Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Kama kweli hizo ni amri za shetani, nachelea kusema huenda hata sasa mimi ni mfuasi wake bila kujijua. ( kama kutimiza hizo amri ndio sifa ya kuwa mfuasi)
 
Amri gani za shetani zimekaa kilegevu namna hiyo?

Mi nilizani amri za shetani ni kinyume cha amri za Mungu.

Mfano: Usiseme uongo - sema uongo
usitamani mke wa mwenzako - tamani mke wa mwenzako.
Ndio hizo sasa
 
Soma mwisho wa kila amri.. Hakuna kusamehe
Usizingue mpaka uzinguliwe
Usiuwe kama hakuna sababu
Usitongoze kama huna dalili ya kukubaliwa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona ziko vizuri tuu mkuu,kama hizo ndio za shetani basi hiyo shetani sio mbaya kwa kiasi tunachoambiwa..

Uanze kutoa ushauri hujaombwa Ili ugundue nini? We mute fanya yako.
 
Shetani anaweza kuumba hata nyasi asilia ? Au ni muasi tu anavuruga kazi ya Mwenyezi MUNGU duniani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…