Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.

Unaweza kupigwa rungu ufe...ndio maana watu wanajichukulia sheria mkononi wakisema wanamsuru.
 
Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako

Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa

Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Lete sasa maana ya hii aya, mkristo makini nipo hapa kukuchallenge.
 
"إِن تَنصُرُوا اللَّـهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ"
"Mkiimsaidia Mwenyezi Mungu, Atakusaidieni na kukazilia nyinyi miguuni mwenu."

### Maelezo ya kina:
1. Maana ya kuwa "kumsaidia Mwenyezi Mungu":
- Kuendeleza Dini Yake: Kwa kufuata amri Zake, kudai haki, kusimamisha uadilifu, na kujitolea kwa njia Yake (k.v. kupigana jihad kwa sababu ya kuilinda dini).
- Kumtii Mwenyezi Mungu: Kuishi kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah, kuepusha uasi, na kushiriki katika mambo yanayokuza Uislamu.

2. Ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kusaidia:
- Usaidizi wa kimwili na kiroho: Mwenyezi Mungu Atawaondoa maadui wenu na kukupa uthabiti katika vita au shida.
- Thabiti katika msimamo wako: Atakufanya uwe imara katika mafundisho ya Kiislamu bila kutetereka.

3. Muktadha wa kisiasa na kihistoria:
- Aya hii iliteremsha wakati wa vita kwa mujibu wa watafsiri kama Ibn Kathir, ikilenga Waislamu waliojipanga kujihami dhidi ya maadui wao. Inasisitiza umuhimu wa kujitolea kwa Mwenyezi Mungu kwa matokeo mazuri duniani na Akhera.

4. Matumizi ya kisasa:
- Kwa mtu binafsi: Kujitoa kwa Mwenyezi Mungu kwa vitendo (k.v. kusali, kutoa sadaka, kufundisha Uislamu) kunaleta baraka na uthabiti.
- Kwa jamii: Umoja na uadilifu katika mambo ya kidini na kijamii husababisha msaada wa Mwenyezi Mungu.

### Mithali ya Qur'an:
Aya hii inafanana na Sura Al-Imran (3:160): *"Mwenyezi Mungu Akitaka kukusaidia, hakuna anayeweza kukushinda.
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
 
Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako

Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa

Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Shekh punguza hasira kama unajua mjibu, mbona Nabii Musa aliulizwa na Farao na akamjibu,asipoelewa yeye wengine huwenda tukaelewa.
 
Biblia inasema Mungu alimwumba mwandamu kwa sura na mfano wake unayemsaidi leo unaweza Kuta ndo Mungu katika umbo tofauti kama alimtokea Musa kwenye umbo la kijiti cha moto, Mungu mcheza mieleka, Daniel 7:9-10 Mungu kwenye umbo la mzee, Mathayo 13:16-17 Roho ya Mungu ikishuka kama njiwa all in all Mungu anaweza kukufikia kwa namna yeytote anaweza kuja kama Abdul, juma, asha. Tusome hivi vitabu kama watu wazima sio kama mtoto anayeanza kujifunza kusoma
 
Soma hili andiko Yakobo 1:17 - "Kila zawadi njema na kila kipawa chenye kukamilika hutoka juu, kutoka kwa Baba wa mwanga, ambaye hana kubadilika wala kivuli cha kuhamahama." Huyo anaye badilika ni yupi na asiye badilika ni yupi
 
Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako

Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa

Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Hebu nipe tofauti zenu na wakristo mkuu
 
Soma hili andiko Yakobo 1:17 - "Kila zawadi njema na kila kipawa chenye kukamilika hutoka juu, kutoka kwa Baba wa mwanga, ambaye hana kubadilika wala kivuli cha kuhamahama." Huyo anaye badilika ni yupi na asiye badilika ni yupi
Biblia haisemi Mungu habadiliki katika namna anavyojifunua, bali habadiliki katika tabia yake, ahadi zake, na utakatifu wake. Kuonekana kwake kwa njia mbalimbali (kama vile moto, mtu, au sauti) ni njia ya mawasiliano kwa wanadamu, si kubadilika kwa kiini chake still Bado Mungu hubadilika umbo soma Aya nilizokupa sijazitoa kwenye mdomo wangu nimezitoa kwenye biblia unless unabisha kwa mazoea
 
Aise!!!
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.

Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
 
Allah ni fala sana.
 
Acha kupotosha ww kijana,Ni wapi Allah kasema anahitaji kunusuriwa? Yeye kasema tumnusuru lakini sio kwamba "anataka" bali ni kwa manufaa yetu wenyewe
Mimi nitamnusiu
Aise!!!

Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
Hujabadili chochote .shida ipo palepale
 
Wakristo nawaasa someni vitabu vyenu vya dini na vya dini nyingine kama kumi la sivyo mtadhalilika sana kwenye hizi hadithi za abunuasi za kwenu na wao🤔
Hakuna watu wasomi wa kitabu cha dini yao na vitabu vingine vya dini nyingine kama wagalatia.
 
Back
Top Bottom