Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

Wabongo bhana huyo Mzee Kishimba si wengine ndio tunatafuta sehemu za kushika miaka ya 1998 huyo jamaa anaangiza Maziwa na Sukari kutoka Zimbabwe kiwango cha magari anayopakia hakihesabiki leo hii 2023 unamzungumzia kwenye Supermarket kweli? Unadhani ndio mafanikio yake huyo Mzee ni Tajiri na kichwa pia anacho...
Umenikumbusha maziwa ya super milk toka zimbabwe
Watu waliyauza sana bongo

Ova
 
Siku hizi sera za ujamaa zimetupiliwa mbali, wabunge na makada wengi wa ccm ni mabepari na matajiri wakubwa
 
Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni

Kusoma waweza soma darasani au nje ya darasa yaani mitaani

Kishimba ni msomi wa biashara alisomea mitaani.kwa vitendo

Bakhresa pia msomi wa biashara alisomea mitaani kwa vitendo

Darasani Bakhresa aliishia darasa la pili tu lakini mitaani ana PhD ya biashara
 
Wabongo bhana huyo Mzee Kishimba si wengine ndio tunatafuta sehemu za kushika miaka ya 1998 huyo jamaa anaangiza Maziwa na Sukari kutoka Zimbabwe kiwango cha magari anayopakia hakihesabiki leo hii 2023 unamzungumzia kwenye Supermarket kweli? Unadhani ndio mafanikio yake huyo Mzee ni Tajiri na kichwa pia anacho...
Uzi ufungwe, umemaliza
 
Nilienda maeneo ya machimboni huko Kahama na Geita nilichokikuta ni kweli unaweza kumkuta mtu hajui kusoma wala kuandika ila miradi anayo miliki ni balaa wana pesa ndefu sana , alaf siyo watu wa kujisifu unaweza kumdharau ukaja kuambiwa ndo anamiliki mirad ambayo ni mikubwa ya kisasa iliyowekezwa pesa nyingi hutaamini

Juzi kuna mmoja kaleta uzi anasema mbunge msukuma kahongwa V8 ili akubaliane na DP world kuchukua bandari nikashangaa sana, msukuma mali anazomiliki V8 ni takataka kwake huwez kumshawishi kwa V8
Labda kama alihongwa kwa pesa nyingi zaidi hapo sawa
Msukuma anamiliki helicopter [emoji576]

Ndo ahongwe v8?
 
hajui kuwa wengine tumebahatika kuishi naye . Uyo mzee ni ukoo wa chifu so jiongeze mwenyewe
 
Nilienda maeneo ya machimboni huko Kahama na Geita nilichokikuta ni kweli unaweza kumkuta mtu hajui kusoma wala kuandika ila miradi anayo miliki ni balaa wana pesa ndefu sana , alaf siyo watu wa kujisifu unaweza kumdharau ukaja kuambiwa ndo anamiliki mirad ambayo ni mikubwa ya kisasa iliyowekezwa pesa nyingi hutaamini

Juzi kuna mmoja kaleta uzi anasema mbunge msukuma kahongwa V8 ili akubaliane na DP world kuchukua bandari nikashangaa sana, msukuma mali anazomiliki V8 ni takataka kwake huwez kumshawishi kwa V8
Labda kama alihongwa kwa pesa nyingi zaidi hapo sawa
Mkuu kuwa na hela hakumanishi huwezi hongwa na kupokea rushwa.
 
Nakazia....

Kwa uwezo wa Mh.Msukuma basi kama hiyo hongo ni ya kweli....mhongaji hawezi kumhonga "V 8"....[emoji1787][emoji1787]

Uzushi tu...
Uzushi ni kitu kibaya...
Uzushi ni kitu kibaya mno....

Hivi Wakili Bashir Yakub ametutajia na "hongo" walizopewa baadhi ya watu.....waliokwenda UTURUKI kwa akina YERPI MERKEZ kwa ajili ya SGR?!!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Msukuma anamiliki helicopter [emoji576]

Ndo ahongwe v8?
Hapo sasa....

Hivi Wakili Bashir Yakub amewaweka hadharani waliopewa "takrima" kwenda UTURUKI kwa akina YERPI MERKEZ wa SGR?!!!!

Watanzania tumekuwa watu wa kuchafuana kirahisi sana [emoji1787][emoji1787]

#Mama Anaupiga Mwingi [emoji7]

#DP World haaoooo[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kusoma waweza soma darasani au nje ya darasa yaani mitaani

Kishimba ni msomi wa biashara alisomea mitaani.kwa vitendo

Bakhresa pia msomi wa biashara alisomea mitaani kwa vitendo darasani aliishia darasa la pili lakini mitaani ana PhD ya biashara
Mama mchungaji katika ubora wako [emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi sera za ujamaa zimetupiliwa mbali, wabunge na makada wengi wa ccm ni mabepari na matajiri wakubwa
Hata WACHINA ni mabepari pia...japo taifa lao ni la KIKOMUNISTI....ujamaa unabaki kuendesha mambo nyeti ya nchi....[emoji1787]

#Ujamaa Ni Mfumo Sahihi Wa Kujenga Jamii Iliyo Huru na Sawa

#MamaAnaupigaMwingi[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
kuna wafanyabiashara wengi wanapata hadha kutoa mizigo yao bandarini kutokana na urasimu pamoja na kutumia muda mrefu kusubiri mizigo kutolewa wanabariki bandari kupewa mwekezaji.

ila wafanyabiashara wachache wakwepa kodi wenye mafungamano na viongozi kwenye biashara zao nao waapinga kwa nguvu kubwa.
Mchango wako ni wa DHAHABU[emoji2956][emoji2956]

Back
Top Bottom