Je! Wajua kuwa Palestina haijapata uhuru mpaka leo?

Je! Wajua kuwa Palestina haijapata uhuru mpaka leo?

Sasa we mkenya lofa zaidi ya vifungu vya bibilia ulivyokaririshwa Sunday school hiyo historia ya miaka elfu utaitoa wapi?

Wewe bwege ambaye umekalia kukariri kitabu cha muarabu ambacho kinafundisha ngono, kuzaliana na chuki na mauaji tu hamna kingine cha maana utaijuaje historia.
 
Mzozo ulioshindikana kupatiwa ufumbuzi huu.
 
... wapalestina wakikusikia watakutangazia fatwa mara moja! Wanajihisi actually kwa mujibu wa maandiko yao wanajiona ni kizazi cha Ibrahim kwa Ishmael yule mtoto wa kijakazi.
Hakuna ushahidi yule kijakazi alikuwa muarabu, huenda alikuwa muafrika mweusi, hata Ishmael baadae alioa mke kutoka Misri

.....Misri ya kale ilikaliwa na weusi.
 
Back
Top Bottom