Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?


Kaka mkubwa kachemsha...

Wakristo wanatumia maji kutawadha...

Wanaotumia TP ni tabia tu za baadhi ya watu ambao kwenye makuzi yao wamelelewa hivyo kutokushika "kinyesi" wakati wa kuchamba
 
Huko jangwani waarabu hutawazia mchanga.
 
PASKALI HUWA SOMETIMES UNAANDIKA KUTAFUTA COMMENTS KWA WATU NA SIFA ZA KIJINGA. WAPI IMEANDIKWA WAKRISTO WAJISAFISHE KWA KARATASI?AU HIZI KARATASI ZIMEANZA MIAKA IPI? UWE UNATAFUTA HOJA ZENYE MASHIKO. MIMI NAWAFAHAMU WAKRISTO AMBAO HAWAJAH KUTUMIA ANY KARATASI.NIMEISHI NA WAISLAMU ,NIMEISHI NA WAKRISTO. NLIKUWA MUISLAMU. THREADS ZA KUTAKA KUONEKANA MWEMA KWA DINI AU DHEHEBU FLANI NI KUONESHA UMEISHIWA. BIBLIA HAIJAZUNGUMZIA NAMNA YA KUJISAFISHA. NI ISSUE NDOGO SANA.AMBAZO MAFARISAYO WALIZITUMIA KUWAHUKUMU WATU. WAKAWA WANAFANYA UNAFIKI KUSAFISHA KIKOMBE KWA NJE NA HALI NDANI KUNA UVUNDO. BUT KUSAFISHA SEHEMU YA KUTOLEA HAJA HAIWEZI IKAWA ISSUE KWA MATURED
 
Unakataa nini sasa! Hamtaki kuambiwa ukweli.
 
Aisee! Na wao wanakuwepo huko chooni Wakati unajisaidia!? Wamejuaje unajiosha na maji!?
 
sasa wale wadada wenye kucha ndefuuuuuuuu mkono wa kulia na wa kushoto uwa wanafanyaje wanajiswafi au wanajifuta?
 
shida watu hawawezi kujadili kwa kutumia akili ya kawaida baadala yake fikra zao zinavutwa na fikra za kidini, matokeo wanashindwa kupata majibu sahihi.

Umetoka kujisaidia haja kubwa, Una maji Vs toilet paper, akili yako inakwambia kipi sahihi kitakachokuacha msafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…