Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
- Thread starter
- #21
Mwanzo 17:4-6 : Mungu anatoa agano lake na Ibrahim na kumwambia atakuwa baba wa mataifa mengi na kwamba uzao wake utaanzisha taifa kubwa.ibrahimu hakuanzisha israel mzee
Yakobo (Israeli) alileta familia yake kutoka eneo la Mesopotamia, ambalo ni eneo la kati kati ya mito ya Tigris na Euphrates. Katika Biblia, inaelezwa kwamba Yakobo alizaliwa na kukulia huko Mesopotamia, na baadaye akaenda Mesopotamia kwa mara ya pili ili kuoa wake zake kutoka familia ya baba yake.
Mesopotamia kwasasa Sehemu kubwa iko katika nchi za sasa za Iraq na Syria.