Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

1)Lengo la mtoa mada ni kusifia dini ya utawala uliopo kama yule aliyemsfia mtawala aliyepita mwendazake kiasi cha kumfananisha na Yesu.
2)Kusifia kusifia yani uchawa kama yule aliyesema akifa azikwe ki islamu.
Lengo ni kusifia sifia malengo ya KISIASA kwa malengo ya kupata manufaa fulani ya kisiasa.
3?
Ila sio kwamba mtoa mada hana akili timamu au hajui ukweli wa hali halisi au kwamba yeye anatumia makaratasi badala ya maji au acount ime hakiwa ,
lah hasha, ndio aina ya siasa iliyofanyika hapa.
 
Lakini,ukiangalia mada ilivyo,mletaji ameamua kuchokoza ili tufunguke.Pascal hizi siku mbili tatu anatupeleka mbio sana kwa kutuangalia huku anacheka na kututupia mjadala chokonozi ili tuhangaike nao ilhali yeye anapita ku-like yako.
 
Usafi wa mwili ni tabia ya mtu. Na hujengwa ktk familia. Kuna makabila yanajali usafi na kuna wengine ni wachafu tu kwa asili haijalishi dini. Hata hivyo wenzetu waislamu wapo kimwili zaidi hawajui njia ya kiroho ya kumuona Mungu wanajaribu kutawadhatawadha wakidhani usafi wa mwili utawafanya wapate uzima. Bila kuoshwa kwa damu ya Yesu Kristo sahau kumwona Mungu. Na huo ndio ukweli mengine yote ni kujifariji tu.
 
Hili halikuwa swali bali kebehi coz umeuliza kama mtu anaeamini alichouliza kipo hivyo,

Kwa akili za kawaida tu mtu makini hawezi kuuliza kitu kama hiki tena akitaka na ufafanuzi,lugha laini uliyotumia hapo hukuitumia pale juu post yako ya mwanzo.
 
Ungesema tu maji ni bora katika usafi wa mwili kuliko karatasi ingetosha kisha kwenye mifano huko ndo ungesifu mafundisho ya uislamu juu ya swala hilo

Sasa hilo la kusema wakristo na makaratasi sidhani kama lina afya sana maana siyo kwamba wakristo wote hawatumii maji wala siyo kwamba hakuna muislamu asiyetumia karatasi na wala siyo kwamba wote wanaotumia makaratasi huku wakiyaepuka maji basi ndo ukristo umewafunza hivyo!
 
JamiiForums mrudishieni pasco account yake!! Huyu anayeitumia anavuta bangi
Kwani hiy id ime hack wa!?? mbona uandishi ni yeye kbs kwan kimemkuta kp???
Wakuu Pipa na Robo, mr pipa & Robot la Matope , huyu ni mimi mwenyewe, kama hujawahi kusafiri nje ya Tanzania ukapita airports za nchi za Kiislamu na Airports za nchi za Kikristo, hamtanielewa nasema nini!.
Just imagine una tumbo la kuendesha, umeshikwa kweli kweli, kisha unaingia tuu washroom ni waaaa..., unakuta hakuna maji!, only TP!.
P
 
Mafundisho matukufu ya dini yetu ni kustanji ( kujisafisha baada ya kujisaidia ) kwa kutumia mkono wa kushoto, kula na kusalimia watu tunatumia mkono wa kulia. Kila mkono una kazi yake na kazi za mkono wa kushoto hazifanyi na mkono wa kulia na kazi za mkono wa kulia hazifanywi na mkono wa kushoto.
Halafu hata hao wanaojifuta kwa makaratasi Bado wanapeleka mikono yao matakoni ndiyo maana wanasisitiza kunawa mikono baada ya kutoka chooni.
Kwa hiyo kama hutaki kusalimia watu wanaojisafisha baada ya kujisaidia hutapata mtu wa kusalimia.
 
Lakini,ukiangalia mada ilivyo,mletaji ameamua kuchokoza ili tufunguke.Pascal hizi siku mbili tatu anatupeleka mbio sana kwa kutuangalia huku anacheka na kututupia mjadala chokonozi ili tuhangaike nao ilhali yeye anapita ku-like yako.
Bora angekua na hoja kuwa huko Gaza, wakati watu au ndugu zetu wakiwa wanatawadha kwa ajili ya swala Myahudi anawapiga mabomu na kuwaua. Nini kifanyike kuzuia Myahudi kuangamiza Wapalestina. Hapo tungesema Mayala kama Mayala kaleta hoja chechemuzi.
 
Thanks, very objective, hapa nimesema dini zote mbili zinatumia sheria ya Musa, imeelekeza kujiswafi kwa maji!. Airport ya Paris, London, Amsterdam, US zote ni TP only, mbona zile za maji ni simple ,better heathier na more sanitaric?.
p
 
Hivi ba 1)Hivi bado kuna nchi/air port za dini moja tu..
2)Kwamba vyoo vinatumiwa na watu wa dini moja tu.
3)Kwamba kuna elimu ya dini au elimu ya nchi inafundisha watu kutotumia maji.
4)Kwamba watu wa dini moja ni wachafu na watu wa dini nyingine ni wasafi.
BADO TUNAJADILI DINI,MAKABILA...
HOJA yako kama ulilenga kuelimisha jamii yetu yenye dini mbalimbali kuhusu USAFI WA MWILI NA AFYA ungejikita kwenye hoja,bila kuingiza DINI ,umeonyesha BIAS na kuleta taharuki na kuwagawa watu kwa misingi ya DINI zao badala ya kuwaunganisha,watu wanaanza kukashifiana dini zao kutukanana dini zao,kubezana ,kutwezana utu wao
****ulikuwepo uwezekano wa kutoa hoja yako au hiyo ELIMU ya usafi na maji bila kuwagawa watu kwa misingi ya DINI.
 
Duh...!, unaamini mimi ni chawa wa mama!, na hili ni bandiko la kichawa?.
P
 
Asante sana kwa kuliona hili.
Mimi nimetoa mfano wa kile nilichokikuta uwanja wa ndege wa Addis Ababa Ethiopia. Maji wameyaweka nje ya choo ili mtu akitoka chooni anawe mikono yake lakini huko chooni kwenyewe wameweka matoiletpaper matupu.
Ni kweli asili ya kujisafisha kwa maji baada ya kujisaidia imetoka kwa waislamu wanafunzi wa mtume Muhammad
صلى الله عليه وآله وسلم.
 
Kosa langu kubwa jf ni kusema ukweli no matter what. Kitu gani kinafanya Airports za nchi za Kiislamu zina maji, za nchi za Kikristo hazina?.
P
 
Wewe ni mtu mkweli sana.
Karibu katika uislamu dini ya USAFI na ukweli.
 
Sijasoma ulichoandika zaidi ya kichwa cha habari, ila siku hizi inaonyesha something somewhere not right
 
Kuna Wakristo hawataki kusikia kitu chochote kizuri kuhusu Uislamu, hadi Bible kuna sehemu wazungu wamesema uongo, nikauliza humu Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…