Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Nakujibu kwa hekima bila kukukejeli mkuu,Mungu (Allah) anazungumza kwa lugha ya picha tu.ni kama akisema ukimpa chakula maskini "umenipa mimi",ukitenda haki kwa wanyonge na binadamu wenzako bila kujali matabaka yao bas ni kama wema huo umemfanyia Mungu...hii haina maana kwamba Mungu anahitaji chochote kwetu sisi wanadamu..yeye amekamilika na anajitosheleza kwa kila namna hahitaj chochote katika viumbe alivyoviumba.nadhan nimekujibu kwa hekima Clever505
Maelezo yako ni mazuri ndugu mwanaJF hongera sana. Tuje kwenye Aya sasa, eleza maelezo ya kuifafanua Aya yenyewe.
 
Swali zuri sana expert wangu

Kwanza nikurekebishe kidogo expert wangu,Qur'an haijasema kwamba Pombe ilikuwa halali,kama una udhibitisho naomba uweke ubaoni hapa

Pili kwanza tujue kwanini inasemwa binadamu wote wamezaliwa katika asili ya Uislamu ukiwemo wewe let the caged bird sings

Wote tumezaliwa katika asili ya kuumbwa chini ya Mwenyezi Mungu mmoja tu,na wote tuna asili moja ambayo ni unyenyekevu kwa Mungu mmoja

Ila kinachotokea ni huyu kiumbe au mwanadamu kubadilishwa na wazazi wake ima awe mkristo,mbudda au mmajusi

Ndio maana inasemwa Adamu na umati zote zolizo pita walikuwa waislamu

Sasa kwa asili vitu vyote ni halali mpaka viharamishwe na Mwenyezi Mungu

Kwa asili watu walikuwa wanakunywa pombe,mpaka pale alipokuja Mtume wa Mwisho Muhammad swalla aallahu alaihyi wa sallammu ndio Mwenyezi Mungu akaharamisha pombe

Kwahiyo ukisoma kwa mtazamo wa kuelewa hoja utakuwa umenielewa
Nilichokinuukuu hakijasema: pombe ilikuwa halali kabla ya Kuja Mtume bali kinasema "Pombe ilikuwa Halali kabla ya Kuja UISLAM".
kutaka kubadili ndimi kama utakavyo wewe ni sawa na kusema Muhammad ndiyo uislam wakati si kweli,au nimedanganya?.
hao walikuwa wakilewa kabla ya Kuja uislam ni Akina nani wakati Adam alikuwa muislam mzuri tu uenda ndiye mweka jiwe la msikiti filidaus?.
 
Husijitoe akili type error haina shida .

Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .

Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
SIJAONA HOJA YAKO YA MSINGI HAPO ZAIDI YA MANENO YA HOVYO NA KEBEHI AMBAVYO VINAONESHA JINSI UPEO WAKO ULIVYO MDOGO
 
Husijitoe akili type error haina shida .

Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .

Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Si sawa tu na Mungu wa biblia kutaka fungu la kumi,sadaka za kuteketeza na kujengewa makanisa,hana uwezo wa kujenga!?

Hivi binaadam wakiacha neno la Mungu hapo ujumbe(Mungu) wa Mungu utakuwepo?..nyumba za ibada zitakuwepo?!..Mungu atakuwepo au atapotea duniani?..kama atapotea,huoni kuilinda imani,kuipambania,kuihubiri ni kumnusuru Mungu!?
 
Si kweli vipi na Allah amekuwepo kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Kama NI ushirikina kusema Allah ana mabinti Basi hata Ibada za pale Al Kaaba ambazo zilikuwepo kabla ya Muhammad na ambazo zipo mpaka Leo nazo NI ushirikina pia Kama kuzunguka Jiwe jeusi.
Expert wangu chill twende taratibu

Ngoja kwanza nikwambie asili kwanini watu wanaabudu masanamu

Iko hivi asili ya watu kuabudu masanamu imetokana na watu kuwapenda huenda watu wao wa zamani,wakaamua kuwajengea masanamu,awali si kwa lengo la kuwaabudu,lakini kadri muda unavyoenda kizazi kipya ambacho hakijui ufahamu kwanini hayo masanamu yalikuwepo ndio huanza kuyaabudu

Kwa taarifa yako tu, washirikina wa Makka by that time walikuwa wana miungu 365,kwa maana kila siku fulani ina Mungu wake

Kwahiyo hao miungu wao uliowataja wakawanasibisha kwamba ni mabinti wa Allah kitu ambacho si kweli

Tukija kwenye ibada ya kuzunguka al kaaba,kwanza lile sio jiwe jeusi bali ni kama mfano wa chumba ambacho kimefunikwa na pazia jeusi,ingawa katika moja ya kona kipande kidogo cha jiwe ambacho legend inasema kilikuwa cheupe kutoka peponi ila kimekuwa cheusi kutokana na kushikwa kwa wanadamu,kutokana na madhambi yao

Kwahiyo washirikina,kabla ya Mtume Muhammad swalla aallahu alayhi wa sallamu,walikuwa wanafanya ibada za kishirikina,ila awali kabisa ilikuwa ni nyumba ambayo wenye kumuamini Allah walikuwa wanafanya ibada baaada ya kujengwa kwa mara ya pili na nabii Ibrahim

Baada ya ujio wa Muhammad swalla aallahu alaihy wa sallamu ndio ikarudishwa kwenye ibada sahihi,ambapo mpaka leo waislamu wanatekeleza ibada zao
 
We kwa akili yako unaona hayo maelezo yanaendana na Aya ilivyo?
Je kunusuru iliyotumika kwenye Aya unaweza kuiweka kwenye maana sawa na kusaidia?

Sawa twende hivo unavyotaka, kwa maelezo hayo ni wazi kwamba Mungu anahitaji msaada wa wanadamu ila na yeye awasaidie. Hiyo mbona imekaa kibinadamu kabisa, kwamba nisadie nikusaidie. Inamaana usiponisaidia nikakosa msaada wako kuna mahali nitakwama kwenye mambo ambayo nimetaka unisidie. Vipi hapo Allah, msaada wetu tusipompa ni kwamba lengo la kueneza dini yake halitatimia?

Kiutetezi mnasema hahitaji msaada then anataka tumsidie, inakuingia akilini hiyo?

Halafu Aya haijataja mambo ya kueneza dini, huyo mtafsiri analitoa wapi hilo la dini?
Haya ndio mambo ambayo huwa nayasema,hoja inajibiwa na kueleweka ila hamkosi la kusema,hata kama haki imewajia

Sasa huwa sina mda wa kupoteza kwa hoja ambayo iko wazi
 
Hawa NI mabinti WA Nani?

Al lat

Al uzzal

Al manat.

Acha kujitoa akili wewe historia ipo wazi.😎😸😸😸😸
Hayo ni masanamu yaliyokuwa yakiabudiwa na waarabu kabla ya Uislamu Quran sura ya 53, Aya 23 Inabainisha kuwa sanamu hizo ni majina tu mliyoyatoa nyinyi na mababu zenu, bila uthibitisho wowote, ikimaanisha waarabu ndiyo Ushirikina huo.
 
Nilichokinuukuu hakijasema: pombe ilikuwa halali kabla ya Kuja Mtume bali kinasema "Pombe ilikuwa Halali kabla ya Kuja UISLAM".
kutaka kubadili ndimi kama utakavyo wewe ni sawa na kusema Muhammad ndiyo uislam wakati si kweli,au nimedanganya?.
hao walikuwa wakilewa kabla ya Kuja uislam ni Akina nani wakati Adam alikuwa muislam mzuri tu uenda ndiye mweka jiwe la msikiti filidaus?.
Kwahiyo unataka kukataa kauli yako kwamba qur'an ilisema pombe ni halali?
 
Nilichokinuukuu hakijasema: pombe ilikuwa halali kabla ya Kuja Mtume bali kinasema "Pombe ilikuwa Halali kabla ya Kuja UISLAM".
kutaka kubadili ndimi kama utakavyo wewe ni sawa na kusema Muhammad ndiyo uislam wakati si kweli,au nimedanganya?.
hao walikuwa wakilewa kabla ya Kuja uislam ni Akina nani wakati Adam alikuwa muislam mzuri tu uenda ndiye mweka jiwe la msikiti filidaus?.
Msikiti firdausi ndio msikiti gani?
 
Hayo ni masanamu yaliyokuwa yakiabudiwa na waarabu kabla ya Uislamu Quran sura ya 53, Aya 23 Inabainisha kuwa sanamu hizo ni majina tu mliyoyatoa nyinyi na mababu zenu, bila uthibitisho wowote, ikimaanisha waarabu ndiyo Ushirikina huo.
Unajua maana ya neno "object"?
 
Expert wangu chill twende taratibu

Ngoja kwanza nikwambie asili kwanini watu wanaabudu masanamu

Iko hivi asili ya watu kuabudu masanamu imetokana na watu kuwapenda huenda watu wao wa zamani,wakaamua kuwajengea masanamu,awali si kwa lengo la kuwaabudu,lakini kadri muda unavyoenda kizazi kipya ambacho hakijui ufahamu kwanini hayo masanamu yalikuwepo ndio huanza kuyaabudu

Kwa taarifa yako tu, washirikina wa Makka by that time walikuwa wana miungu 365,kwa maana kila siku fulani ina Mungu wake

Kwahiyo hao miungu wao uliowataja wakawanasibisha kwamba ni mabinti wa Allah kitu ambacho si kweli

Tukija kwenye ibada ya kuzunguka al kaaba,kwanza lile sio jiwe jeusi bali ni kama mfano wa chumba ambacho kimefunikwa na pazia jeusi,ingawa katika moja ya kona kipande kidogo cha jiwe ambacho legend inasema kilikuwa cheupe kutoka peponi ila kimekuwa cheusi kutokana na kushikwa kwa wanadamu,kutokana na madhambi yao

Kwahiyo washirikina,kabla ya Mtume Muhammad swalla aallahu alayhi wa sallamu,walikuwa wanafanya ibada za kishirikina,ila awali kabisa ilikuwa ni nyumba ambayo wenye kumuamini Allah walikuwa wanafanya ibada baaada ya kujengwa kwa mara ya pili na nabii Ibrahim

Baada ya ujio wa Muhammad swalla aallahu alaihy wa sallamu ndio ikarudishwa kwenye ibada sahihi,ambapo mpaka leo waislamu wanatekeleza ibada zao
Ebu soma Kwa sauti ulichoandika alafu jisikilize mwenyewe. Usipoona tatzo kwenye maelezo yako niambie
 
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,

47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Covax njoo hapa
 
Anamaanisha kuinusuru dini yake
 
Back
Top Bottom