Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Na lengo la mtoa mada ni la KISIASA sio kwamba hana AKILI timamu ya kujua tofauti kati ya dini na culture.
Kwanza naheshimu mawazo yako Mkuu a sinner saved by Christ , nitakushukuru sana kama utanitajia lengo langu, maana mimi ni miongoni mwa watu humu wanaohamasisha reading in between the lines kwa analytical mind kubaini the motives behind and underlying facts.
P
 
Maji yapo coz yanatumika kufrashi,. Ila sio lazima kujisafishia kwani baadhi wanatoilet papers. Ila ni muhimu kutumia maji
 
Brother sifa ulizonipa ni kubwa kuliko Mimi.. Anyway asante sana . hapa ishu si matumizi ya maji na TP kwenye vyoo baada ya kujisaidia (haja zote) je usahihi wa matumizi ukoje?
 
Mzee mwenzangu umenichekesha sana, mimi kama mzee wa hovyo nakupa 🫡
 

Hivi kwanini unaandika mada za kipumbavu kama hii?

Mimi ni mkristo,niko ulaya natumia maji hayo makaratasi ni kujikaishia Yale maji,wakati mwingine naenda 4km kufata maji Tu,halafu naingia JF nakuta umepost ujinga kama huu.

nani amekuambia wote wakristo tunatumia makaratasi?

Mkuu unajua tokea nakua hadi utu uzima huu nilikuwa nasoma mada zako kwa umakini sana ila kwa sasa unaandika upumbavu mwingi!

NANI ALIKUAMBIA KUJISAFISHA KWA MAJI NDIO USAFI?

Uupumbavu mtupu!
 
Jamaa anaandika upuuzi sana.
Dini na kujitawaza matakoni vinaendanaje?

Sijui kwanini tu anaandika ujinga ujinga.
 
Sasa wee bwana watu tunafyonza vinyeo vya warembo na bado hospitali hatuendi ndio unataka kututisha na kopo la maji la public 🤣🤣🤣🤣 wat none sense is this?!!
 
Jamii isiyokuwa na utamaduni wake au taratibu zake za maisha itaendelea kutawaliwa na kuwa ya hovyo siku zote. Waarabu utamaduni wao ni kutawaza kwa maji na kula kwa mikono bila vijiko. Kwa waarabu ni najisi au hairuhusiwi kutumia mkono wa kushoto kwa kula au kufanya baadhi ya vitu kwa sababu kwao ni dhambi.

Wazungu wao utaratibu au utamaduni wao ni kutawaza kwa toilet paper na kula kwa vijiko. Wao kila mkono ni sawa ndo maana wanaweza kutumia mkono wa kushoto wakati wa kula.

Nchi kama Uingereza ilikuwa ni kosa la jinai kuweka bomba la kutawazia kwenye kwenye choo kwa sababu wao kwa sehemu kubwa wanatumia vyoo vya kukaa na siyo vya kuchuchumaa.

Nashangaa mwandishi nguli umeshindwa kuelewa kwamba ili suala limekaa kiutamaduni zaidi na siyo kiusafi kama unavyosifia.

Kama kutawaza kwa maji ndo ungekuwa usafi basi jamii zinazotumia maji kutawaza zisingekuwa zinakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu ambacho mara kadhaa kimekuwa kikiathiri jamii nyingi za kitanzania.

Tunapaswa kujua kwamba jamii au nchi nyingi ukiacha za kiafrika wanatamaduni zao na taratibu zao tangu enzi hawajawahi kuwa watumwa wa tamaduni za wengine kama sisi watanzania.
 
ni critical thinking and argumentative ila kwa vile itaonekana umeipa credit usilam sisi tutaona umependelea. ispokuwa apart kwa wenzetu kusisitizwa matumiz ya maji na dini kabisa kwa maelekezo kabisa ila huu mchezo wa wazungu wa toilet paper ni mbaya sana. hausafish vizur na ukitaka kujua ni ishu we jaribu kujipiga doko mida mida halafu unuse. yote tisa kumi jewish ndio nimewavuliq kofia wao mwanamke akiwa kwenye hedh haruhusiw kulala ndan ya nyumba na ibada hafany ingawa kweny islam wameruhusu mwanamke kuacha matendo yote ya ibada akiwa kweny siku zake kama kusali na kufunga.atavifanya akiwa vizur badae hii ni kutokana na kuangalia maudh yanayoambatana na period like headache tumbo kuumq kiuno sometimes hasira .so maji ni kitakaso kikubwa sana ndio mana watu wanabatizwa kwa maji
 
Brother sifa ulizonipa ni kubwa kuliko Mimi.. Anyway asante sana .
Ni kawaida hata nabii huwa hajisifu ila wewe ni miongoni ma GT wachache wa ukweli humu jf.
hapa ishu si matumizi ya maji na TP kwenye vyoo baada ya kujisaidia (haha zote) je usahihi wa matumizi ukoje?
Issue sio matumizi ya maji na TP, the issue ni dini zote ni watoto wa baba mmoja na na wanatumia sheria moja ya Musa ambayo imeelekeza matumizi ya maji, nchi za Kiislamu zote wanatumia maji, nchi za Kikristo wanatumia TP only kwenye public toilets, why wakati inajulikana wazi usafi ni kwa maji tiririka, hizo tp zimetokea wapi?. Nchi za Kiislamu zina maji na tp, nchi za Kikristo zinashindwa nini kuweka maji na TP ili kuwa consderate kwa Waislamu na watu wenye preference ya kutumia maji?.
P
 
Hawatokuamini maana hawatembei sometime kule Zambia umekaa na mtu anatoa harufu
 
1)issue ya TP kwa wazungu ni UTAMADUNI wao ambao kwao wameona ni bora wauendeleze.
Statistically magonjwa yatokanayo na faeces faecal oral communicable diseases uchafu yapo zaidi kwa nchi nyingine ikiwemo africa,asia kiliko huko kwa western wazungu.Pamoja na kutumia TP.Wao wazungu hawajao tatizo kwa utamaduni wao,ila sio sheria.

2)Lakini sio mafundisho ya dini.Kama.ambavyo utamaduni wa wa afrika zamani walikuwa wanajisaidia vichakani wanaenda na jembe na majani ya miti.Kabla ya kuanza kutumia vyoo.
HOJA yako ilitakiwa iwe kwa vile airports za kimataifa zinahudumia watu kutoka mataifa mbalimbali wenye tamaduni mbali mbali.Ni vyema airports hizo zinge kuwa considerate kuweka both maji na tp kwa ku accomodate watu wote wa tamaduni zote tolerence.

3)DINI ???
TAHARUKI YOTE HII IMELETWA NA WEWE KUINGIZA DINI na kutaka kutuaminisha kuwa dini ya kikristo ina utamaduni au mafundisho au yanayohamasisha kutumia TP na kwa mantiki hiyo wakristo ni wachafu.Jambo ambalo sio kweli.DINI haikutakiwa kuhusishwa na tamaduni binafsi za jamii fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…