Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango yenye nguvu Bungeni.

Msikilize zaidi hapa. Credit #Dar24

Wabongo bhana huyo Mzee Kishimba si wengine ndio tunatafuta sehemu za kushika miaka ya 1998 huyo jamaa anaangiza Maziwa na Sukari kutoka Zimbabwe kiwango cha magari anayopakia hakihesabiki leo hii 2023 unamzungumzia kwenye Supermarket kweli? Unadhani ndio mafanikio yake huyo Mzee ni Tajiri na kichwa pia anacho...
 
Nilienda maeneo ya machimboni huko Kahama na Geita nilichokikuta ni kweli unaweza kumkuta mtu hajui kusoma wala kuandika ila miradi anayo miliki ni balaa wana pesa ndefu sana , alaf siyo watu wa kujisifu unaweza kumdharau ukaja kuambiwa ndo anamiliki mirad ambayo ni mikubwa ya kisasa iliyowekezwa pesa nyingi hutaamini

Juzi kuna mmoja kaleta uzi anasema mbunge msukuma kahongwa V8 ili akubaliane na DP world kuchukua bandari nikashangaa sana, msukuma mali anazomiliki V8 ni takataka kwake huwez kumshawishi kwa V8
Labda kama alihongwa kwa pesa nyingi zaidi hapo sawa
 
Nilienda maeneo ya machimboni huko Kahama na Geita nilichokikuta ni kweli unaweza kumkuta mtu hajui kusoma wala kuandika ila miradi anayo miliki ni balaa wana pesa ndefu sana , alaf siyo watu wa kujisifu unaweza kumdharau ukaja kuambiwa ndo anamiliki mirad ambayo ni mikubwa ya kisasa iliyowekezwa pesa nyingi hutaamini

Juzi kuna mmoja kaleta uzi anasema mbunge msukuma kahongwa V8 ili akubaliane na DP world kuchukua bandari nikashangaa sana, msukuma mali anazomiliki V8 ni takataka kwake huwez kumshawishi kwa V8
Msukuma ndiyo ana hela kuhusu kuhongwa ndiyo kahongwa wala halina ubishi...yaweza kuwa sio hyo V8 Ila Kala mlungula , ni mwehu Tu anayeweza kumwelewa msukuma Bungeni
 
Ndio angeshauri nn ss kuhusu bandari?.
kuna wafanyabiashara wengi wanapata hadha kutoa mizigo yao bandarini kutokana na urasimu pamoja na kutumia muda mrefu kusubiri mizigo kutolewa wanabariki bandari kupewa mwekezaji.

ila wafanyabiashara wachache wakwepa kodi wenye mafungamano na viongozi kwenye biashara zao nao waapinga kwa nguvu kubwa.
 
Msukuma ndiyo ana hela kuhusu kuhongwa ndiyo kahongwa wala halina ubishi...yaweza kuwa sio hyo V8 Ila Kala mlungula , ni mwehu Tu anayeweza kumwelewa msukuma Bungeni
sijakataa kuhongwa ila kusema kahongwa V8 hiyo hapana aise , labda kama kahongwa pesa ndefu zaidi
Ni sawa na mtu anaemiliki milion 100 alafu useme unamuhonga tsh elf 40
huwezi mshawishi kwa kiwango hicho cha pesa
 
Kama ametosheka na hela asingejitesa na ubunge , ubunge ndo chain ya ukwasi alio nao , mtu mpigaji hata kama ana billion 400 mfukoni hawezi kuacha rushwa ya 10000... Labda kama Hz mambo hujawah kupitia
 
nimepitia na ninajua mzee, ukiwa na pesa ndefu rushwa ndogo utaikubali kutokana na udogo wa Jambo, ila siyo Jambo kubwa ukubali rushwa ndogo hiyo haiwezekani , Jambo kubwa ni lazima liwe na nguvu ya ushawishi mkubwa pia
kuhusu kushawishiwa kwa v8 hiyo nitaendelea kukataa, ila kupokea rushwa sikatai ila haiwezi kuwa ya udogo huo katika Jambo kubwa kama hilo la bandar
 
Back
Top Bottom