.Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Usicheze na Mnyazi Mngu,kama hukuelewa vizuri kitabu kitakatifu mtafute mtu mwenye Ilimu akusaidie,sawa?Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Makobazi au sio 😆😆Makobaz Yamechangayikiwaa dahh
View attachment 3391466
Umetuasa vizuri sana, na mimi ndo nimeanza hivo. Nimesoma hiyo aya sijaielewa. Vipi umeelewa nifahamishe?Wakristo nawaasa someni vitabu vyenu vya dini na vya dini nyingine kama kumi la sivyo mtadhalilika sana kwenye hizi hadithi za abunuasi za kwenu na wao🤔
Nina marafiki zangu wakiimani humu hivyo kuwauzi sitakiUmetuasa vizuri sana, na mimi ndo nimeanza hivo. Nimesoma hiyo aya sijaielewa. Vipi umeelewa nifahamishe?
Fanya hivyo wewe mimi now nimelewa bwasheeKujua kuhusu dini ni kumuudhi mtu? Hapana mkuu, tueleweshane kiupendo tu.
Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yakoTukae kwenye mada mkuu, hiyo Aya umeielewa au umetoka kapa kama mimi?
Haya watukufu wenye Ilimu msaidieni basi kumpa Ilimu ya din ya hakiNdo maana nimekuja humu, najua wapo wenye ilimu wanisaidie kuelewa.
Wakristo nawaasa someni vitabu vyenu vya dini na vya dini nyingine kama kumi la sivyo mtadhalilika sana kwenye hizi hadithi za abunuasi za kwenu na wao🤔