Je wajua kwa nini Kesi ya Lisu itaendelea tena tarehe 11 June,siku ambayo kombe la dunia linanza?

Hata awe nani Rais TZ hakuwezi kuwa na maajabu

Naamini kabisa Kuna hujuma za za mataifa makubwa walizifanya makusudi kabisa kuhujumu Ufahamu wetu kwa utulivu wa Dunia in term of balance

Mtu anawezaje kuwa na kila kitu halafu unakufa na njaa tena unatapatapa kwa Ubora kabisa

Hii si kesi ndogo kwa ufahamu Kuna kitu shadidi kabisa kipo nyuma ya hili

Ila ukiwa fala unaweza kumlaumu wapumbavu walijitwika utawala juu ya Matahira

Tuna kesi kubwa kuliko tunavyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…