Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

Gibeoni Siyo walebanoni? Je wafilisti ni Nani?
 
Aiseee!
 
Waanzilishi wa Zionist movement akina Ben Gurion waliandika machapisho mengi tu kuwa hawa Wapalestina unaowaona, miongini mwao ni kizazi cha Waisrael wa kale ambao walisilimu na kufuata uislamu na wengine kuwa Wakiristo.
 
Waanzilishi wa Zionist movement akina Ben Gurion waliandika machapisho mengi tu kuwa hawa Wapalestina unaowaona, miongini mwao ni kizazi cha Waisrael wa kale ambao walisilimu na kufuata uislamu na wengine kuwa Wakiristo.
Mnawatetea sana Wapalestina
 
Pia ujuwe kuwa ibrahimu alizaa na kijakazi kutoka misri(watu weusi wana wa ham) na mtoto aliyezaliwa yaani ishimael hakuwa mwarabu wala mzungu bali mweusi.

Je hao waarabu wanahusikaje na uzao wa ishimael ambaye hana uhusiano nao hata chembe?

Someni biblia zenu vizuri na mtoe mihemko na mahaba ya kidini badala yake tumieni akili.

Waarabu wabaki kama walivyo maana hawahusiki na historia yoyote ya uzao wa ibrahimu hawa ni majizi walioshirikiana na muhamad na wazungu kuiba historia za wamisri wa kale na kuunda hadithi za uongo.

Wana wa ibrahimu, wana wa yakobo hawapo huko middle east bali wako afrika na baadhi ya maeneo dunian yenye watu weusi tu, ijueni hii historia ya kweli ambayo hao matapeli wenu wachungaji hawawezi kuwaambia kwa kulinda maslahi ya mkoloni mwarabu na mzungu.

Kama wayahudi walifanana na wamisri wana wa hamu(watu weusi) basi nihitimishe kwa kusema ENYI VILAZA WAFIA DINI, Wayahudi wapo hapa hapa East Afrika, South Afrika, West Afrika, Middle Afrika na dunian kote wamesambaa ambako kuna raia wa ngozi nyeusi.

Hawawezi kuwaambia huu ukweli kwa kuofia mtawatawala na kulipiza visasi kwa kuwafanyia utumwa.

Stories za biblia na quran zimetungwa kwa kuiba nakala za mababu wa kale wa Afrika.

Watu weupe hawahusiki na Mambo ya kiroho maana wao si viumbe wa asili ya dunia.

Elimikeni enyi wafia dini.
 
Ni yupi alinusurika kuchinjwa na baba yake
  1. Waislam wanasema ni Ismail
  2. Wakristo wanasema ni Isaka
  3. Sijui wayahudi wanasemaje
Wayahudi ni wajukuu wa Isaka kupitia kwa Yakobo usitegemee wakisema Ismail ndiye aliye nusurika kutolewa sadaka.

Alafu hajira si alifukuzwa baada ya kuleta dharau kwa bi mkubwa sarah, kama alifukuzwa mtoto akiwa mdogo basi aliyenusurika ni Isaka kwakuwa mtoto aliyepelekwa kutolewa sadaka alikuwa mkubwa anayeongea na kuweza kuhoji sadaka iko wapi.
 
Naropoka kama ifuatavyo Inawezekana Muhammad alikuwa ni miongoni mwa hao wafilisti
 
Alafu hajira si alifukuzwa baada ya kuleta dharau kwa bi mkubwa sarah, kama alifukuzwa mtoto akiwa mdogo basi aliyenusurika ni Isaka kwakuwa mtoto aliyepelekwa kutolewa sadaka alikuwa mkubwa anayeongea na kuweza kuhoji sadaka iko wapi.
Na kwamba baada ya kufukuzwa Hajra alikwenda kwao Misri na mwanaye
 
Ibrahim ni Muiraq(Uru).Sasa kama waisrael ni weusi,tuthibitishie kihistoria watu wa Iraq walikuwa weusi (waafrika).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huo zingatia sababu ya kufukuzwa kwa mujibu wa Sarah ni kwamba alimuona Ishmael akimfanyia dhihaka Isaka mdogo wake.Vp hapo inaonekana Ishmael alikuwa mtoto asiyejua kuongea?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…