Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Mtatokwa Povu Jingi, Dunia Inajua Farao Kwao Misiri Na Wamisiri Ndio Wanakula Hela Yautalii Wa Farao, Sisi Wagomvi Wetu Ni Wakenya Wanaotaka Kutunyang'anya Vyetu, Mpaka Baba Tiffa Wanadai Ni Mwanamuziki Wao
 
Mm babu {mdogo}yangu alikwishafariki. Alienda Burma kupigana vita ya waingeteza na jerumani. Aliwahi kunieleza kuwa ukoo wetu ulitkea misri. sikulichukulia jambo hili maanani sana kwani pia hakuwa msomi. hii habari inanizundua kidogo kwamba alichosema huyo babu alikipata wapi. alinieleza nilipokuwa nimetoka jando na nilikuwa na umri wa miaka 17na sada ni miaka zaidi ya 40
 
Mtatokwa Povu Jingi, Dunia Inajua Farao Kwao Misiri Na Wamisiri Ndio Wanakula Hela Yautalii Wa Farao, Sisi Wagomvi Wetu Ni Wakenya Wanaotaka Kutunyang'anya Vyetu, Mpaka Baba Tiffa Wanadai Ni Mwanamuziki Wao
Ila hili suala la wakenya ni lazima lishughulikiwe kikamilifu..wakenya wana tamaa isiyo mithilika.
 
Nilipokuwa chuo Kikuu mahali fulani miaka ya 90 nilisoma kitabu cha Abakuria cha Chacha Nyigoti Chacha akieleza kutokana na utafiti kuwa asili ya Wakuria ni Misiri yaani Misri.
 
Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
Si elezi kwa ushabiki wowote ila kwa kuweka kumbukumbu vizuri tu ilikuwa ni baada ya miaka 600 na ushee.
 
Eti unasema mtume Muhammad alikuja miaka 500 baada ya Yesu kristo?
Hakika kweli nimeamini ukristo ndio dini ya kweli hao wengine ni taasisi za ujanja ujanja
Mi nasema zote ni ujanja ujanja..
 
Nilipokuwa chuo Kikuu mahali fulani miaka ya 90 nilisoma kitabu cha Abakuria cha Chacha Nyigoti Chacha akieleza kutokana na utafiti kuwa asili ya Wakuria ni Misiri yaani Misri.
Asilimia kubwa ya makabila ya Tanzania ni wahamiaji ambapo kundi kubwa na lililo kuja kugawanyika baadae lilijumuisha makabila ya kaskazini Kama Wazigua,Wasambaa,Wabondei,Wameru,Wapare,Wachaga wa old moshi,Warangi na Wakwere, na kuna walio baki Kenya ambao ni Wataita na Wakamba yasemekana kundi hili lilitokea Ethiopia.
 
Inabidi ufahamu kuwa hakuna ushahidi wowote wa kiakiolojia (archeological evidences) kuwa wayahudi (esraelites) waliwahi kuishi misri let alone kuwa enslaved.. So hizo habari za kwenye Bible ni za kutunga kama zilivyo habari nyengine zinazopatikana humo..
 
Wanajulikana kama Wanubi ndio walio kuwa wapambe wa Wafalme wa Misri.
 
Mafarao walikuwa ni wengi ila wanao tajwa ni wachache kutokana na nguvu zao,na utajiri walio kuwa nao miaka hiyo na sio wote walio mudu kujenga mapiramid.
 
AKINA PHARAOH NI WATAWALA WA MISRI WA ZAMANI ZAIDI YA MIAKA 1500 KABLA YA YESU. WALIKUWA WEUSI.... USIDANGANYWE NA MTU. WAARABU WALIKUJA KUWAPUSH BLACK PEOPLE SOUTH
So Waarabu wa Misri walitoka Oman au Saudia kuja kuwa push down black! Ina make sense lakini....
 
Upo ushahidi wa maandishi katika Sinai yanayoaminika ni ya wa-hebrew
iii. Ancient Hebrew Inscriptions Have Been Found In - But Aren't From - Egypt
Sina hakika kama ugunduzi huu hauna dosari za ''influence'' za wa Zionist.
 
Si wamisri tu hata wayahudi walikuwa ni Blacks

Jamii zote za wanadamu asili yake ni Afrika

Cha kusikitisha,huu ukweli haujulikani kwa watu wengi
Inakuwaje sasa duniani watu weupe wengi kuzidi weusi? Ina maana blacks tumepunguza kugegedana miaka hii yakaribuni?
 
Upo ushahidi wa maandishi katika Sinai yanayoaminika ni ya wa-hebrew
iii. Ancient Hebrew Inscriptions Have Been Found In - But Aren't From - Egypt
Sina hakika kama ugunduzi huu hauna dosari za ''influence'' za wa Zionist.
Hapo tu pameandikwa kabisa kuwa ancient Hebrew inscriptions found in Sinai but are not from Egypt so hiyo ndio evidence ya uwepo wa eslirites ?

Upo ushahidi wa maandishi katika Sinai yanayoaminika ni ya wa-hebrew
iii. Ancient Hebrew Inscriptions Have Been Found In - But Aren't From - Egypt
Sina hakika kama ugunduzi huu hauna dosari za ''influence'' za wa Zionist.

Angalia humu ndio utakaponielewa..
https://en.m.wikipedia.org/wikiThe_Exodus#Archaeology
 
Malcolm aliwashambulia zaidi wazungu akasahau kuwashambulia waarabu waliosababisha kutokomea kwa watu weusi Egypt.
kwa maoni yangu waarabu ndio wabebe lawama zote za matatizo
 
Malcolm aliwashambulia zaidi wazungu akasahau kuwashambulia waarabu waliosababisha kutokomea kwa watu weusi Egypt.
kwa maoni yangu waarabu ndio wabebe lawama zote za matatizo
Malcolm anachoeleza hapa ni jitihada za wazungu kuupotosha ukweli kwamba Egypt na pyramids havikujengwa na watu weusi.lakini uchunguzi wa DNA unawagomea.
Soma link hii
Forensic analysis of King Tut and his relatives
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…