Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja

Soma yohana 14:16___yesu ametaja ujio wa mtume muhamadi(SWA)__na ya kwamba atakuwa mtume wa ulimwengu, na yeye yesu alikuja kwa wana wa israiel tu,
 
Hata wewe usipotoshe firauni na mtume Muhammad (SAW) wapi na wapi? Firauni ni wa enzi za nabii Mussa (moses) (AS)
 
Hata wewe usipotoshe firauni na mtume Muhammad (SAW) wapi na wapi? Firauni ni wa enzi za nabii Mussa (moses) (AS)
Elewa kuwa Firaun ni neno la kiarabu lenye maana sawa na Pharaoh au mfalme wa Tawala ya Misri. Mtume Muhammad alikuta mtawala eneo lote la Misri na Levant,lakini hakuwa na asili ya watu wa Misri,alikuwa anaitwa Emperor Heraclius wa Byzantine Roman empire.Watu wa misri walimwita Heraclius mfalme wao wa Misri.
Battle of Mu'tah - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Upo nje ya mada km unataka kuleta habari ya ipi ni dini ya kweli nenda jukwaa la dini huko
 
wakenya hawakawii kuja kusema alikua mkenya......... nyambafff
 
Mafarao wote walikuwa watu weusi, Waafrika, ikiwa ni pamoja na Wamisri wa kale, ambao hawakuwa Waarabu. Wazungu wamepotosha historia.
 
wherever their origin was, they are a past tense now
 
Hii mada itanoga wakija wataalam wake
CC: Khaatan, faiza foxy , Ritz
 
Hata wewe usipotoshe firauni na mtume Muhammad (SAW) wapi na wapi? Firauni ni wa enzi za nabii Mussa (moses) (AS)

The Prophet (saws) is reported to have said in another narration that ....“every Messenger has a Firaun and the Firaun of my ummah is Abu Jahl''

Hii ni hadith inayomhusu Nabii Muhammad. Elewa matumizi ya neno Firaun ...ni pana sana katika ''Hadith''
islampolicy: The Day of Ashura – In Commemoration of Musa and his Struggle with Firaun!
 
Sawa mkuu in that perspective nina compromise if at all the prophet saying referred Abu Jahl as firaun in comparison to that of Moses (AS) and all other firaun down the history lane in disobeying the teachings of the prophets/or ruling themselves as god in their empire/Kingdom
 
Stay tuned..
 
Somo lako linasisimua mwili ndugu yangu teh teh,
 
Si wamisri tu hata wayahudi walikuwa ni Blacks

Jamii zote za wanadamu asili yake ni Afrika

Cha kusikitisha,huu ukweli haujulikani kwa watu wengi
 
Si wamisri tu hata wayahudi walikuwa ni Blacks

Jamii zote za wanadamu asili yake ni Afrika

Cha kusikitisha,huu ukweli haujulikani kwa watu wengi
Hoja yako ina utata, ni wapi mchina na mchina wakamzaa black au black na black wakamzaa mzungu,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…