriki wa mataifa mengine yamekuwa na athari kubwa kwa mgogoro wa Israel na Palestina. Mataifa na mashirika ya kimataifa yamekuwa yakishiriki katika kusaidia upande mmoja au mwingine, na hii imesababisha kuzidi kwa mzozo kati ya Israel na Palestin.
Kushindwa kwa Makubaliano ya amani ambayo yabakwama kutokana na migogoro ya ardhi, mipaka, hadhi ya wakimbizi na hadhi ya Yurusalem.
moja ya changamoto kubwa ni Israel kutokuwa na mipaka isiyoeleweka! Israel mpaka leo mipaka yake inaongezeka kadri siku zinavyizidi kusonga anatwalia ardhi ya kipalestina na kufanya makazi rasmi ya Raia wake.