Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Biblia haisemi Mungu habadiliki katika namna anavyojifunua, bali habadiliki katika tabia yake, ahadi zake, na utakatifu wake. Kuonekana kwake kwa njia mbalimbali (kama vile moto, mtu, au sauti) ni njia ya mawasiliano kwa wanadamu, si kubadilika kwa kiini chake still Bado Mungu hubadilika umbo soma Aya nilizokupa sijazitoa kwenye mdomo wangu nimezitoa kwenye biblia unless unabisha kwa mazoea
Wapi imeandikwa Mungu ana badilika Umbo.
 
Kitu ambacho siku zote kipo wazi ni kwamba,pamoja na wasio waislamu kuanzisha nyuzi za kuhoji Uislamu

Hoja hujibiwa na majibu ya kueleweka hupatikana,kwasababu Uislamu umenyooka,kinachobakia ni ushindani wa kipuuzi tu

Sasa hoji kuhusu Ukristo,hupati.majibu ya kueleweka ambayo akili itakinai,sana sana wanajificha kwenye kivuli cha Roho mtakatifu ambaye ni Malaika

Ukiwabana sana watasema ni nafsi tatu ndani ya moja,kwa maana nyingine Mungu ni Malaika,halafu Mungu katika umbile la binadamu na Mungu mwenyewe khaaa!!

Karibuni katika Uislamu tuwasilimishe,huku ni Mungu mmoja tu ambaye ndio muweza wa kila kitu,hakuzaa wala kuzaliwa na hakuna anayefanana naye hata mmoja kwa sifa zake na mwonekano wake

Lakini Mungu akiwa ndani ya Yesu alikula,alilala,na hata mkisema alikula kwasababu anaishi katika mwili, sasa mbona Malaika hubadilika katika umbile la wanadamu na hawali

Mfano walipoenda kuangamiza Sodoma na Gomora,walipitia kwa Ibrahim alayhi salamu,na wakatayarishiwa nyama safi ya kondoo au mbuzi

Je kama Malaika wanakaza hawali kwanini Mungu akiwa ndani ya Kristo asikaze kwa Uwezo wake angali viumbe vyake tu Malaika hawali

Wakijibu kwa hoja naomba mnishtue
 
Pumzi inakudanganya
Huyu Allah Wenu ni Mkola.
Leo anaomba kunusuriwa Kesho anaumwa Macho hadi Malaika wanaenda kumsalimia.
Ukisoma kwa umakini (bila akili za kushikiwa) Quran na hadithi Muhammad ndiye allah mwenyewe in disguise.
ndiyo maana hata majina wanashare.
 
Kitu ambacho siku zote kipo wazi ni kwamba,pamoja na wasio waislamu kuanzisha nyuzi za kuhoji Uislamu

Hoja hujibiwa na majibu ya kueleweka hupatikana,kwasababu Uislamu umenyooka,kinachobakia ni ushindani wa kipuuzi tu

Sasa hoji kuhusu Ukristo,hupati.majibu ya kueleweka ambayo akili itakinai,sana sana wanajificha kwenye kivuli cha Roho mtakatifu ambaye ni Malaika

Ukiwabana sana watasema ni nafsi tatu ndani ya moja,kwa maana nyingine Mungu ni Malaika,halafu Mungu katika umbile la binadamu na Mungu mwenyewe khaaa!!

Karibuni katika Uislamu tuwasilimishe,huku ni Mungu mmoja tu ambaye ndio muweza wa kila kitu,hakuzaa wala kuzaliwa na hakuna anayefanana naye hata mmoja kwa sifa zake na mwonekano wake

Lakini Mungu akiwa ndani ya Yesu alikula,alilala,na hata mkisema alikula kwasababu anaishi katika mwili, sasa mbona Malaika hubadilika katika umbile la wanadamu na hawali

Mfano walipoenda kuangamiza Sodoma na Gomora,walipitia kwa Ibrahim alayhi salamu,na wakatayarishiwa nyama safi ya kondoo au mbuzi

Je kama Malaika wanakaza hawali kwanini Mungu akiwa ndani ya Kristo asikaze kwa Uwezo wake angali viumbe vyake tu Malaika hawali

Wakijibu kwa hoja naomba mnishtue

Kuran inasema"binadamu wa kwanza alikuwa muislam na kuran hiyo hiyo inasema kabla ya Kuja uislam pombe ilikuwa halali".
Sasa tunajiuliza;ni Akina nani hao walikuwa wanakunywa pombe Kabla ya Kuja uislam wakati binadamu wa kwanza alikuwa muislam?.
ama hizi ambiguities ndiyo zinanogesha uislam wenyewe?.
 
Swali zuri sana expert wangu

Kwanza nikurekebishe kidogo expert wangu,Qur'an haijasema kwamba Pombe ilikuwa halali,kama una udhibitisho naomba uweke ubaoni hapa

Pili kwanza tujue kwanini inasemwa binadamu wote wamezaliwa katika asili ya Uislamu ukiwemo wewe let the caged bird sings

Wote tumezaliwa katika asili ya kuumbwa chini ya Mwenyezi Mungu mmoja tu,na wote tuna asili moja ambayo ni unyenyekevu kwa Mungu mmoja

Ila kinachotokea ni huyu kiumbe au mwanadamu kubadilishwa na wazazi wake ima awe mkristo,mbudda au mmajusi

Ndio maana inasemwa Adamu na umati zote zolizo pita walikuwa waislamu

Sasa kwa asili vitu vyote ni halali mpaka viharamishwe na Mwenyezi Mungu

Kwa asili watu walikuwa wanakunywa pombe,mpaka pale alipokuja Mtume wa Mwisho Muhammad swalla aallahu alaihyi wa sallammu ndio Mwenyezi Mungu akaharamisha pombe

Kwahiyo ukisoma kwa mtazamo wa kuelewa hoja utakuwa umenielewa
 
Aise!!!

Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
Soma vizuri aya
 
Surah Al-Hijr (15:9):
"إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا الذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُ لَحَافِظُونَ"

"Hakika Sisi ndio tulioteremsha Ukumbusho (Qur'an), na hakika Sisi ndio tutakaoilinda.

ELEWA HAPO
ALLAH ndio anailinda Quran na uislamu kwa ujumla kwa namna ambayo yeye anataka

Hivyo ALLAH anapambana mwenyewe, kuilinda dini na watu ni asbab
NI quran ipi Allah anailinda na ameilinda mpaka sasa?

Majah hadith 1944 Aisha" kuna Aya mbili zilikuwa chini ya kitanda changu na mbuzi akazila na hazikupatikana tena "

hamis77 njoo uone vibwanga vya waislamu.

At Allah anailinda quran na mbuzi Tu kamuweza😁😁😁😁😁😁
 
Kitu ambacho siku zote kipo wazi ni kwamba,pamoja na wasio waislamu kuanzisha nyuzi za kuhoji Uislamu

Hoja hujibiwa na majibu ya kueleweka hupatikana,kwasababu Uislamu umenyooka,kinachobakia ni ushindani wa kipuuzi tu

Sasa hoji kuhusu Ukristo,hupati.majibu ya kueleweka ambayo akili itakinai,sana sana wanajificha kwenye kivuli cha Roho mtakatifu ambaye ni Malaika

Ukiwabana sana watasema ni nafsi tatu ndani ya moja,kwa maana nyingine Mungu ni Malaika,halafu Mungu katika umbile la binadamu na Mungu mwenyewe khaaa!!

Karibuni katika Uislamu tuwasilimishe,huku ni Mungu mmoja tu ambaye ndio muweza wa kila kitu,hakuzaa wala kuzaliwa na hakuna anayefanana naye hata mmoja kwa sifa zake na mwonekano wake

Lakini Mungu akiwa ndani ya Yesu alikula,alilala,na hata mkisema alikula kwasababu anaishi katika mwili, sasa mbona Malaika hubadilika katika umbile la wanadamu na hawali

Mfano walipoenda kuangamiza Sodoma na Gomora,walipitia kwa Ibrahim alayhi salamu,na wakatayarishiwa nyama safi ya kondoo au mbuzi

Je kama Malaika wanakaza hawali kwanini Mungu akiwa ndani ya Kristo asikaze kwa Uwezo wake angali viumbe vyake tu Malaika hawali

Wakijibu kwa hoja naomba mnishtue
Mwamba Baki kwenye point. Unajua maana ya kunusuru?
Kisha tueleze Mungu anataka kunusuriwa kwenye nini. Acha ngonjera za nje ya mada
 
Sio tu kunusuriwa/ kutetewa/ kupiga niwa na binadamu lakini Kuna aya Allah anaswali kumswalia mtume.
INNALLAHA WAMALAIKATAHU YUSWALUUNA ALA NNABIY.
Hakika Allah ana malaika wake wanaswali kumswalia mtume
 
Kwani coment husomi,kuna mtu kajibu hoja nzuri sana

Majibu kutoka kwa Engneeer

أَقْدَامَكُمْ"
"Mkiimsaidia Mwenyezi Mungu, Atakusaidieni na kukazilia nyinyi miguuni mwenu."

### Maelezo ya kina:
1. Maana ya kuwa "kumsaidia Mwenyezi Mungu":
  • Kuendeleza Dini Yake: Kwa kufuata amri Zake, kudai haki, kusimamisha uadilifu, na kujitolea kwa njia Yake (k.v. kupigana jihad kwa sababu ya kuilinda dini).
  • Kumtii Mwenyezi Mungu: Kuishi kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah, kuepusha uasi, na kushiriki katika mambo yanayokuza Uislamu.

2. Ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kusaidia:
  • Usaidizi wa kimwili na kiroho: Mwenyezi Mungu Atawaondoa maadui wenu na kukupa uthabiti katika vita au shida.
  • Thabiti katika msimamo wako: Atakufanya uwe imara katika mafundisho ya Kiislamu bila kutetereka.

3. Muktadha wa kisiasa na kihistoria:
- Aya hii iliteremsha wakati wa vita kwa mujibu wa watafsiri kama Ibn Kathir, ikilenga Waislamu waliojipanga kujihami dhidi ya maadui wao. Inasisitiza umuhimu wa kujitolea kwa Mwenyezi Mungu kwa matokeo mazuri duniani na Akhera.

4. Matumizi ya kisasa:
  • Kwa mtu binafsi: Kujitoa kwa Mwenyezi Mungu kwa vitendo (k.v. kusali, kutoa sadaka, kufundisha Uislamu) kunaleta baraka na uthabiti.
  • Kwa jamii: Umoja na uadilifu katika mambo ya kidini na kijamii husababisha msaada wa Mwenyezi Mungu.

### Mithali ya Qur'an:
Aya hii inafanana na Sura Al-Imran (3:160): *"Mwenyezi Mungu Akitaka kukusaidia, hakuna anayeweza kukushinda.

Hapa hakuna cha kuongeza
 
Hapa inamaanisha Allah anamtakia Rehema Mtume wake
 
Washirikina ndio walikuwa wanamnasabisha kwamba Allah ana mabinti,lkn jambo ambalo sio kweli
Si kweli vipi na Allah amekuwepo kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Kama NI ushirikina kusema Allah ana mabinti Basi hata Ibada za pale Al Kaaba ambazo zilikuwepo kabla ya Muhammad na ambazo zipo mpaka Leo nazo NI ushirikina pia Kama kuzunguka Jiwe jeusi.
 
Kwani coment husomi,kuna mtu kajibu hoja nzuri sana

Majibu kutoka kwa Engneeer

أَقْدَامَكُمْ"
"Mkiimsaidia Mwenyezi Mungu, Atakusaidieni na kukazilia nyinyi miguuni mwenu."

### Maelezo ya kina:
1. Maana ya kuwa "kumsaidia Mwenyezi Mungu":
  • Kuendeleza Dini Yake: Kwa kufuata amri Zake, kudai haki, kusimamisha uadilifu, na kujitolea kwa njia Yake (k.v. kupigana jihad kwa sababu ya kuilinda dini).
  • Kumtii Mwenyezi Mungu: Kuishi kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah, kuepusha uasi, na kushiriki katika mambo yanayokuza Uislamu.

2. Ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kusaidia:
  • Usaidizi wa kimwili na kiroho: Mwenyezi Mungu Atawaondoa maadui wenu na kukupa uthabiti katika vita au shida.
  • Thabiti katika msimamo wako: Atakufanya uwe imara katika mafundisho ya Kiislamu bila kutetereka.

3. Muktadha wa kisiasa na kihistoria:
- Aya hii iliteremsha wakati wa vita kwa mujibu wa watafsiri kama Ibn Kathir, ikilenga Waislamu waliojipanga kujihami dhidi ya maadui wao. Inasisitiza umuhimu wa kujitolea kwa Mwenyezi Mungu kwa matokeo mazuri duniani na Akhera.

4. Matumizi ya kisasa:
  • Kwa mtu binafsi: Kujitoa kwa Mwenyezi Mungu kwa vitendo (k.v. kusali, kutoa sadaka, kufundisha Uislamu) kunaleta baraka na uthabiti.
  • Kwa jamii: Umoja na uadilifu katika mambo ya kidini na kijamii husababisha msaada wa Mwenyezi Mungu.

### Mithali ya Qur'an:
Aya hii inafanana na Sura Al-Imran (3:160): *"Mwenyezi Mungu Akitaka kukusaidia, hakuna anayeweza kukushinda.

Hapa hakuna cha kuongeza
We kwa akili yako unaona hayo maelezo yanaendana na Aya ilivyo?
Je kunusuru iliyotumika kwenye Aya unaweza kuiweka kwenye maana sawa na kusaidia?

Sawa twende hivo unavyotaka, kwa maelezo hayo ni wazi kwamba Mungu anahitaji msaada wa wanadamu ila na yeye awasaidie. Hiyo mbona imekaa kibinadamu kabisa, kwamba nisadie nikusaidie. Inamaana usiponisaidia nikakosa msaada wako kuna mahali nitakwama kwenye mambo ambayo nimetaka unisidie. Vipi hapo Allah, msaada wetu tusipompa ni kwamba lengo la kueneza dini yake halitatimia?

Kiutetezi mnasema hahitaji msaada then anataka tumsidie, inakuingia akilini hiyo?

Halafu Aya haijataja mambo ya kueneza dini, huyo mtafsiri analitoa wapi hilo la dini?
 
"إِن تَنصُرُوا اللَّـهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ"
"Mkiimsaidia Mwenyezi Mungu, Atakusaidieni na kukazilia nyinyi miguuni mwenu."

### Maelezo ya kina:
1. Maana ya kuwa "kumsaidia Mwenyezi Mungu":
- Kuendeleza Dini Yake: Kwa kufuata amri Zake, kudai haki, kusimamisha uadilifu, na kujitolea kwa njia Yake (k.v. kupigana jihad kwa sababu ya kuilinda dini)
- Kumtii Mwenyezi Mungu: Kuishi kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah, kuepusha uasi, na kushiriki katika mambo yanayokuza Uislamu.

2. Ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kusaidia:
- Usaidizi wa kimwili na kiroho: Mwenyezi Mungu Atawaondoa maadui wenu na kukupa uthabiti katika vita au shida.
- Thabiti katika msimamo wako: Atakufanya uwe imara katika mafundisho ya Kiislamu bila kutetereka.

3. Muktadha wa kisiasa na kihistoria:
- Aya hii iliteremsha wakati wa vita kwa mujibu wa watafsiri kama Ibn Kathir, ikilenga Waislamu waliojipanga kujihami dhidi ya maadui wao. Inasisitiza umuhimu wa kujitolea kwa Mwenyezi Mungu kwa matokeo mazuri duniani na Akhera.

4. Matumizi ya kisasa:
- Kwa mtu binafsi: Kujitoa kwa Mwenyezi Mungu kwa vitendo (k.v. kusali, kutoa sadaka, kufundisha Uislamu) kunaleta baraka na uthabiti.
- Kwa jamii: Umoja na uadilifu katika mambo ya kidini na kijamii husababisha msaada wa Mwenyezi Mungu.

### Mithali ya Qur'an:
Aya hii inafanana na Sura Al-Imran (3:160): *"Mwenyezi Mungu Akitaka kukusaidia, hakuna anayeweza kukushinda.
__usipoeneza dini ya Allah na yeye hatakusaidia kwenye mambo yako, means Mungu ana uhitaji sana wa mwanadamu kwenye hilo na tusipofanya ni kwamba jambo lake litafeli.
__kumtii Mwenyezi Mungu ni kumnusuru? Nikishamtii nitakuwa nimemnusuru na nini?
 
Nakujibu kwa hekima bila kukukejeli mkuu,Mungu (Allah) anazungumza kwa lugha ya picha tu.ni kama akisema ukimpa chakula maskini "umenipa mimi",ukitenda haki kwa wanyonge na binadamu wenzako bila kujali matabaka yao bas ni kama wema huo umemfanyia Mungu...hii haina maana kwamba Mungu anahitaji chochote kwetu sisi wanadamu..yeye amekamilika na anajitosheleza kwa kila namna hahitaj chochote katika viumbe alivyoviumba.nadhan nimekujibu kwa hekima Clever505
 
Back
Top Bottom