Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 May 31, 2026 #21 Itakavyokuwa
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 3,828 Reaction score 5,728 May 31, 2026 #22 Hata awe nani Rais TZ hakuwezi kuwa na maajabu Naamini kabisa Kuna hujuma za za mataifa makubwa walizifanya makusudi kabisa kuhujumu Ufahamu wetu kwa utulivu wa Dunia in term of balance Mtu anawezaje kuwa na kila kitu halafu unakufa na njaa tena unatapatapa kwa Ubora kabisa Hii si kesi ndogo kwa ufahamu Kuna kitu shadidi kabisa kipo nyuma ya hili Ila ukiwa fala unaweza kumlaumu wapumbavu walijitwika utawala juu ya Matahira Tuna kesi kubwa kuliko tunavyodhani
Hata awe nani Rais TZ hakuwezi kuwa na maajabu Naamini kabisa Kuna hujuma za za mataifa makubwa walizifanya makusudi kabisa kuhujumu Ufahamu wetu kwa utulivu wa Dunia in term of balance Mtu anawezaje kuwa na kila kitu halafu unakufa na njaa tena unatapatapa kwa Ubora kabisa Hii si kesi ndogo kwa ufahamu Kuna kitu shadidi kabisa kipo nyuma ya hili Ila ukiwa fala unaweza kumlaumu wapumbavu walijitwika utawala juu ya Matahira Tuna kesi kubwa kuliko tunavyodhani