We kweli coinman yaani unachoongea hakielewekiMimi nitamnusiu
Hujabadili chochote .shida ipo palepale
We kweli coinman yaani unachoongea hakielewekiMimi nitamnusiu
Hujabadili chochote .shida ipo palepale
Husijitoe akili type error haina shida .We kweli coinman yaani unachoongea hakieleweki
Tofauti kubwa kati ya ukristo na Uislamu ni kua wakristo wamemfanya mtume wa Allah kua ni Muabudiwa wao lkn sio kweli bali huyo wanaemuita yesu ni mtume tu alietumwa kwa wana wa israelHebu nipe tofauti zenu na wakristo mkuu
The verse from Surah Muhammad (47:7):Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
"O you who have believed, if you support Allah, He will support you and plant firmly your feet."
"Whoever conveys the need of someone who cannot convey it, Allah will make his feet firm on the Day of Judgment."
Aibu naona mimi, yaani ukianza kusoma Aya zilipita na zinazofuata bila shaka inaeleweka nini kinakusudiwaKwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Kuabudu ni kufanyaje kabla cjakuja na ufafanuz wa hicho ulichojibuTofauti kubwa kati ya ukristo na Uislamu ni kua wakristo wamemfanya mtume wa Allah kua ni Muabudiwa wao lkn sio kweli bali huyo wanaemuita yesu ni mtume tu alietumwa kwa wana wa israel
Allah ndie anaestahiki kuabudiwa kwa haki
Wakristo wamepotea njia tu sio kma hawajui wanachokifanya bali wanatakiwa waelekezwe njia sahihi tu sio kama dini nyengine
The verse you mentioned is from Surah Al-Ma'idah (5:54):Husijitoe akili type error haina shida .
Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .
Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
"O you who have believed, whoever of you should revert from his religion—Allah will bring forth [in place of them] a people He will love and who will love Him; [who are] humble toward the believers, powerful against the disbelievers; they strive in the cause of Allah and do not fear the blame of a critic. That is the favor of Allah; He bestows it upon whom He wills. And Allah is all-Encompassing and Knowing."
Hiyo Aya inasema kwemba, atayeacha dini yake (uislamu), ALLAH atawaleta watu mbadala wake wenye kumpenda na wao kumpenda yeye, wanyenyekevu kwa waumini na wakali kwa makafiri, wanapambania dini bila kuogopa lawama za wenye kulaumuHusijitoe akili type error haina shida .
Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .
Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Kwaheri nishajua lengo lako sina muda wa kubishanaKuabudu ni kufanyaje kabla cjakuja na ufafanuz wa hicho ulichojibu
Surah Al-Hijr (15:9):Husijitoe akili type error haina shida .
Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .
Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Kwa hiyo Allah anahitaji nguvu ya mwanadamu kuunga mkono ueneaji wa dini yake ili naye amsaidie mwanadamu. Mungu wa namna gani huyu hawezi kueneza dini yake hadi afanye malipo na mwanadamu kwamba nifanyie hiki nami nitakufanyia hiki!The verse from Surah Muhammad (47:7):
In his Tafsir, Ibn Kathir explains that this verse emphasizes the principle that the reward is commensurate with the action. If believers support Allah's religion—by upholding His commands, spreading His message, and striving in His cause—then Allah, in turn, will support them against their enemies and grant them steadfastness. This is further illustrated by the hadith:
TUKUTAFSIRIE KISWAHILI?
Kupigania kupo kwa namna nyingi kumtangaza kumtetea hizi kazi nyinyi hamzifanyi.Husijitoe akili type error haina shida .
Nimefanya multiple quotes kuonyesha kwamba hata Kama Allah qnamzungumzia dini bado shida ipo palepale .
Allah anategemea kupiganiwa na waislamu katika Quran
Acha uongo mzee, Aya unaiona? Wapi pameandikwa dini hapo? Aya inasema ukimnusuru Mwenyezi Mungu na si ukiinusuru dini yake.Aise!!!
Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
Toa ufafanuzi,achana na mapambio. kwanini Omnipotent God anusuriwe na impotent creatures?.Qur'an sio kitabu cha kukichambua kwa matamanio yako
Ss tunaenda na ushahidi hatufuati dini kibubusa
Mm naielewa vzr dini yangu na hakuna mkristo yyte wa kunichallenge imani yangu labda muislamu mwenzangu tena anofuata misingi sahihi aniongezee elimu
Wewe kama umekaririshwa dini na ukaaminishwa ni ukweli, wakati hujawah kukutana na Muhammad wala Mungu unatofauti gani na mkristo. Bure kabisaKwaheri nishajua lengo lako sina muda wa kubishana
Pumzi inakudanganya sana ww mwana wa adamuWewe kama umekaririshwa dini na ukaaminishwa ni ukweli, wakati hujawah kukutana na Muhammad wala Mungu unatofauti gani na mkristo. Bure kabisa
Pumzi inakudanganyaToa ufafanuzi,achana na mapambio. kwanini Omnipotent God anusuriwe na impotent creatures?.
Sio,kwamba Allah ni Mkola tu?.
MashaAllah"إِن تَنصُرُوا اللَّـهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ"
"Mkiimsaidia Mwenyezi Mungu, Atakusaidieni na kukazilia nyinyi miguuni mwenu."
### Maelezo ya kina:
1. Maana ya kuwa "kumsaidia Mwenyezi Mungu":
- Kuendeleza Dini Yake: Kwa kufuata amri Zake, kudai haki, kusimamisha uadilifu, na kujitolea kwa njia Yake (k.v. kupigana jihad kwa sababu ya kuilinda dini).
- Kumtii Mwenyezi Mungu: Kuishi kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah, kuepusha uasi, na kushiriki katika mambo yanayokuza Uislamu.
2. Ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kusaidia:
- Usaidizi wa kimwili na kiroho: Mwenyezi Mungu Atawaondoa maadui wenu na kukupa uthabiti katika vita au shida.
- Thabiti katika msimamo wako: Atakufanya uwe imara katika mafundisho ya Kiislamu bila kutetereka.
3. Muktadha wa kisiasa na kihistoria:
- Aya hii iliteremsha wakati wa vita kwa mujibu wa watafsiri kama Ibn Kathir, ikilenga Waislamu waliojipanga kujihami dhidi ya maadui wao. Inasisitiza umuhimu wa kujitolea kwa Mwenyezi Mungu kwa matokeo mazuri duniani na Akhera.
4. Matumizi ya kisasa:
- Kwa mtu binafsi: Kujitoa kwa Mwenyezi Mungu kwa vitendo (k.v. kusali, kutoa sadaka, kufundisha Uislamu) kunaleta baraka na uthabiti.
- Kwa jamii: Umoja na uadilifu katika mambo ya kidini na kijamii husababisha msaada wa Mwenyezi Mungu.
### Mithali ya Qur'an:
Aya hii inafanana na Sura Al-Imran (3:160): *"Mwenyezi Mungu Akitaka kukusaidia, hakuna anayeweza kukushinda.