Je, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?

Great insight. Historia ya Africa bado inafichwa sana. Sababu kuu ni ubaguzi na kutoamini kuwa maendeleo ya kisayansi yalianzia Afrika.
 
Historia ya Yesu ni Copy and Paste ya Isis na Horus Wa misri.....
 
Lakini bible sikumbuki mwanzo ngapi inamzungumzia mtu anayeitwa Misri sijui ndo hii misri ya leo au?
 
Ok. Yawezekana ni kweli. Swali, kilienda wapi kizazi hiki chenye akili hata kuwaacha majinga ya bara ulaya kuja kutawala na kupotosha ukweli. Hawa wenye akili hivi kwa nin hawakuandika ukweli huo tuusome leo?
 
sijui hiki kizani kingekwepo hadi Leo afrika ingekuaje
 
we unashangaa Farao wakati Adamu tu mwenyewe wa kwetu pia!
 
Historia inajirudia....na sasa tunae Princess MEGHAN MARKLE.......
 
Historia inajirudia....na sasa tunae Princess MEGHAN MARKLE.......

Kweli kabisa kaka, Waingereza wengi na labda tuseme Duniani hawafahamau kuwa damu nyeusi kwenye ufalme wao sio ngeni, maana hata huyo Queen wa Sasa amechanganya Damu
 
Ok. Yawezekana ni kweli. Swali, kilienda wapi kizazi hiki chenye akili hata kuwaacha majinga ya bara ulaya kuja kutawala na kupotosha ukweli. Hawa wenye akili hivi kwa nin hawakuandika ukweli huo tuusome leo?
ni kawaida kupotea , huoni wamasai na changa zao. Jiulize kule south america
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…