Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Itakuwa huko kwenu Wakristo ndio wachafu, ndio maana unafikiri kwa wote iko hivyo
 
Haya madai hayana mashiko kiakili na kisayansi. Usafi unategemea mambo mengi. Ni masuala ya mtu binafsi, jamii, mila, mazingira nk. Mfano, wakrisito waishio kwenye miambao au visiwani kama vile Ukerewe, wanatumia maji kwa kila kitu. Waarabu wanaoishi majangwani wanatumia udongo. Usafi hauna dini wala kabila au rangi. Ungesema lau wazungu, ningekuelewa.
 
Mtoa mada amesema nchi za kikristo wanaweka makaratasi tu hawaweki maji na hiyo ni kweli mimi mwenyewe nimeshudia, inatubidi tuingie na chupa zamaji, maji wameka nje kwa ajili ya kunawa mikono.
Hili ni la kitamaduni zaidi kwa Mfano jirani zetu tu hapo Kenya na Uganda ni watumiaji wazuri wao karatasi laini kuliko maji..
Labda tuwe very specific usafi wa sehemu za siri . Ambapo bado ina wakakini kwa mtazamo wa kidini
 
Hii story ina walakini, familia nyingi za Kitanzania TP ni luxury, hawana hizo pesa za kuchezea kununua TP
 
Wakristo gani hao wanaotawadha baada ya kujisaisia kwa kutumia toilet paper?
Huu utafiti umeufanyia wapi mkuu?
 
Vyoo vingi ulaya havina bomba za kujisafishia makalio, waumini wanafanyaje??
Aisee ni mtihani sana huwa naingia na maji ya chupa tena kama itanilazimu aidha haja ndogo au kubwa
Kwa kazini wameweka aina mbili moja ya maji na moja ya kuchamba kwa karatasi au washenyente shauri zao 😄
Ila airport zipo za maji pia
 
Leo umetoa mada yenye ukakasi sana Mkuu Pascal Mayalla

Nilijifunza tamaduni za kujisafisha nikiwa Kijana wa miaka 12 hivi, kutokana na mafunzo ya Jandoni niliyopata kutoka Kwa Mzee mmoja wa Kiislamu.

Tangu wakati huo, japo sio Muislamu lakini hata nikiwa njiani nikishikwa na haja ndogo lazima nioshe mb***o Kwa Maji. Kama hakuna Maji, nitafuta Kwa Jiwe ili kumaliza matone yote ya Mkojo yasiangukie kwenye nguo.

Ninapokwenda haja kubwa, lazima nitumie Maji kujisafisha pamoja na Sabuni.

Sipendi kutumia toilet paper kujisafisha, na pia sipendi mpenzi wangu atumie toilet paper kujisafisha nyuma.

Maana ile harufu ukimwega doggy haivumiliki.
 
Wazungu wanaona kinyaa kushika mavi yao wenywe kwa mikono mitupu😁
Umeongea ukweli ,sasa wazungu na UTAMADUNI wao sio UKRISTO
Ukristo na uislam ume anzia middle east na tamaduni zake zinafanana.
Ila wazungu wana tamaduni zao mbaya na nzuri ambazo sio mafundisho ya kikristo.
Mtoa mada alipaswa kusema utamaduni wa western au wa wazungu katika kutumia TP sio mzuri ila si kusema UKRISTO sio sio mzuri.
Ametumia maneno culture na christianity interchangably isivyo sahihi.
 
PASKALI I never thought ungekuja na mada ya namma hii.. Well pengine ni aina yako ya uandishi lakini kwa mtazamo wangu utafiti wako una walakini mkubwa
Asante sana Mkuu Mshana Jr , kwanza asante kuchangia uzi wangu huu, mtu wa calibre yako, maana ma GT wa ukweli humu jf, wanahesabika, and you are one of them, thanks.

Swali ni umuhimu wa maji kwenye kujiswafi, unafahamika, nini kinafanya aiport za London, Paris, New York na nchi za Kikristo zisiwe na maji na TP?, mbona za nchi za Kiislamu zina maji na TP?.
Suppose umesafiri to maeneo hayo ambayo hayana maji, how would you feel?

Matumizi ya maji kujiswafi na kujitakasa ni maelekezo ya Mungu, hawa wazungu, hizi TP wamezitolea wapi?!
P
Duh...!.
P
 
Huko kwenyewe kwa mkundu kuchafu wee hayo maji ndio unadhani yataharibu mkundu wako. Acha ufala wewe nawa hayo maji maisha yaendelee. Ingekuwa rahisi kufa tungeshakufa wengi.
I repeat. Wash with water ur arse is worth it!
Sijawahi kuona mawazo ya kipumbavu kama haya. Halafu huenda wewe kweli ni mzanzibar kwa sababu nyie watu nawajua kwa uchafu kwenye haya mambo ya kutawaza. Mnaweka dumu la maji chooni na kopo moja kila mtu anakoroga kinyesi chake ndani kwa sababu eti sehemu ya haja kubwa ni chafu? Kweli bora ukose mali kuliko akili.
 
Swali ni umuhimu wa maji kwenye kujiswafi, unafahamika, nini kinafanya aiport za London, Paris, New York na nchi za Kikristo zisiwe na maji na TP?, mbona za nchi za Kiislamu zina maji na TP?.

JIBU
UTAMADUNI WAO wa hizi nchi ZA WAZUNGU/WESTERN
ni kutumia TP ila ku wipe shit, na maji kunawa mikono.



DINI YA KIKRISTO HAPA IMEINGIAJE??mana utamaduni wao binafsi sio mafundisho ya christianity na has nothing to do with christianity.
 
Msikitini tunafundishwa kutumia maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…