shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 724
- 1,527
Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia
Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira.
Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na Chama sijui nani Mheshimiwa Lisu alipelekwa mahakamani J3 yake bila taarifa yoyote.
Sasa wananchi wenzangu mnadhani kuna jambo la kheri linakuja kwa Kesi ya mwamba huyu kuanza kipindi cha World cup.Naona giza nene kwamba hata wakipindisha sheria namna gani tutakuwa busy na hivyo vitu ambavyo ni extra.