Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Correction. anaitwa BENJAMIN BANNEKER
 
Ila wazungu wanautan.... Eti tunafundishwa darasan mpakA na michoro waafrika tulikua ni nyan...! Kama hizi histia zipo ni kwanin zisiandikwe na ziingizwe kwenye Mtaa Wa history watoto wawe wanajifunza ukweli badala ya ujinga...
Ni vizuri kwamba tuna Waziri mwenye upeo..Mama Ndalichako. inabidi wanafunzi waanze kufundishwa historia sahihi..sio propaganda na uongo wa watu weupe.
 
Karibuni wapi....!?
Ni dini mpya..ukiilinganisha na Hindu,Budha na Judaism zenye miaka zaidi ya 3000..Uislam una miaka 500 toka uanzishwe...baada ya ujio wa Yesu.
 
Umeiva safi sana...
 
YESU NI KRISTO, NA WAKRISTO NI WALE WANAOFUATA MAFUNDISHO YA KRISTO, UKRISTO SI DINI.
 
YESU NI KRISTO, NA WAKRISTO NI WALE WANAOFUATA MAFUNDISHO YA KRISTO, UKRISTO SI DINI.


“Then charged he his disciples that they

should tell no man that he was Jesus the

Christ.” (Matthew 16:20)
 
Nitajie wapi katika biblia alipojitaja kuwa yeye ni kristo.

Jesus is the Christ as is claimed in the New Testament.

  • "Now the birth of Jesus Christ was as follows: when His mother Mary had been betrothed to Joseph, before they came together she was found to be with child by the Holy Spirit," (Matthew 1:18).
  • Simon Peter answered, “You are the Christ, the Son of the living God.” 17 And Jesus said to him, “Blessed are you, Simon Barjona, because flesh and blood did not reveal this to you, but My Father who is in heaven," (Matthew 16:16-17).
  • "But He kept silent and did not answer. Again the high priest was questioning Him, and saying to Him, “Are You the Christ, the Son of the Blessed One?” 62 And Jesus said, “I am; and you shall see THE SON OF MAN SITTING AT THE RIGHT HAND OF POWER, and COMING WITH THE CLOUDS OF HEAVEN," (Mark 14:61-62). Quoted from Psalm 110:1 and Daniel 7:3.
  • "But Saul kept increasing in strength and confounding the Jews who lived at Damascus by proving that this Jesus is the Christ," (Acts 9:22).
ALSO:

1. In Luke 4:18-19, Jesus quoted from Isaiah 61:1-2 and said, "The Spirit of the Lord is on me, because he has anointed me to preach good news to the poor. He has sent me to proclaim freedom for the prisoners and recovery of sight for the blind, to release the oppressed, to proclaim the year of the Lord's favor," (NIV).

2.The word, "Christ," means anointed. It comes from the Greek Χριστός, cristos, and is a translation of the Hebrew word for Messiah, מָשִׁיחַ, meshiyach, which means anointed. "He found first his own brother Simon and said to him, 'We have found the Messiah' (which translated means Christ),'" (John 1:41).
 
Who wrote the bible..!?
 
Si wamisri tu hata wayahudi walikuwa ni Blacks

Jamii zote za wanadamu asili yake ni Afrika

Cha kusikitisha,huu ukweli haujulikani kwa watu wengi
Huo ndio Ukweli, hao watu weupe walitengenezwa tu kwenye mahabara za hao blacks, na walitengenezwa kuwa wafanyakazi wa hao blacks
 

Ni kweli baadae Wagiriki na Wareno walionekana wako vizuri, lakini Elimu yote waliyokiwa nayo waliipata Africa, ilifikia kipindi mpaka wafalme wao ilibidi waje Africa "Egypt" ( Mfano: Mtume Jackob, Alexander the Great, Jesus nk),
kulikuwa na vitu vya kisayanzi hapo Misri ambavyo hao wazungu na Waarabu hawakuwahi kuviona kabla, Kilimo cha umwagiliaji cha kisasa, Umeme, tiba za kisasa-Operesheni, jinsi ya kuhifadhi Vyakula, kuifadhi Maiti, chariots za farasi nk

Je hao wazungu walikubali uwezo wa mtu mweusi?
Ndio waliukubali uwezo wa mtu mweusi, baada ya hao wagiriki na Wareno kuona maajabu ya hapo Misri, Ufalme wa Ureno uliamua kuoa binti mweusi awe miongoni mwa royal Family ya Kireno ya ili wapate damu ya hao watu weusi kwenye royal family zao, wakiamini uwezo wao,

hope sifa za hao black ndani ya royal family za kireno ilikuwa ya kutukuka kwa muda mrefu mpaka kipindi cha baada ya hao mapharaoh kaisi kwamba Royal Family ya German pia wakaja kuchua damu hapo kwenye royal family ya Kireno ya Margarita de Castro y Souza na mwisho kabisa England nao wakachukua damu yaa black kutoka kwenye hiyo royal family ya Kijerumani, so england walishawahi kuwa na black queen (Queen Charlotte) aliyekuwa mke wa King George III,

Hiyo Damu nyeusi kwenye royal family za Ujerumani na Uingereza ziko recent kiasi fulani, lakini kwa hao Wareno na Wagiriki zilikuwa ni za muda mrefu sana, kipindi hicho cha Mapharaoh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…