Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Huyu Mzee smart Sana , sio Yule mwanetu mropoka hovyo hovyo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Huyu Mzee smart Sana , sio Yule mwanetu mropoka hovyo hovyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani Kuna aliye wah kuwa mbunge na Hana hela
[emoji2956]Nilienda maeneo ya machimboni huko Kahama na Geita nilichokikuta ni kweli unaweza kumkuta mtu hajui kusoma wala kuandika ila miradi anayo miliki ni balaa wana pesa ndefu sana , alaf siyo watu wa kujisifu unaweza kumdharau ukaja kuambiwa ndo anamiliki mirad ambayo ni mikubwa ya kisasa iliyowekezwa pesa nyingi hutaamini
Juzi kuna mmoja kaleta uzi anasema mbunge msukuma kahongwa V8 ili akubaliane na DP world kuchukua bandari nikashangaa sana, msukuma mali anazomiliki V8 ni takataka kwake huwez kumshawishi kwa V8
Labda kama alihongwa kwa pesa nyingi zaidi hapo sawa
[emoji7]Wabongo bhana huyo Mzee Kishimba si wengine ndio tunatafuta sehemu za kushika miaka ya 1998 huyo jamaa anaangiza Maziwa na Sukari kutoka Zimbabwe kiwango cha magari anayopakia hakihesabiki leo hii 2023 unamzungumzia kwenye Supermarket kweli? Unadhani ndio mafanikio yake huyo Mzee ni Tajiri na kichwa pia anacho...
Wewe hutaki neema itujie watanzania?!!Msitutoe kwenye reli issue ni bandari
Kamarada mbobevu mh.Jumanne Kishimba [emoji109][emoji106][emoji123][emoji7][emoji2956]Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango yenye nguvu Bungeni.
Msikilize zaidi hapa. Credit #Dar24
Pesa hazitoshiNilienda maeneo ya machimboni huko Kahama na Geita nilichokikuta ni kweli unaweza kumkuta mtu hajui kusoma wala kuandika ila miradi anayo miliki ni balaa wana pesa ndefu sana , alaf siyo watu wa kujisifu unaweza kumdharau ukaja kuambiwa ndo anamiliki mirad ambayo ni mikubwa ya kisasa iliyowekezwa pesa nyingi hutaamini
Juzi kuna mmoja kaleta uzi anasema mbunge msukuma kahongwa V8 ili akubaliane na DP world kuchukua bandari nikashangaa sana, msukuma mali anazomiliki V8 ni takataka kwake huwez kumshawishi kwa V8
Labda kama alihongwa kwa pesa nyingi zaidi hapo sawa
Kusoma sio kumiliki mali kutosoma sio kigezo cha kuwa masikiniLicha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango yenye nguvu Bungeni.
Msikilize zaidi hapa. Credit #Dar24
Kwa hiyo akihongwa V8 yenye thamani ya milioni 500 atakataa?? Kwanza huko kwenye siasa wanaingia, tena kwa kutumia pesa nyingi ili wapate favor na kukwepa kodi. Magufuli aliwahi kumzodoa Mbunge mmoja tajiri hapo Morogoro kwa kukwapua viwanda vya serikali na kushindwa kuviendeleza...sijakataa kuhongwa ila kusema kahongwa V8 hiyo hapana aise , labda kama kahongwa pesa ndefu zaidi
Ni sawa na mtu anaemiliki milion 100 alafu useme unamuhonga tsh elf 40
huwezi mshawishi kwa kiwango hicho cha pesa
Ili wapate fursa nzuri ya kukwepa kodi, kupata upendeleo, fursa ya tenda/michongo etc... Hili jambo Nyerere alilipinga sana miaka yake...kwanini matajiri wanakimbilia bungeni??? kutumikia watu?
Miaka hiyo huyo mzee anazitambua usd Dollar kwa kushika tuu bila kuangalia leo hii useme amepata hela kwa kuingia Bungeni sio kweli..pana watu wamepambana sana mkiambiwa mafanikio yao mwishoni mnazusha chochote fikiria mimi nimemjua Harare 4 evenue miaka hiyo namuona kuwa ni Tajiri na hana kelele unaweza kudhani mchimba chumvi tuu...Uzi ufungwe, umemaliza
Wewe ulidhani ni mali za mamako! Pimbi weweLicha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango yenye nguvu Bungeni.
Msikilize zaidi hapa. Credit #Dar24
Mwanza inatoka wapi kwa Mbunge wa KahamaKwa watu wa mwanza hii sio habari kwao
Sasa mafanikio unayapima kwa kutumia nini kama sio vitu vinavyoonekana? Ulitaka aseme alifanya Biashara miaka mingi auWabongo bhana huyo Mzee Kishimba si wengine ndio tunatafuta sehemu za kushika miaka ya 1998 huyo jamaa anaangiza Maziwa na Sukari kutoka Zimbabwe kiwango cha magari anayopakia hakihesabiki leo hii 2023 unamzungumzia kwenye Supermarket kweli? Unadhani ndio mafanikio yake huyo Mzee ni Tajiri na kichwa pia anacho...
WenjeKwani Kuna aliye wah kuwa mbunge na Hana hela
Ni kweli kabisa, huyo mzee wa kitambo sana na Imalaseko si ya leo. Miaka ya 80 alikuwa miongoni mwa waingizaji wakubwa wa bidhaa toka Kenya akitumia ile mitumbwi mikubwa sana (Makarua). Miaka hiyo Mwanza viwanda ni kama hamna. Iliwalipa sana na kodi walikwepa sanaWabongo bhana huyo Mzee Kishimba si wengine ndio tunatafuta sehemu za kushika miaka ya 1998 huyo jamaa anaangiza Maziwa na Sukari kutoka Zimbabwe kiwango cha magari anayopakia hakihesabiki leo hii 2023 unamzungumzia kwenye Supermarket kweli? Unadhani ndio mafanikio yake huyo Mzee ni Tajiri na kichwa pia anacho...
Alikwapua yeye ndio alimuuzia akiwa ujenzi?Kwa hiyo akihongwa V8 yenye thamani ya milioni 500 atakataa?? Kwanza huko kwenye siasa wanaingia, tena kwa kutumia pesa nyingi ili wapate favor na kukwepa kodi. Magufuli aliwahi kumzodoa Mbunge mmoja tajiri hapo Morogoro kwa kukwapua viwanda vya serikali na kushindwa kuviendeleza...