Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

Kiukweli mimi binafsi kuanzia mama yangu na ndugu zake wote ni waislamu ila upande wa baba wote ni wakristo,Ni hivi waislamu huwa wanafundishwa kwenye madrasa zao jinsi unavyotakiwa uwe kuanzia kuvaa,kuoga,kufanya biashara,kuishi na majirani nk.... ndipo hapa waislamu wanapodai kuwa uislamu ni mfumo wa maisha, kwasababu hayo yote si kwamba ni hisia za sheikh au ostadh hapana bali yameandikwa kwenye maandiko ambayo hayabadiliki,Uislamu ni ule ule na dua ni zilezile zilizokawepo tangu enzi za Mohammad na mpaka kiama kitasimama Quran wala sunna hazitabadilika,, Ila tukija upande wa ukristo ni kwamba kwanza biblia haijaeleza wala kuwekea mkazo kivipi tuwe wakati tunafanya ibada hali ambayo imepelekea kila mtu kujitungia anachoona kinamfaa,Kwasababu hata ukisoma biblia unaona kabisa Yesu alikuwa ananawa ndipo anafanya ibada na hata hiyo biblia inaeleza kuwa wana wa Israel walipokuwa wanaukaribia ule mlima wa Mungu agizo lilikuwa linatoka kuwa wawe wasafi ndipo waukaribie ùle mlima na usafi huwa unahusisha na matumizi ya maji
 
Wakristo kwanini mnakataa ukweli?
Waislam huo usafi mnaotuzid labda wa kwenda kutawaza mkijamba,ila vingne hakuna kitu,,,npo na lijamaa hapa lmevaa kanzu saaafi(lmetoka kuswali so na uhakika ni islam swaaafi) lmechokonoa pua na kutoa pande la kamasi mgando,likalirusha pembeni na kukamatia apple kisha kulimanga.........,,,usafi n mtu binafsi nyie viumbe hai.
 
Andiko la paskal limekupata mpaka unapaniki mkuu hahahah
 
?????? Amepaniki hahhhaha endelea kuwapanikisha hahahaha
 
Wiping is Wiping my dear, wengine tunatumia magunzi na majani huku (
Ukianza kuhusisha matendo, mawazo au utashi wako na mambo ya kiroho (iwe imani ya dini au za jadi) basi kila kitu hubadilika, kuanzia fikra, mate ndo, maneno na hata utashi wako. Ambaye mambo yake yanaelea hana msingi wa dini wala mila wiping is wiping heri mradi utashi wake unamwambia atoe au apunguze uchafu
 
Samahani mkuu. M.tu mzima umri wa kustaafu, unandikaje ujinga ? Mara nyingi unaandika makala ndefu zinazochosha kusoma zisizo na mantiki. Vijijini pasipo na maji wanatawazia nini. Na mjini penye maji tele wanatumiaje karatasi .
 
Wewe utakuwa na shida kama ukijisafisha unajitekenya, hakuna kitu bora kwenye usafi zaidi ya maji
 
Moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…