Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !

Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !

Ndio maana immigration offices nyingi barani Afrika zinabania kutoa passport kwa raia wake.

Mara leta hiki, leta kile.

Wanajua ukitoka nje, Akili itafunguka.

Ndio maana wanakaza.

Wanataka watu waendelee kula ugali wadumae akili, wasiwe na exposure.

Wakenya wengi sio wajinga kwa sababu wengi wametoka nje ya nchi wakaona mambo yanavyotakiwa kuwa.

Ndio maana wakenya hawaonewi kizembe kama wabongo.

Wabongo wengi washaridhika na hali zao za umaskini na wanaona ni kawaida tu. Kwa sababu hawana experience ya maisha ya ughaibuni.

Passport ni haki ya kila raia. Kwanza inatakiwa mtoto akizaliwa tu wakitoa cheti cha kuzaliwa watoe na passport.
 
Back
Top Bottom