ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hatufanani wengine tumekula munyuHaiwezekani kabsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatufanani wengine tumekula munyuHaiwezekani kabsa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikupe taarifa, tangu nimeanza shule toka vidudu hadi leo hii, naelekea finalist.Najua ....una makasiriko. sup zinakusubiri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣,Umemaliza mkuu!Mmesahau mtoa mada sio Sunday Manara wala Jakaya Kikwete,
Kwa utopolo hii hiiMkuu....sisi ligue hatuna shida nayo
Tukutane fainali ya CAF champions Kama nyie wanaume
Hapana mkuu......hiyo ni normal kwa wapenda soka......hata Mimi nikikosa kazi ya kufanya .......huwa naenda kuangalia mechi za MAKOLOBora huyo anaomba video za mayele ila nabi mechi zote simba alizocheza taifa kwenye league kuu na azam sports federation alikuwepo uwanjani akiwaangalia soka safi la wana lunyasi.
Na huku Kuna kidume kinajikunja.....kukufanyia assignment[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikupe taarifa, tangu nimeanza shule toka vidudu hadi leo hii, naelekea finalist.
Sijawahi kufail, wala kurudia pepa, habari uwe nayo.
Kwa kifupi tyuuh sijawahi kuwa kilaza!!!! Poleeeeeeeh kaka km sup ndo utaratibu wako, hizo sio shida zangu.
Weraaaaaaaaaah!!!!! Byuti byuti.
Huo ni moto wa kifuuKwa yanga hi hii iliyomuogopesha pitso......Hadi amekuja kuishudia
Iliyowadaisha LaLiga Santander
Bingwa mara 4 labda akhera ya buzaIla hyo timu ( kolo) itawafanya muwahi ahera madukani.......kwa presha
Labda CUF kule buguruniTukutane fainali ya CAF champions league kama nyie wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana weee, Mzumbe ningekuja kusoma faculty gan? Labda nikukaribishe wee ungekuja UDSM.Na huku Kuna kidume kinajikunja.....kukufanyia assignment
I wish ungekuja mzumbe ....[emoji23][emoji23]
But cio mbaya ....uki graduate njoo hapa GSM (yanga)...inaonekana ww ni potential employee
Kweli hapo umeona kuna graduate?Au kwa sababu hata darasa la saba (LY) huwa wana graduation?Kama hawa ndio aina ya graduates tunaowatengeneza, taifa lina kazi kubwa sana.
Our graduates are half-backed.