Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Nashindwa kuelewa Inca civilisation na Egyptians pharaoh wana uhusiano gani? Maana vitu karibu vyote walivyokuwa wanafanya vinafanana kabisa.

Ukiangalia wako mbali mbali sana,, Pharaoh- Egypt na Inca ni Peru. Bado natafuta jibu
 
It is true..Inca nao wana pyramids. lakini INCA si ya zamani kama Olmec, ambao walijenga pyramid moja kabla ya kutoweka.
92822942.jpg

The Difference Between The Aztec, Maya, Inca, And Olmec
 
Tena maajabu mpaka wanavyo andaa maiti, hata wanavyo darizi milango na kuta zilivyotengenezwa na mapambo yote nimeshangaa kwa kweli.

Asante kwa hilo ngoja nichimbe zaidi kuwajua hawa watu na maajabu yao
Kwa hiyo stori za wazungu kwamba Christoper Columbus au Amerigo Vespucci ndio waliolivumbua bara la Amerika ni uongo mtupu. .na waOlmec inasemekana wana asili ya Afrika.
''The Olmecs established themselves around 1400 B.C. and lasted about 1,000 years, occupying a reasonably large amount of land. They were good farmers, artists, mathematicians, and astronomers. They wrote in hieroglyphics, as did most of the cultures that followed them. They never built any major cities that we know of, but they did leave one pyramid behind before they gradually disappeared. Their most famous legacy is the mystery of the Olmec heads: 3-meter (9 ft) tall heads resembling African warriors made from stone found over 130 kilometers (80 mi) away.''
 
Kwa hiyo stori za wazungu kwamba Christoper Columbus au Amerigo Vespucci ndio walioivumbua bara la Amerika ni uongo mtupu.
1450 sio mbali ukifananisha na hawa jamaa.

Columbus alikuwa ni explorer mtaliani na uvumbuzi ndio ulikuja kuwa trade routes kwa watu kutafuta maisha
 
Kabla yake kulikuwa na voyage ilitokea mali empire ikapelekwa na upepo wasijue pakutokea wakaishia marekani na ndio walihusika kusambaza hizo culture za inca.

Na usa hupenda kuwaita african america ila ukweli kulishakuwa na native americans before columbus.
 
1450 sio mbali ukifananisha na hawa jamaa.

Columbus alikuwa ni explorer mtaliani na uvumbuzi ndio ulikuja kuwa trade routes kwa watu kutafuta maisha
''The Olmecs established themselves around 1400 B.C. and lasted about 1,000 years, occupying a reasonably large amount of land. They were good farmers, artists, mathematicians, and astronomers. They wrote in hieroglyphics, as did most of the cultures that followed them.''

Columbus alikuwa pirate.ila wazungu wanampa sifa na kumuita ''explorer''. Ukisoma stori zake na jinsi alivyoua wahindi wenye asili ya Amerika utagundua kuwa alikuwa jambazi na haramia.
 
''The Olmecs established themselves around 1400 B.C. and lasted about 1,000 years, occupying a reasonably large amount of land. They were good farmers, artists, mathematicians, and astronomers. They wrote in hieroglyphics, as did most of the cultures that followed them.''

Columbus alikuwa pirate.ila wazungu wanampa sifa ya kumuita ''explorer''. Ukisoma stori zake na jinsi alivyoua wahindi wenye asili ya Amerika utagundua kuwa alikuwa jambazi na haramia.
Ni kweli mkuu hilo ndio linamfaa zaidi "pirates" na sio vingine, wazungu wanajua kueneza mambo na kujifanya wao ndio wamevumbua kila kitu.

Wahaya waliyeyusha chuma miaka 1400 kabla ya mzungu lakini huoni wanasifia au tuseme hata sisi hatujisifii oops watani jirani wasinisikie.
 
Malcolm aliwashambulia zaidi wazungu akasahau kuwashambulia waarabu waliosababisha kutokomea kwa watu weusi Egypt.
kwa maoni yangu waarabu ndio wabebe lawama zote za matatizo
Adui no 1 wa mtu mweusi ni mwarabu...
 
Adui No 1 wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe..kwa kukubali na kuabudu watu na miungu isiyo yetu.
Chanzo ni Mwarabu, bila ya mwarabu sisi tusingeweza pata laana wakati wa Firauni na Mussa, yule Filauni wa Mwisho alikuwa tayari anamchanganyiko wa mtu mweusi na wale waarabu waliokuwa wanaenda kumisri kwa ajili ya kushangaa jiji na kutafuta kazi misri, hao walichangia damu na wamisri, hilo ndilo lilikuja kusababisha yule filauni wa mwisho kuwa na uhasama na israel sababu waarabu na waisrael ni maadui wa asili
 
JINA KAMILI LA FIRAUNI NI NANI?
AU FIRAUNI NDO JINA LAKE KAMILI?
JINA LA BABA YAKE FIRAUNI ANAITWA NANI?
NAWASILISHA KWENU WANAJAMII FORUM INTELLIGENCE
 
M
Nashindwa kuelewa Inca civilisation na Egyptians pharaoh wana uhusiano gani? Maana vitu karibu vyote walivyokuwa wanafanya vinafanana kabisa.

Ukiangalia wako mbali mbali sana,, Pharaoh- Egypt na Inca ni Peru. Bado natafuta jibu[/QUOTE

Mkuu sio Inca unaosemea ini Aztecs hao ndio wana pyramids wa inca wapo peru na Aztecs wapo Mexico
 
Back
Top Bottom