Kwa ufaham wangu ni kuwa Allah alitaka waislam wajitokeze kwa kila hali wawakomboe waislam wenzao katika vita,manyanyaso na harakat zozote za halali kuwanusuru wote waliokuwa na taabu.kuna waliotoa mali zao kuunusuru uislamu,kuna walioenda vitani wakauawa,kwa maana hapa walipoteza nafsi zao,hyo aya inawatia moyo wote wanaojitoa kwa kila hali kuunusuru uislam basi wajue wanamnusuru Allah.lakin kwa uhalisia wanawasaidia tu wanadamu wenzao.Allah haitaj lolote kwetu kama nilivyofafanua hapo juu
Clever505 .Mungu anatumia sana lugha ya kifalsafa katika kuleta ujumbe wake.hata ukisoma biblia kuna aya ni kama unaona anaongea vitu havimake sense ila anatumia lugha ya picha, ...wenzetu ndo mnasema tunasoma bila roho mtakatifu ndo maana hatuelewi😀🤣