Bandari watu wako kazini penga kubali haisaidiiMsitutoe kwenye reli issue ni bandari
Msukuma ndiyo ana hela kuhusu kuhongwa ndiyo kahongwa wala halina ubishi...yaweza kuwa sio hyo V8 Ila Kala mlungula , ni mwehu Tu anayeweza kumwelewa msukuma BungeniNilienda maeneo ya machimboni huko Kahama na Geita nilichokikuta ni kweli unaweza kumkuta mtu hajui kusoma wala kuandika ila miradi anayo miliki ni balaa wana pesa ndefu sana , alaf siyo watu wa kujisifu unaweza kumdharau ukaja kuambiwa ndo anamiliki mirad ambayo ni mikubwa ya kisasa iliyowekezwa pesa nyingi hutaamini
Juzi kuna mmoja kaleta uzi anasema mbunge msukuma kahongwa V8 ili akubaliane na DP world kuchukua bandari nikashangaa sana, msukuma mali anazomiliki V8 ni takataka kwake huwez kumshawishi kwa V8
kuna wafanyabiashara wengi wanapata hadha kutoa mizigo yao bandarini kutokana na urasimu pamoja na kutumia muda mrefu kusubiri mizigo kutolewa wanabariki bandari kupewa mwekezaji.Ndio angeshauri nn ss kuhusu bandari?.
sijakataa kuhongwa ila kusema kahongwa V8 hiyo hapana aise , labda kama kahongwa pesa ndefu zaidiMsukuma ndiyo ana hela kuhusu kuhongwa ndiyo kahongwa wala halina ubishi...yaweza kuwa sio hyo V8 Ila Kala mlungula , ni mwehu Tu anayeweza kumwelewa msukuma Bungeni
Kama ametosheka na hela asingejitesa na ubunge , ubunge ndo chain ya ukwasi alio nao , mtu mpigaji hata kama ana billion 400 mfukoni hawezi kuacha rushwa ya 10000... Labda kama Hz mambo hujawah kupitiasijakataa kuhongwa ila kusema kahongwa V8 hiyo hapana aise , labda kama kahongwa pesa ndefu zaidi
Ni sawa na mtu anaemiliki milion 100 alafu useme unamuhonga tsh elf 40
huwezi mshawishi kwa kiwango hicho cha pesa
nimepitia na ninajua mzee, ukiwa na pesa ndefu rushwa ndogo utaikubali kutokana na udogo wa Jambo, ila siyo Jambo kubwa ukubali rushwa ndogo hiyo haiwezekani , Jambo kubwa ni lazima liwe na nguvu ya ushawishi mkubwa piaKama ametosheka na hela asingejitesa na ubunge , ubunge ndo chain ya ukwasi alio nao , mtu mpigaji hata kama ana billion 400 mfukoni hawezi kuacha rushwa ya 10000... Labda kama Hz mambo hujawah kupitia