Kwa hiyo kwa Msukuma milioni 500 si chochote? Maana V8 yake amesema thamani yake ni 500mil. Km is northing kwake, hawezi kuwa tajirisijakataa kuhongwa ila kusema kahongwa V8 hiyo hapana aise , labda kama kahongwa pesa ndefu zaidi
Ni sawa na mtu anaemiliki milion 100 alafu useme unamuhonga tsh elf 40
huwezi mshawishi kwa kiwango hicho cha pesa