World Cup ilikuwa 1998.World cup ya siku hizi ishapoteza mvuto
Wananchi tutafuatilia kesi ya Lissu
wafuata mkumbo mna mambo sana aise dah πNatamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia
Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira.
Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na Chama sijui nani Mheshimiwa Lisu alipelekwa mahakamani J3 yake bila taarifa yoyote.
Sasa wananchi wenzangu mnadhani kuna jambo la kheri linakuja kwa Kesi ya mwamba huyu kuanza kipindi cha World cup.Naona giza nene kwamba hata wakipindisha sheria namna gani tutakuwa busy na hivyo vitu ambavyo ni extra.
World cup, ilikuwa ya 1994, 1998 pamoja na 2002 hizi kwangu zilikuwa π₯π₯π₯World cup ya siku hizi ishapoteza mvuto
Wananchi tutafuatilia kesi ya Lissu
Hii ilikuwa matokeo ya 1994 na ikaja kujiishia zake 2002 π₯²World Cup ilikuwa 1998.
World Cup ilikuwa 1998.
Kwani muda wa kesi unafanana na muda wa iyo mechi ya world Cup?Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia
Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira.
Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na Chama sijui nani Mheshimiwa Lisu alipelekwa mahakamani J3 yake bila taarifa yoyote.
Sasa wananchi wenzangu mnadhani kuna jambo la kheri linakuja kwa Kesi ya mwamba huyu kuanza kipindi cha World cup.Naona giza nene kwamba hata wakipindisha sheria namna gani tutakuwa busy na hivyo vitu ambavyo ni extra.
WC yenyewe usiku wa mananeWorld cup ya siku hizi ishapoteza mvuto
Wananchi tutafuatilia kesi ya Lissu
Utalia kama Natalia!wafuata mkumbo mna mambo sana aise dah π
Aisee weweeee jamaa umetisha sanaa.....hii fainali ilikuwa Bora haina mfanoWorld Cup ilikuwa 1998.
Tuache Fatilia Kesi ya Rais Mh Lissu tukaangalie Mpira?Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia
Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira.
Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na Chama sijui nani Mheshimiwa Lisu alipelekwa mahakamani J3 yake bila taarifa yoyote.
Sasa wananchi wenzangu mnadhani kuna jambo la kheri linakuja kwa Kesi ya mwamba huyu kuanza kipindi cha World cup.Naona giza nene kwamba hata wakipindisha sheria namna gani tutakuwa busy na hivyo vitu ambavyo ni extra.
Hahahaa yaani 2002 kuna timu ilipigwa goli 7 nadhani Saudia.Hii ilikuwa matokeo ya 1994 na ikaja kujiishia zake 2002 π₯²
π π π na ndio lilikuwa kombe la dunia la mwisho lenye mvutoHahahaa yaani 2002 kuna timu ilipigwa goli 7 nadhani Saudia.
na ntakuliza haswa gentleman πUtalia kama Natalia!