Je, wajua Mayele ni sawa na kikosi kizima cha Simba?

Bora huyo anaomba video za mayele ila nabi mechi zote simba alizocheza taifa kwenye league kuu na azam sports federation alikuwepo uwanjani akiwaangalia soka safi la wana lunyasi.
 
Screenshot_20220715-122908.jpg
 
Najua ....una makasiriko. sup zinakusubiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikupe taarifa, tangu nimeanza shule toka vidudu hadi leo hii, naelekea finalist.

Sijawahi kufail, wala kurudia pepa, habari uwe nayo.
Kwa kifupi tyuuh sijawahi kuwa kilaza!!!! Poleeeeeeeh kaka km sup ndo utaratibu wako, hizo sio shida zangu.

Weraaaaaaaaaah!!!!! Byuti byuti.
 
Bora huyo anaomba video za mayele ila nabi mechi zote simba alizocheza taifa kwenye league kuu na azam sports federation alikuwepo uwanjani akiwaangalia soka safi la wana lunyasi.
Hapana mkuu......hiyo ni normal kwa wapenda soka......hata Mimi nikikosa kazi ya kufanya .......huwa naenda kuangalia mechi za MAKOLO
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikupe taarifa, tangu nimeanza shule toka vidudu hadi leo hii, naelekea finalist.

Sijawahi kufail, wala kurudia pepa, habari uwe nayo.
Kwa kifupi tyuuh sijawahi kuwa kilaza!!!! Poleeeeeeeh kaka km sup ndo utaratibu wako, hizo sio shida zangu.

Weraaaaaaaaaah!!!!! Byuti byuti.
Na huku Kuna kidume kinajikunja.....kukufanyia assignment
I wish ungekuja mzumbe ....[emoji23][emoji23]

But cio mbaya ....uki graduate njoo hapa GSM (yanga)...inaonekana ww ni potential employee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana weee, Mzumbe ningekuja kusoma faculty gan? Labda nikukaribishe wee ungekuja UDSM.

Sijawahi kufanyiwa pepa au assignment na mtu yeyote, sijawahi kutumia kibomu ktk pepa kwa level zote za Elimu nilizopita.
Kwa kifupi mie sio Kilazaaa.

Huko Yanga wanatakiwa watu km wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Back
Top Bottom