Mwanzo 17:4-6 : Mungu anatoa agano lake na Ibrahim na kumwambia atakuwa baba wa mataifa mengi na kwamba uzao wake utaanzisha taifa kubwa.ibrahimu hakuanzisha israel mzee
Kwani Syria Palestina ilikuwepo kabla ya Nabii Ibrahim ambae anatajwa kwamba ni mwanzilishi wa taifa la Israel?
Mbona Nabii Ibrahim alizaliwa kwingine kabisa na kwasasa eneo alilokazaliwa Nabii Ibrahim liko chini ya Taifa la Iraq?
Mbona Nabii Ibrahim aliambiwa na Mungu kwa mujibu wa madai yake kuwa aende Kanani ambapo ndipo Israel ya leo na Palestina ya leo?
Kwani Nabii Ibrahim alipofika Kanani toka Haran alipokuwa akiishi huko Kanani hakukuta jamii nyingine ya watu?
... wapalestina hao hao na waarabu wanapenda kujinasibisha na Ibrahim kwamba wao ni descendants of Ibrahim through Ishmael wakati kiukweli ni aina fulani ya "majitu". Muhimu kuliko yote, Kanaan ni urithi wa Ibrahim kwa Isaka.1. Nabii Ibrahim alizaliwa "Ur Kasdim" ambapo ipo ndani Iraq kwasasa.
2. Nabii Ibrahim aliondoka na kuelekea "Haran" ambapo aliishi kwa miongo kadhaa, eneo ili kwasasa liko nchini Uturuki.
3. Nabii Ibrahim alienda "Kanaani" kwa mujibu wake ni kuwa aliagizwa na Mungu ambapo eneo ili kwasasa liko Israel na Palestina yasasa!
Kwa muktadha huu Nabii Ibrahim kwao ni wapi? Alipokwenda Kanaani hakukuta Jamii ikiyoishi hapo?
... wapalestina wakikusikia watakutangazia fatwa mara moja! Wanajihisi actually kwa mujibu wa maandiko yao wanajiona ni kizazi cha Ibrahim kwa Ishmael yule mtoto wa kijakazi.Ikiwa Israel ni kiza cha Yakobo peke yake!.Je,kizazi cha Esau ni kinanani na wakati Esau ni kulwa na Yakobo ni doto?.
Kizazi cha Esau ndicho kilibaki katika mji waliozaliwa na wao siyo wana wa Israel.Je,siyo kwamba kizazi cha Esau ndiyo wapalestina wenyewe?.
Nadhani ingependeza mamlaka ikasimamia eneo lile lile walilopewa israel ndio wakishi hapo, huko kwingine kwa wapalestina waishi huko.
Toka 1947 israel imekuwa ikikwapua tu maeneo ya wapalestina.
1. Nabii Ibrahim alizaliwa "Ur Kasdim" ambapo ipo ndani Iraq kwasasa.
2. Nabii Ibrahim aliondoka na kuelekea "Haran" ambapo aliishi kwa miongo kadhaa, eneo ili kwasasa liko nchini Uturuki.
3. Nabii Ibrahim alienda "Kanaani" kwa mujibu wake ni kuwa aliagizwa na Mungu ambapo eneo ili kwasasa liko Israel na Palestina yasasa!
Kwa muktadha huu Nabii Ibrahim kwao ni wapi? Alipokwenda Kanaani hakukuta Jamii ikiyoishi hapo?
Kwani Syria Palestina ilikuwepo kabla ya Nabii Ibrahim ambae anatajwa kwamba ni mwanzilishi wa taifa la Israel?
Mbona Nabii Ibrahim alizaliwa kwingine kabisa na kwasasa eneo alilokazaliwa Nabii Ibrahim liko chini ya Taifa la Iraq?
Mbona Nabii Ibrahim aliambiwa na Mungu kwa mujibu wa madai yake kuwa aende Kanani ambapo ndipo Israel ya leo na Palestina ya leo?
Kwani Nabii Ibrahim alipofika Kanani toka Haran alipokuwa akiishi huko Kanani hakukuta jamii nyingine ya watu?
Ibrahimu au nabii Ibrahmu(s.a.w) ndiye mzazi wa wakristo kwa Isaka(Isieqa) na waislamu kwa Ismail(Ishmail).Kwani Syria Palestina ilikuwepo kabla ya Nabii Ibrahim ambae anatajwa kwamba ni mwanzilishi wa taifa la Israel?
Mbona Nabii Ibrahim alizaliwa kwingine kabisa na kwasasa eneo alilokazaliwa Nabii Ibrahim liko chini ya Taifa la Iraq?
Mbona Nabii Ibrahim aliambiwa na Mungu kwa mujibu wa madai yake kuwa aende Kanani ambapo ndipo Israel ya leo na Palestina ya leo?
Kwani Nabii Ibrahim alipofika Kanani toka Haran alipokuwa akiishi huko Kanani hakukuta jamii nyingine ya watu?
Hivi unajua kuwa Waisrael sio Wakristo!Mungu ibariki Israel, walinde watoto wa Yakobo. Mungu awalindaye ni Yehova huwa halali wala hasinzii. Shalom Israel
Kanaan ni urithi wa Ibrahim kwa Isaka.... wapalestina hao hao na waarabu wanapenda kujinasibisha na Ibrahim kwamba wao ni descendants of Ibrahim through Ishmael wakati kiukweli ni aina fulani ya "majitu". Muhimu kuliko yote, Kanaan ni urithi wa Ibrahim kwa Isaka.
Hahahaaa!Mi nataka kujua tu kuhusu Esau na kizazi chake ni kina nani maana wao siyo waisrael(Watoto wa Yakobo)?.... wapalestina wakikusikia watakutangazia fatwa mara moja! Wanajihisi actually kwa mujibu wa maandiko yao wanajiona ni kizazi cha Ibrahim kwa Ishmael yule mtoto wa kijakazi.
Dah!Yaani ni kama wachina waamurishwe kuwa ua watanzania wote ili wao wakae Tanzania!?.Hata biblia huijui vzr wewe sio mkristo agano la kale kwenye safari ya wayahudi kurudi kaanani kutoka misri walipewa mipaka ya eneo hilo na namna ya kukabiliana na wageni watakao wakuta ofcoz kwa mujibu wa vitabu vyao waliamuliwa wawauwe wenyeji wote watakao wakuta katika eneo hilo[emoji28]
Sasa we mkenya lofa zaidi ya vifungu vya bibilia ulivyokaririshwa Sunday school hiyo historia ya miaka elfu utaitoa wapi?Ajitokeze mtu aandike historia ya huu mtanange bila ushabiki, wewe nakuona pia ni wale wale wavaa makobazi mnaaminishana huko vitu vya upuzi.
Unaongea kuhusu historia ya 1920, juzi sana, hilo eneo lina historia ya maelfu ya miaka.
Na wakiendelea kuachiwa wapalestina watafukuzwa wote hapo kila mwaka jamaa wanapanua makazi na kuwaleta wazungu kwa kisingizio eti wanarudi nyumbani upuuzi mtupu. Wenzao wakakae wapi?Nadhani ingependeza mamlaka ikasimamia eneo lile lile walilopewa israel ndio wakishi hapo, huko kwingine kwa wapalestina waishi huko.
Toka 1947 israel imekuwa ikikwapua tu maeneo ya wapalestina.
Na wakiendelea kuachiwa wapalestina watafukuzwa wote hapo kila mwaka jamaa wanapanua makazi na kuwaleta wazungu kwa kisingizio eti wanarudi nyumbani upuuzi mtupu. Wenzao wakakae wapi?
Basi wewe siyo mkatoliki maana Biblia inasema waliagizwa wawaue wenyeji wa ile nchi wote.....Sasa wewe mkatoliki gani unayepinga Biblia?Mimi ni catholics tena pure ila sikubaliani na uhuni unaofanywa na israeli kwa wapalestina.
Mimj napinga mambo mengi sana ya kwenye bible mkuu hata huu ushenzi anaoufanya papa Fransisco sikubaliani nao kabisa. Mimi ni mkatoliki mfuB
Basi wewe siyo mkatoliki maana Biblia inasema waliagizwa wawaue wenyeji wa ile nchi wote.....Sasa wewe mkatoliki gani unayepinga Biblia?
Ila walipofika wakaingiwa na huruma wakawaache wanawake na watoto wao....ndiyo hawa wanataka uhuru. kazi kwao π€π€π€