BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
You could be true, ila pia, on the other way it could be you! Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?Sijasoma ulichoandika zaidi ya kichwa cha habari, ila siku hizi inaonyesha something somewhere not right
Kosa langu kubwa jf ni kusema ukweli no matter what. Kitu gani kinafanya Airports za nchi za Kiislamu zina maji, za nchi za Kikristo hazina?.
P
[/QUOT
Nauliza kuna airports zinazotumiwa na watu wa dini moja tu.Ndio mana kuna watu waliamini KIARABU ni lugha ya dini moja .Kwa hiyo kiarabu ni kislamu na kiingereza ni kikristo.
Huko ulaya maji yamejaa tele ila wazungu na wafuasi wao hawana muda wa kutumia maji.Samahani mkuu. M.tu mzima umri wa kustaafu, unandikaje ujinga ? Mara nyingi unaandika makala ndefu zinazochosha kusoma zisizo na mantiki. Vijijini pasipo na maji wanatawazia nini. Na mjini penye maji tele wanatumiaje karatasi .
Sisi waislamu tumefundishwa misikitini namna ya kujisafisha baada ya kujisaidia.Hii heading ina matusi na ujinga mwingi sana, Huko ndani sijasoma ila nina swali.
Suala la kujitawaza nalo unataka likae kidini au unasubir ufundishwe Msikitini/kanisani ?
Kuna nchi zenye waislamu wengi na nchi nyingine Wakristo ndio wengi.Kwamba kuna airports za kikristo tu na vyoo vya wakristo tu na nchi ya wakristo tupu na vice versa kwa waislamu wana airports zao,nchi yao,vyoo vyao.
Kwamba tafiti yako ikaonyesha kuwa wakristo pekee ni wachafu na waislamu pekee ni wasafi.GREATEST THINKER hongera sana.
Hapa tuko pamoja mkuu 🤝. Jamaa amenishangaza sana.Mimi nimefunzwa na mama yangu nikiwa mdogo leo nyumbani wanangu wakiwa aged four wanaanza kufundishwa namna ya kujisafisha wenyewe lakini mtu mzima anashangaa leo kama jamii fulani nayo inatumia maji,hovyo kabisa!
Mtoa mada amesema nchi za kikristo wanaweka makaratasi tu hawaweki maji na hiyo ni kweli mimi mwenyewe nimeshudia, inatubidi tuingie na chupa zamaji, maji wameka nje kwa ajili ya kunawa mikono.Kwamba kuna elimu ya dini au elimu ya nchi inafundisha watu kutotumia maji.
Tusije kufukia "biashara ya TP itathiminiwe ikiwezekana ipigwe marufuku"Albert Chalamila analizungumziaje hili
Muislamu anayetambua na kukubali mafunzo matukufu ya dini yake hawezi kufuga mikucha hiyo mirefu ya kishetani.sasa wale wadada wenye kucha ndefuuuuuuuu mkono wa kulia na wa kushoto uwa wanafanyaje wanajiswafi au wanajifuta?
Hapa unahamisha magoli kwa maksudi, sidhani kama bandiko hukulielewa.PASKALI I never thought ungekuja na mada ya namma hii.. Well pengine ni aina yako ya uandishi lakini kwa mtazamo wangu utafiti wako una walakini mkubwa
Mimi ni mtembezi sana na nakutana na watu wao kaliba zote.. Wa hali za juu
Was hali za kati
Wa hali za kishua
Wa hali za kawaida
Wa hali za chini
Wa kabila mbali mbali
Wa imani tofauti
Wa mataifa tofauti na mbali mbali
Ishu ya usafi ni swala la binafsi sana lisilohusiana kabisa na dini
Matumizi ya maji kwenye dini kwa ajili ya kujitakasa na kujiswafi ni tofauti kabisa na ulichoandika hapa
Nimeshakutana na watu wengi sana ni wasafi sana wa mwili kiasi kwamba hata akikojoa anajitawadha.. Lakini haohao
Wamefuga minywele ya aina zote
Wana magaga
Hawaogi mwili mzima
Sehemu wanazoishi ni majanga kwa uchafu
Sehemu wanazolala acha tu
Vyoo vyao nknk
Watanzania wengi wanatawaza kwa mikono chooni lakini hawatumii sabuni kunawa mikono baada ya kutoka chooni au wakati wa kunawa kabla ya kula, hii ni mbaya zaidi.Mleta mada atanangwa ila kasema ukweli, jamii zilizotawaliwa na ukristo kwenye swala la kujiswafi kuna walakini. Tz kuna afadhali sababu ukristo na uislam upo karibia 50/50 na tumeamua kuchanganya tamaduni za kiislam na kikristo.
Ukitaka ulitambue hili nenda kwa nchi kama Zambia, Malawi, Eswatini, Ghana, Zimbabwe etc ambao kwa %kubwa walitawaliwa na wazungu, utalibaini hili kwa kiwango kikubwa sana. Wale jamaa wanatembea na uchafu makalioni...truth be told.